Nani anafanya vetting dhidi ya wateule wa Rais? Chalamila alifukuzwa shule sasahivi ni mkuu wa mkoa

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Marehemu mwendazake aliwai kuwa mwanafunzi wa sekondari ya Mkwawa akafanya kioja akafukuzwa shule baadae Ccm ikampitisha kugombea urais na akawa rais wa miaka 6
Mkuu wa mkoa wa Dsm amesikika akijitapa Live yakuwa aliwai soma mkwawa Sekondar akafanya kioja akafukuzwa shule sasahivi ni Mkuu wa mkoa wa Dsm.

Ukipita kwenye mitandao kuna taarifa zinazunguka yakuwa aliyekuwa IGP enzi za mwendazake baadae akatumbuliwa na kupangiwa ubalozi alikjwa miongoni mwa wala rushwa ya Millioni 21 kila mwezi sasahivi ni Balozi alikuwa akipokea rushwa hiyo kutoka Mgodi fulani wa kuchimba dhahabu.

Je nani ufanya vetting?
 
Vetting labda ya kujua kama huyu ni mwenzetu ama la ??!!! 😅😅
 
Wenye vyeo wote ni lazima wawe CCM. Hata kama ni wezi waliokubuhu alimtadi ni CCM basi wanafaa kuwatawala wananchi wasiojitambua
 
Kufukuzwa shule sizani kama ni tatizo.

Shule zetu zina matatizo mengi na ukijaribu ku challenge uongozi unaonekana tishio unafukuzwa shule.

Mimi nimenusurika kufukuzwa mara 2 kwa kuhoji tu haki zetu. Serikali ilikua inaleta mahitaji yetu yote shuleni mfano sukari ila tukawa tunapewa uji usio na sukari.

Serikali ilipanga ratiba ya nyama angalau mara moja kwa wiki, kuna kipindi tulikua tunakaa mwezi hatujaonja nyama.

Sasa ukijaribu kuhoji unaonekana ni mkorofi, mtukutu, huna nidhamu wala heshima unatengenezewa zengwe unafukuzwa.

Kwa kuhoji tu nilisimamishwa shule miezi 3. Ilikua imebaki kidogo sana wanitimue.
 
Kuna school mate akiwa secondary alikula suspensions kadhaa kwa makosa ya nidhamu, ila sasa ni mkuu wa wilaya mojawapo. Sidhani kama vetting zinafanyika ipasavyo, ni connection tu
 
Marehemu mwendazake aliwai kuwa mwanafunzi wa sekondari ya Mkwawa akafanya kioja akafukuzwa shule baadae Ccm ikampitisha kugombea urais na akawa rais wa miaka 6
Mkuu wa mkoa wa Dsm amesikika akijitapa Live yakuwa aliwai soma mkwawa Sekondar akafanya kioja akafukuzwa shule sasahivi ni Mkuu wa mkoa wa Dsm.

Ukipita kwenye mitandao kuna taarifa zinazunguka yakuwa aliyekuwa IGP enzi za mwendazake baadae akatumbuliwa na kupangiwa ubalozi alikjwa miongoni mwa wala rushwa ya Millioni 21 kila mwezi sasahivi ni Balozi alikuwa akipokea rushwa hiyo kutoka Mgodi fulani wa kuchimba dhahabu.

Je nani ufanya vetting?
Usikimbilie kumhukumu mtu kwanini kafukuzwa shule embu jiulize kwanza alifanyiwa nini mpaka afanye hicho kioja akafukuzwa

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Marehemu mwendazake aliwai kuwa mwanafunzi wa sekondari ya Mkwawa akafanya kioja akafukuzwa shule baadae Ccm ikampitisha kugombea urais na akawa rais wa miaka 6
Mkuu wa mkoa wa Dsm amesikika akijitapa Live yakuwa aliwai soma mkwawa Sekondar akafanya kioja akafukuzwa shule sasahivi ni Mkuu wa mkoa wa Dsm.

Ukipita kwenye mitandao kuna taarifa zinazunguka yakuwa aliyekuwa IGP enzi za mwendazake baadae akatumbuliwa na kupangiwa ubalozi alikjwa miongoni mwa wala rushwa ya Millioni 21 kila mwezi sasahivi ni Balozi alikuwa akipokea rushwa hiyo kutoka Mgodi fulani wa kuchimba dhahabu.

Je nani ufanya vetting?
Inawezekana kweli alifeli akafukuzwa lakini akafaulu kwenye Uchawa.
 
Marehemu mwendazake aliwai kuwa mwanafunzi wa sekondari ya Mkwawa akafanya kioja akafukuzwa shule baadae Ccm ikampitisha kugombea urais na akawa rais wa miaka 6
Mkuu wa mkoa wa Dsm amesikika akijitapa Live yakuwa aliwai soma mkwawa Sekondar akafanya kioja akafukuzwa shule sasahivi ni Mkuu wa mkoa wa Dsm.

Ukipita kwenye mitandao kuna taarifa zinazunguka yakuwa aliyekuwa IGP enzi za mwendazake baadae akatumbuliwa na kupangiwa ubalozi alikjwa miongoni mwa wala rushwa ya Millioni 21 kila mwezi sasahivi ni Balozi alikuwa akipokea rushwa hiyo kutoka Mgodi fulani wa kuchimba dhahabu.

Je nani ufanya vetting?
Tanzania Imeonza Inatoka Funza
 
Kufukuzwa shule siyo sababu ya kumnyima mtu uongozi tena wengi wanaofukuzwa shule wanakuwa ni watu wanaojitambua sana.
 
Back
Top Bottom