Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amethibitisha kuwa fedha zote zinazochangwa na wananchi pamoja na wanachama, ikiwemo mifumo ya kielektroniki na zile za "tonetone" zinazokusanywa mikutanoni...
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) ni chombo kinachosimamia maslahi ya waislamu Tanzania lakini lisilokubalika na baadhi ya kizazi kipya cha waislamu.
Vijana wengi wa kiislamu hulishutumu...
Mamluki wameanza kutumika kuidogosha marathon hiyo kabambe ya kuchangia baraza kuu, huku baadhi ya Taasisi za kifedha zikianza kuhojiwa
Tulionya mapema sana kuhusu Ukubwa wa Chadema, watu...
Madogo hizo akili na huo weledi hamna.
Life goes on
Be it wahusika wenyewe wa JF, bado hawajaelewa somo.
Kuna watu wapya, hawa wana access ya internet; bado hawajui mipaka ya social etiquette...
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amekitaka chama hicho kutumia vyombo vyake vya ndani kuchunguza tuhuma za kifedha zinazowakabili baadhi ya viongozi wake...
Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu, kukosoa, kukejeli nk thread ambazo zinatolewa ambazo zinaanika uobu wa...
Moderators naomba sana msifute huu uzi. Lazima watu waone ukweli wa mambo wanayofanyiwa Watanzania wenzetu wa vyama vya upinzani kwa sababu tu wanatofautiana maoni na wengine.
Wanaofanya haya ni...
Wakuu !
Wasalaam
Meme hio Meme inavosomeka inanifanya nikumbuke mjadala unaoendelea kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. John Heche.
Katika sayansi ya siasa kuna dhana inaitwa Political...
Taasisi ya kimataifa British council inapanga kufunga ofisi zake katika nchi tisa, zikiwemo Tanzania na Msumbiji, kama sehemu ya mpango wake wa kupunguza matumizi. Hatua hii inakuja huku kukiwa na...
Aliyejitambulisha kama Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani, Ramadhan Mwaja, amesema Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, apisha uchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili ambazo zimekuwa zikijadiliwa...
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande, amewataka Watanzania, hususan vijana, kujenga taifa kwa misingi ya unyenyekevu, uadilifu na haki badala ya kutumia nguvu au...
Ni ushauri wangu na mawazo na maombi yangu. Kama itawezekana hiyo Septemba Mbowe asiwepo kwenye hicho kikao muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu. Ni naamini Mbowe bado ana chuki kubwa na...
Guys.
Ssi wataalamu wa intelijensia tushajua tayari hilo ni gharasa limetumwa kushambulia.
1 Eyes contacts pamoja na kuongea peke yake mda mwingi alikuwa hajiamini kuiangalia kamera.
2...
Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hapaswi kulazimishwa kuomba msamaha ili aachiwe huru, akisisitiza kuwa hana kosa linalohitaji msamaha.
Soma...
Nakufahamu kwa namna ulivyopigania Chadema kwa muda mrefu tena kwa gharama ya damu
Ulifungwa jela kwa kesi ya uongo Ukiwa Pamoja na. Sugu, najua unanifahamu vizuri n.a. unafahamu ushirikiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.