Kuna mambo yanaendelea nchini unajiiza hizi Habari kwanini zinatoka sasa bila maelezo?
Mawaziri viburi na majibu ya rejareja kwenye mambo mazito yanayohitaji utulivu wa akili.
Mambo haya...
Mbunge wa Arusha mjini ameseme Wabunge ni sharti wajikombe na kujipendekeza kwa Wananchi waliowachagua ila Wateuliwa ndio watajipendeza na kumuimbia mapambio aliyewateua
Hiyo ndio dhana ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Wakati wenzetu Wakenya kwa sasa wanakabiliwa na Tatizo la Bei kubwa ya Nishati ya mafuta kuwahi kutokea na kushuhudiwa katika Taifa lao, wakati kukiwa na Tishio la...
Kuna hadithi ya mfalme aliyetaka kumuoza binti yake kwa mwanaume jasiri atakayeweza kuogelea kwenye bwawa la mamba mpk kulivuka na kufika upande wa pili .
Wakiwa wamejipanga pembeni ya bwawa...
Kwa kawaida, kifungo cha nje sio kwenda kulala nyumbani kwenu, bali ni wajibu wa maafisa Ustawi wa Jamii kukupangia siku kadhaa za wiki kufanya huduma za kijamii kama usafi na kadhalika kwenye...
Ukisikia kishindo Cha mama ndio Hilo Sasa,kazi kubwa kelele hakuna.
Mtamkubali hata Kwa Shingo upande maana hakuna namna,she is doing wonders ambazo hakuna Rais amewahi kufanya hivyo hapo kabla...
Mnamo tarehe 14.09.2023 majira ya saa 1:30 asubuhi huko katika nyumba za Walimu wa Shule ya Sekondari Mtanila iliyopo Kijiji cha Igangwe Wilaya ya Chunya, Mkuu wa Shule hiyo aliyefahamika kwa jina...
Dar es Salaam. Mbunge wa Nanyumbu (CCM), Yahya Mhata amemweleza Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme katika wilaya ya Nanyumbu pamoja na gharama kubwa ya kuunganisha...
Sehemu mbalimbali nimeshuhudia Watu wakimsifu Naibu Waziri mkuu Dkt. Biteko kwamba ni kiongozi aliyeandaliwa vizuri
Wengi wameonesha matumaini makubwa kwa mteule huyu na hata kumtabiria kwamba...
Mwenyekiti wa TCD Prof Lipumba amesema kutokana na muda kuwa mchache Kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi mkuu Wamekubaliana na Serikali waweke Mazingira ya kuwa na Tume Huru ya...
Unajua Kwanini tumejitokeza kwa wingi kumpokea Rais Samia. Na mimi nimefika hapa na Mwanangu? Kazi ya Rais Samia na historia yake imenipa msukumo huu kuja hapa leo kaka angu (kwa lafudhi ya watu...
Huyu mama alianza kazi akiwa na lugha flani hivi tamu mpaka wakati mwingine akawa anamponda aliyekua boss wake (Magufuli ila sasa hivi kaacha) kwa vijembe.baadhi ya watu wakiongozwa na chadema...
Wanafunzi Kijiji cha Kirumi Kata ya Bukabwa katika Wilaya ya Butiama Mkoani Mara wamepunguziwa mwendo baada ukamilishaji wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Kirumi iliyoanza kujengwa tangu mwaka...
Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanakusudia kuanzisha umoja utakao unganisha vyama vya siasa vya upinzani na jumuiya mbali mbali za kidini kudai katiba mpya sasa.
ACT wametengwa kwa...
Serikali imesema itaanza awamu ya pili ya ujenzi wa Vituo vya Afya 214 kwenye Kata zote za Kimkakati Nchini.
Kwa miaka 4 ya mama atakuwa kajenga jumla ya Vituo vya Afya 450 plus vifaa tiba na...
Mahindira Tech walikula Bil 71 za bure kwa madai eti ufanisi wa Tanesco utaongezwa . Leo hii January yupo tu kama mteule wa rais. Hatuoni ufanisi wa Tanesco zaidi ya Mgao wa umeme kuzidi...
Kuna hatua zozote anafanya huyu waziri kukabiliana na tatizo la mgao au anapanga tu ratiba ya mgao na kusubiria maji? Maana hii ni dharura. Umeme siku moja upo ya pili haupo. Kazi ya siku 10...
Katika Taifa kuna sera au ksulimbiu au harakati zinazowaunganisha wananchi na kuwa Tsifa moja.
Michezo nchini imekuwa mbadala wa siasa kwa sasa hivi.
Katika miaka ya karibuni, mpira(football) ni...
Marehemu mwendazake aliwai kuwa mwanafunzi wa sekondari ya Mkwawa akafanya kioja akafukuzwa shule baadae Ccm ikampitisha kugombea urais na akawa rais wa miaka 6
Mkuu wa mkoa wa Dsm amesikika...
====
Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata :-
1. Rais Mnyenyekevu kama huyu,
2. Rais Mpole kama huyu,
3. Rais Msikivu kama huyu,
3. Rais Mtulivu kama huyu
4. Rais Mwenye hofu...