Asante Yanga na Simba, klabu zinazo liheshimisha Taifa

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,333
24,227
Katika Taifa kuna sera au ksulimbiu au harakati zinazowaunganisha wananchi na kuwa Tsifa moja.
Michezo nchini imekuwa mbadala wa siasa kwa sasa hivi.

Katika miaka ya karibuni, mpira(football) ni mchezo ambao umewaunganisha wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa.

Mpira umefanya kitu ambacho wanasiasa wameshindwa.

Umoja ulioonyeshwa na wapenzi wa klabu za Yanga na Simba ni kutengeneza umoja ambso si rahisi kuuvunja.

Klabu ya Yanga imeenda Kigali, Rwanda kwa pambano ambalo Yanga imeshinda.

Uwingi wa wanachama walioonyesha huko Kigali, umeliinua Taifa la Tanzania ugenini.
Vivyo hivyo Simba walipoenda uarabuni, hatakama hawakushinda, mashabiki wengi wsliosafiri na timu kwa ndege ya seriksli, waliliheshimisha Tsifa letu.

Niseme tu, viva Yanga na Simba, na Taifa la Tanzania.
(Usiniulize mi mshabiki wa klabu gani)
 
Katika miaka ya karibuni, mpira(football) ni mchezo ambso umewaunganisha wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa.
Mpira umefanya kitu ambacho wanasiasa wameshindwa.
Umoja ulioonyeshwa na wapenzi wa klabu za Yanga na Simba ni kutengeneza umoja ambso si rahisi kuuvunja.

Klabu ya Yanga imeenda Kigali, Rwanda kwa pambano ambalo Yanga imeshinda.

Uwingi wa wanachama walioonyesha huko Kigali, umeliinua Taifa la Tanzania ugenini.
Vivyo hivyo Simba walipoenda uarabuni, hatakama hawakushinda, mashabiki wengi wsliosafiri na timu kwa ndege ya seriksli, waliliheshimisha Tsifa letu.

Niseme tu, viva Yanga na Simba, na Taifa la Tanzania.
(Usiniulize mi mshabiki wa klabu gani)
YAnga wametuheshimisha Rwanda
IMG-20230916-WA0003.jpg
 
Tatizo kubwa timu ya Simba, wachezaji wengi wao, wanakuwa ' mabishoo' kucheza bila juhudi, na sio kama kikosi Cha Yanga kinavyocheza Kwa kujituma! Kudos Yanga....
Simba wanasema wao wazoefu kimataifa, yaani wao ni wa Kimataifa
 
Katika Taifa kuna sera au ksulimbiu au harakati zinazowaunganisha wananchi na kuwa Tsifa moja.
Michezo nchini imekuwa mbadala wa siasa kwa sasa hivi.

Katika miaka ya karibuni, mpira(football) ni mchezo ambao umewaunganisha wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa.

Mpira umefanya kitu ambacho wanasiasa wameshindwa.

Umoja ulioonyeshwa na wapenzi wa klabu za Yanga na Simba ni kutengeneza umoja ambso si rahisi kuuvunja.

Klabu ya Yanga imeenda Kigali, Rwanda kwa pambano ambalo Yanga imeshinda.

Uwingi wa wanachama walioonyesha huko Kigali, umeliinua Taifa la Tanzania ugenini.
Vivyo hivyo Simba walipoenda uarabuni, hatakama hawakushinda, mashabiki wengi wsliosafiri na timu kwa ndege ya seriksli, waliliheshimisha Tsifa letu.

Niseme tu, viva Yanga na Simba, na Taifa la Tanzania.
(Usiniulize mi mshabiki wa klabu gani)
Viva Mheshimiwa Samia kwa kutoa sapoti kubwa kwenye medani za soka na michezo mingine Tanzania !
Mwaka huu kombe laja eti !!! 🙏🙏🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom