Rais Samia: Amani ni Msingi wa Maendeleo

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
527
Reaction score
498
RAIS: TUENDELEE KUTUNZA AMANI ILI TUPATE MAENDELEO ZAIDI

"Nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza kuijenga na kuileta kwa sababu nchi yetu ina amani. [...] Niombe sana ndugu zangu, tuendelee kutunza amani yetu ili tupate maendeleo zaidi." - Rais Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kizimkazi, Zanzibar

Soma pia Rais Samia: Mapinduzi yalishafanyika, sasa mapinduzi ni ya maendeleo

1786688466334.png
 
RAIS: TUENDELEE KUTUNZA AMANI ILI TUPATE MAENDELEO ZAIDI

"Nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza kuijenga na kuileta kwa sababu nchi yetu ina amani. [...] Niombe sana ndugu zangu, tuendelee kutunza amani yetu ili tupate maendeleo zaidi." - Rais Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kizimkazi, ZanzibarView attachment 3650024
Shetani mkubwa huyu. Unaiba mali za umma, unauza raslimali zetu, rushwa kila kona. Wewe umebakia tu tuliende amani yetu. Tulinde hiyo amani ili mzidi kutuibia. Shenzi sana hipoppotumus mkubwa
 
RAIS: TUENDELEE KUTUNZA AMANI ILI TUPATE MAENDELEO ZAIDI

"Nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza kuijenga na kuileta kwa sababu nchi yetu ina amani. [...] Niombe sana ndugu zangu, tuendelee kutunza amani yetu ili tupate maendeleo zaidi." - Rais Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kizimkazi, Zanzibar

Soma pia Rais Samia: Mapinduzi yalishafanyika, sasa mapinduzi ni ya maendeleo

Kamwambie HAKI ni msingi wa AMANI.

Ukiwanyima watu haki zao za msingi kama vile kukosoa,kufanya siasa kwa mujibu wa sheria,kuishi,kuchagua viongozi wanaowataka nk ni wazi watazitafuta hizo haki kwa namna itakayoondoa amani.

Yaliyotokea Oct 29 ni katika harakati za kurudishwa haki hizo zilizopokwa na CCM.

Huwezi kuzungumzia AMANI bila HAKI.
 
Amani anayoimaanisha ni kukaa kimya wakati mafisadi yanaitafuna nchi .
downloadfile-290.png
 
RAIS: TUENDELEE KUTUNZA AMANI ILI TUPATE MAENDELEO ZAIDI

"Nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza kuijenga na kuileta kwa sababu nchi yetu ina amani. [...] Niombe sana ndugu zangu, tuendelee kutunza amani yetu ili tupate maendeleo zaidi." - Rais Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kizimkazi, Zanzibar

Soma pia Rais Samia: Mapinduzi yalishafanyika, sasa mapinduzi ni ya maendeleo

Ni kweli mheshimiwa.
Lakini nini maana ya Haki?.
 
Shetani mkubwa huyu. Unaiba mali za umma, unauza raslimali zetu, rushwa kila kona. Wewe umebakia tu tuliende amani yetu. Tulinde hiyo amani ili mzidi kutuibia. Shenzi sana hipoppotumus mkubwa
Punguza ukali wa maneno kaka.
Bado tunakupenda.
 
RAIS: TUENDELEE KUTUNZA AMANI ILI TUPATE MAENDELEO ZAIDI

"Nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza kuijenga na kuileta kwa sababu nchi yetu ina amani. [...] Niombe sana ndugu zangu, tuendelee kutunza amani yetu ili tupate maendeleo zaidi." - Rais Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kizimkazi, Zanzibar

Soma pia Rais Samia: Mapinduzi yalishafanyika, sasa mapinduzi ni ya maendeleo

well done Dr Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania 🤝
 
Back
Top Bottom