Ushauri wa Bure: Dr Slaa, Dr. Nshala, Wakili Mwabukusi na Mdude Waanzishe Chama chao cha Siasa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,045
49,728
Wanaweza Kuita majina kati ya haya

1. Coalition Against DP World Party of Tanzania

2. Hustlers Movement for Natural Resources

3. Vuguvugu la Maendelea na Mabadiliko Tanzania.

Mwenyekiti-Dr W. Slaa (Mihogo)

M/Mwenyekiti-Dr. Lugemeza Nshala (Wakili asiyepihishwa magoti)

Katibu Mkuu -Wakili Andindilile Mwabukusi (Huyu ameaga Kwa wazee)

N/Katibu Mkuu-Mdude Nyagali.(Jiwe alimshindwa, mlingiti chuma bendera chuma) 🔥🔥

Askofu Mwamakula-Mtunza Hazina na Kuhani Mkuu wa kutoa muongozo ya ulimwengu wa Roho.

Padre Kitime-Mshauri wa Mikakati ya Chama Kuchochea Udini Ili wapate wafuasi wa lile Dhehebu wanaojiita Kanisa la Mitume tajatifu.

My Take
Kama mdau wa hiki chama Chetu Pendwa unaweza ongeza Wanachama wengine.
 
Wanaweza Kuita majina kati ya haya

1.Coalition Against DP World Party of Tanzania

2.Hustlers Movement for Natural Resources

3.Vuguvugu la Maendelea na Mabadiliko Tanzania.

Mwenyekiti-Dr Mihogo
M/Mwenyekiti-Dr.Lugemeza Nshala
Katibu Mkuu -Wakili Andindilile Mwabukusi
N/Katibu Mkuu-Mdude Nyagali.

My Take
Wazingatie huu Ushauri watakuja kunishukuru baadae maana upepo ni wao.

Askofu Mwamakula je anakuwa Nani?
Mjumbe wa kamati kuu?
 
Wanaweza Kuita majina kati ya haya

1. Coalition Against DP World Party of Tanzania

2. Hustlers Movement for Natural Resources

3. Vuguvugu la Maendelea na Mabadiliko Tanzania.

Mwenyekiti-Dr W. Slaa (Mihogo)

M/Mwenyekiti-Dr. Lugemeza Nshala (Wakili asiyepihishwa magoti)

Katibu Mkuu -Wakili Andindilile Mwabukusi (Huyu ameaga Kwa wazee)

N/Katibu Mkuu-Mdude Nyagali.(Jiwe alimshindwa, mlingiti chuma bendera chuma)

Askofu Mwamakula-Mtunza Hazina, Mshauri wa Chana na Kuhani Mkuu wa kutoa muongozo ya ulimwengu wa Roho.

My Take
Wazingatie huu Ushauri watakuja kunishukuru baadae maana upepo ni wao.
Ushauri kama ushauri toka ID fake mtandaoni
 
Wanaweza Kuita majina kati ya haya

1. Coalition Against DP World Party of Tanzania

2. Hustlers Movement for Natural Resources

3. Vuguvugu la Maendelea na Mabadiliko Tanzania.

Mwenyekiti-Dr W. Slaa (Mihogo)

M/Mwenyekiti-Dr. Lugemeza Nshala (Wakili asiyepihishwa magoti)

Katibu Mkuu -Wakili Andindilile Mwabukusi (Huyu ameaga Kwa wazee)

N/Katibu Mkuu-Mdude Nyagali.(Jiwe alimshindwa, mlingiti chuma bendera chuma) 🔥🔥

Askofu Mwamakula-Mtunza Hazina, Mshauri wa Chana na Kuhani Mkuu wa kutoa muongozo ya ulimwengu wa Roho.

My Take
Wazingatie huu Ushauri watakuja kunishukuru baadae maana upepo ni wao.
Mwabukusi utakuja kumsikia kwenye harakati za uchaguzi za 2025, kaitumia DP World kama sehemu ya kurudi kwenye siasa.

Hao wengine ni wanaharakati wenye uchungu na nchi yao.
 
Wanaweza Kuita majina kati ya haya

1. Coalition Against DP World Party of Tanzania

2. Hustlers Movement for Natural Resources

3. Vuguvugu la Maendelea na Mabadiliko Tanzania.

Mwenyekiti-Dr W. Slaa (Mihogo)

M/Mwenyekiti-Dr. Lugemeza Nshala (Wakili asiyepihishwa magoti)

Katibu Mkuu -Wakili Andindilile Mwabukusi (Huyu ameaga Kwa wazee)

N/Katibu Mkuu-Mdude Nyagali.(Jiwe alimshindwa, mlingiti chuma bendera chuma) 🔥🔥

Askofu Mwamakula-Mtunza Hazina, Mshauri wa Chana na Kuhani Mkuu wa kutoa muongozo ya ulimwengu wa Roho.

My Take
Wazingatie huu Ushauri watakuja kunishukuru baadae maana upepo ni wao.
Wamchuke na mbunge wa Kongwa
 
Wanaweza Kuita majina kati ya haya

1. Coalition Against DP World Party of Tanzania

2. Hustlers Movement for Natural Resources

3. Vuguvugu la Maendelea na Mabadiliko Tanzania.

Mwenyekiti-Dr W. Slaa (Mihogo)

M/Mwenyekiti-Dr. Lugemeza Nshala (Wakili asiyepihishwa magoti)

Katibu Mkuu -Wakili Andindilile Mwabukusi (Huyu ameaga Kwa wazee)

N/Katibu Mkuu-Mdude Nyagali.(Jiwe alimshindwa, mlingiti chuma bendera chuma)

Askofu Mwamakula-Mtunza Hazina, Mshauri wa Chana na Kuhani Mkuu wa kutoa muongozo ya ulimwengu wa Roho.

My Take
Wazingatie huu Ushauri watakuja kunishukuru baadae maana upepo ni wao.
Umemsahau Padri Kitime
 
Back
Top Bottom