Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo), akichangia Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa 2026/2027, leo Juni 22, 2026 Bungeni, amesema hatokubali ongezeko la tozo kwa Maafisa...
3 Reactions
3 Replies
209 Views
Professor Assad ametolea ufafanuzi kuhusu suala la upotezo wa zile Trillion 1.2 katika hesabu za matumizi ya serikali wakati yeye akiwa katika nafasi ya CAG.
0 Reactions
1 Replies
77 Views
amemuuliza Professor Assad kuwa, ingetokea tukarudisha miaka nyuma, angetengua ile kauli aliyodaiwa kuisema kuwa Bunge la Jamburi ya Muungano wa Tanzania ni dhaifu!? Proffesor Assad amejibu...
1 Reactions
4 Replies
156 Views
Pole IGP kwa msiba huu mzito. Tarehe 7.7.2026 waache watu waandamane. USIWAUE, KUFA KUNAUMIZA WALIOBAKI. RIP KAMANDA AMBWAO
1 Reactions
14 Replies
310 Views
MACBETH USIDANGANYWE NA WANGA! .... wengine wanakuita Yuda Iscariot yule msaliti, lakini wakati huohuo wengine wanakupamba kuwa wewe ndiye simba wa Yuda mwenyewe, lakini baba yangu mi Kishimbe wa...
0 Reactions
1 Replies
50 Views
Kuna ka kisiwa mita kadhaa kutoka Kigamboni, kabla Jumbe hajapelekwa ANSUYA NAVAS kisota alianzia huko inasemekana, Nauliza kaliendelea kutumika kuficha waarifu, wahujumu uchumi na watuhumiwa wa...
16 Reactions
199 Replies
40K Views
Habari ya kunishtua kidogo ni kwamba magwiji matycoon, watakuwa nje soon , ama kwa dhamana au kwa makubaliano maalumu, Nadhani hawakupaswa watoke maana Magufuli alionesha uthubutu wa kuwaweka...
21 Reactions
154 Replies
30K Views
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimebainisha misingi mikuu inayokifanya chama hicho kuendelea kuaminiwa na kushinda chaguzi kuu za kiserikali nchini Tanzania. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
1 Reactions
14 Replies
379 Views
Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akiwa Mbarali, Mbeya Juni 22, 2026 amesema "Tuko kwenye ziara. Leo ni siku ya tano. Na tangu nimeanza mikutano ya...
4 Reactions
9 Replies
257 Views
Nimemsikia mtoto mmoja wa shule hapo hajui hata wajibu wa Mbunge, anasema John Heche amesoma shule ya Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi Bulima, ni kweli nimesoma shule ya Bulima lakini...
6 Reactions
14 Replies
398 Views
Kama mtamzania niliyeishi kwenye tawala zote tangu tupatie uhuru hadi Leo hii nashindwa kujua. Kumekuwa na matukio mengi sana hapa nchini yanafanyika kila kukicha hasa ya kutisha kabisa na mtu...
14 Reactions
101 Replies
2K Views
- Huyu shehe Mwaipopo, mnyakyusa bila shaka. Kuonyesha mbele ya camera kwamba anamiliki kikundi cha kigaidi ni jambo la kuogofya kitaifa na kimataifa. - Kwa shehe kuonesha hadharani sura yake na...
3 Reactions
14 Replies
321 Views
Baraza la Machifu na Wazee wa Kimila Mkoa wa Ruvuma limekanusha kumtambua John Heche kama Chifu wa Wangoni, likidai kuwa tukio la kuvikwa uchifu Juni 20, 2026 halikufuata taratibu za mila na...
4 Reactions
12 Replies
231 Views
Katambi Awaonya Wahalifu na Maandamano haramu ya Tarehe 7 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amewaasa watu wanaotoa kauli za kichochezi katika mitandao ya kijamii, majukwaa ya...
1 Reactions
5 Replies
196 Views
🚨 BREAKING NEWS: WE WON TODAY! 🚨 Na Tausi Likokola, Washington DC - USA We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice. The Reassessing the United...
35 Reactions
165 Replies
3K Views
CHADEMA mngemsikiliza Yericko Nyerere kuhusu ruzuku msingefikia hapa mlipofikia. Yericko alionya kuwa ni ngumu sana kuendesha chama bila ruzuku. Chama hakiendeshwi kwa michango kwa nyakati...
2 Reactions
12 Replies
409 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekanusha vikali madai yaliyomo kwenye rasimu ya hoja ya kimataifa inayovumisha kuwa nchi hiyo "ilikataa" ziara ya Kamati Ndogo ya Bunge la Ulaya...
2 Reactions
12 Replies
298 Views
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Buluba Mabelele, ametoa msimamo wake kuhusu sakata la mwanasiasa wa upinzani, Tundu Lissu, akieleza kuwa yuko upande wake na anatamani...
21 Reactions
31 Replies
749 Views
Kuna TISS yuko UDOM anaona ufahari kuua wenzake , watanzania wenzake. Very sad!
9 Reactions
32 Replies
928 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini na Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Arusha Mrisho Gambo amesema kuwa kila mtu anahitaji kuona taifa lenye misingi imara ya maridhiano, amani na upendo, hata hivyo ili...
2 Reactions
7 Replies
195 Views
Back
Top Bottom