Waziri Mkuu kumuwakilisha rais Samia uapisho wa Emmerson Mnangagwa

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

leo Septemba 03, 2023 ameelekea nchini Zimbabwe kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uapisho wa Rais mteule wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa.

1693772441742.jpeg

1693772493874.jpeg

1693772535449.jpeg
 
Viongozi sehemu ambazo wao ni wauzaji bei zinapanda balaa eg mafuta, ila sehemu ambazo viongozi ni wanunuzi bei zinashuka kwa kasi au kudumaa palepale, eg korosho na pamba!!
 
Yaani serikali yangu imeitambua serikali ya crocodile, jizi kubwa la kura, wizi wake umekua imported kutoka Tanzania, yaani kimataifa tumebaki kuwa nchi ya vichekesho, awamu ya kwanza ,Africa ilikua inasimama kusikilizia tamko la Dar es Salaam kwa kila jambo ,sasa hata Rwanda anataka kupigana na sisi,wako wapi waliokuwa grommed na Mh.Malechela,Mh.Salim A.Salim, foreign minister's walioipa heshima nchi yangu,sasa ni maselule
 
Huyu Jamaa Yaani Acha Tu Siku Ziende Eti Alipita Bila Kupingwa Haa Haa Majizi
Kule Kassim, Nape Na Wengine
 
Imeandikwa "Acha wafu wazikane"
Mtu ameshakuwa mfu atamzikaje mfu mwingine Sasa. Mliambiwa biblia ilikosewa muwege waelewa. Quran Haina makosa kama hayo mana ni kitabu na mwenyezi mungu tofauti kitabu chenu hicho kinacho editiwa kila kukicha kukidhi maslahi yenu. Naskia papa anataka arekebishe Sala ya "baba yetu" anasema ailikosewa kwamba mungu hawezi kutia mtu kishawishi
 
Mambo ya dini yanatokea wapi tena?
 
Kwanini ya Aya ya kuruhusu mwamamke wa kiislamu kunyonywa na mtu yoyote ilipotea??

Kwanini allah wenu aliruhusu mbuzi kula aya ya quran ambapo mpaka kesho hiyo aya haipo kwenye qurani yenu??
 
Kwanini ya Aya ya kuruhusu mwamamke wa kiislamu kunyonywa matiti na mtu yoyote ilipotea??

Kwanini allah wenu aliruhusu mbuzi kula aya ya quran ambapo mpaka kesho hiyo aya haipo kwenye qurani yenu??
 
Mtu ameshakuwa mfu atamzikaje mfu mwingine Sasa. Mliambiwa biblia ilikosewa muwege waelewa. Quran Haina makosa kama hayo mana ni kitabu na mwenyezi mungu tofauti kitabu chenu hicho kinacho editiwa kila kukicha kukidhi maslahi yenu. Naskia papa anataka arekebishe Sala ya "baba yetu" anasema ailikosewa kwamba mungu hawezi kutia mtu kishawishi
Hata wewe ni Mfu usiye jielewa enenda zako Mwanza zayuni!!
 
Yaani serikali yangu imeitambua serikali ya crocodile, jizi kubwa la kura, wizi wake umekua imported kutoka Tanzania, yaani kimataifa tumebaki kuwa nchi ya vichekesho, awamu ya kwanza ,Africa ilikua inasimama kusikilizia tamko la Dar es Salaam kwa kila jambo ,sasa hata Rwanda anataka kupigana na sisi,wako wapi waliokuwa grommed na Mh.Malechela,Mh.Salim A.Salim, foreign minister's walioipa heshima nchi yangu,sasa ni maselule
Huyo Mh Salim wanafiki wakina Jk na Mamvi Kwa tamaa ya Madaraka walimpoteza Kwa kumpakazia Hizabull
Ndiyo laana inayo itesa ccm
 
Mtu ameshakuwa mfu atamzikaje mfu mwingine Sasa. Mliambiwa biblia ilikosewa muwege waelewa. Quran Haina makosa kama hayo mana ni kitabu na mwenyezi mungu tofauti kitabu chenu hicho kinacho editiwa kila kukicha kukidhi maslahi yenu. Naskia papa anataka arekebishe Sala ya "baba yetu" anasema ailikosewa kwamba mungu hawezi kutia mtu kishawishi
Acha ujuaji ndg, shida yako umekariri ukiskia neno kifo unajua ni cha kimwili tu. Kuna kifo cha kiroho pia ambacho wewe hukijui na vifo vingine pia. Wezi (ni wafu wa kiroho) wa kura wanaenda kupongezana. Na mmoja akifa kimwili, wafu wenzake wataenda kumzika.
 
Huyu Jamaa Yaani Acha Tu Siku Ziende Eti Alipita Bila Kupingwa Haa Haa Majizi
Kule Kassim, Nape Na Wengine
Hakupita bila kupingwa, tume yao ya uchaguzi ilitangaza alishinda kwa asilimia 52 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Nelson Chamisa, licha ya uchaguzi huo kukosolewa na waangalizi wa SADC kuwa haukuwa huru na wa haki
 
Back
Top Bottom