Kwako Waziri Makamba,Wewe ni Mkali wa Michongo,Tafuta Connection za Ajira na Masoko Kwa Watanzania,Kajifunze Kenya.Achana na Diaspora.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,110
49,825
Assignment ya kwanza kwako kubwa bwana Waziri January Makamba ni kutafsiri diplomasia y Uchumi Kwa vitendo.

Wenzetu Kenya hapo wameweza wanatafutia Vijana wao ma jobless fursa za Ajira mfano Saudi Arabia nafasi zaidi ya Milioni 1,Germany nafasi zaidi ya 400k nk Kwa kuingia makubaliano na Serikali husika ambapo watakuwa wanapata fursa hizo.
Screenshot_20230901-162818.jpg

Hivyo basi tunakufahamu kama mbobezi wa connection basi hili liwe ndio kipaombele chako.Masoko ya bidhaa za Kilimo,, Uwekezaji wa Mitaji,Ajira Nje ya Nchi na fursa za Mafunzo na kuongeza Ujuzi.

Usipoteze mda na makelele ya Diaspora waliokimbia Nchi na kukana Uraia wa Tanzania harafu saizi wanatushmbua.Kwanza mda wote wako busy na siasa uchwara za Machadomo na kupinga Serikali so wapotezee kabisa watakutoa kwenye mambo ya msingi.

Kwa Leo ni hayo tuu na Kila la Heriet huko Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
 
Assignment ya kwanza kwako kubwa bwana Waziri January Makamba ni kutafsiri diplomasia y Uchumi Kwa vitendo.

Wenzetu Kenya hapo wameweza wanatafutia Vijana wao ma jobless fursa za Ajira mfano Saudi Arabia nafasi zaidi ya Milioni 1,Germany nafasi zaidi ya 400k nk Kwa kuingia makubaliano na Serikali husika ambapo watakuwa wanapata fursa hizo.View attachment 2737208

Naona unajitumia ujumbe. Hongera Januari kwa kujitekenya ili ucheke mwenyewe
 
Yeye ni mkali wa michongo haramu ya kumwingiza yeye mapato haramu, siyo kuwatafutia watu wengine.
 
Assignment ya kwanza kwako kubwa bwana Waziri January Makamba ni kutafsiri diplomasia y Uchumi Kwa vitendo.

Wenzetu Kenya hapo wameweza wanatafutia Vijana wao ma jobless fursa za Ajira mfano Saudi Arabia nafasi zaidi ya Milioni 1,Germany nafasi zaidi ya 400k nk Kwa kuingia makubaliano na Serikali husika ambapo watakuwa wanapata fursa hizo.View attachment 2737208

Hivyo basi tunakufahamu kama mbobezi wa connection basi hili liwe ndio kipaombele chako.Masoko ya bidhaa za Kilimo,, Uwekezaji wa Mitaji,Ajira Nje ya Nchi na fursa za Mafunzo na kuongeza Ujuzi.

Usipoteze mda na makelele ya Diaspora waliokimbia Nchi na kukana Uraia wa Tanzania harafu saizi wanatushmbua.Kwanza mda wote wako busy na siasa uchwara za Machadomo na kupinga Serikali so wapotezee kabisa watakutoa kwenye mambo ya msingi.

Kwa Leo ni hayo tuu na Kila la Heriet huko Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Pamoja Sana 🙏
 
Ni kwel aachane nayo kwanza Diaspora ni MACHADEMA yanapinga michongo yetu na yanafanyaga maandamano kweny mataifa walipo!! 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom