Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata Rais mnyenyekevu, Mpole, Msikivu, Mtulivu na mwenye hofu ya Mungu

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,980
4,076
IMG-20210910-WA0025.jpg


====

Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata :-​


1. Rais Mnyenyekevu kama huyu,​


2. Rais Mpole kama huyu,​

3. Rais Msikivu kama huyu,​

3. Rais Mtulivu kama huyu​

4. Rais Mwenye hofu ya Mungu kama huyu​


5. Rais Mkarimu kama huyu​


6. Rais Mzalendo kama huyu​

7. Rais Jasiri kama huyu,​

 
Si lelemama ?

Mbona viongozi wa Ulaya ni wanyenyekevu ?

Ushasikia Uingereza mpinzani anapewa kesi ya utakatishaji fedha, ugaidina na uhujumu uchumi ?

Kwahiyo unatakaje sasa? Awe anakubali kila pressure waja wanayompelekea?
 
45 Reactions
Reply
Back
Top Bottom