Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, nimeshudia watu wengi walipokuwa CHADEMA walikuwa wanaonekana kama wako timamu, ubongo unachaji, wakiongea wanatoa madini, wanakupa kitu cha kukufanya ufikiri ila hao hao wakihama wanaongea...
6 Reactions
9 Replies
186 Views
Sijui ni ufupi wake? Rangi yake, aiba yake? Au vinamacho vyake? Mbona Mimi siioni ubaya kama anao twishwa? Aliyemtuma Samia akamwone Tundu Lissu Nairobi ni nani? Au ni yeye aliamua? Najiuliza...
1 Reactions
2 Replies
117 Views
Cha kushangaza hizi Tips za ongezeko la Kodi mnatoa kwa Kingereza lakini habari zingine zote mnatoa kwa Kiswahili , hii sio sawa !!! Mnahudumia walipa kodi wote Waswahili na hao wa Kingereza
0 Reactions
3 Replies
139 Views
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umetangaza rasmi fursa za uwekezaji kupitia mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), kwa kualika wawekezaji wenye uwezo, uzoefu na sifa stahiki...
3 Reactions
16 Replies
321 Views
DAVID KAFULILA: KODI NA MIKOPO PEKEE HAZITOSHI KUTEKELEZA MIRADI YOTE YA MAENDELEO KWA WAKATI NDIO MAANA TUNASUKUMA PPP. Katika Kongamano la Kitaifa la Ubia (PPP) Sekta ya Nishati, Mkurugenzi...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Prof. Henry Mollel, Rasi wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya, anasema kuwa “forum ya Mihadhara vyuoni inayoendeshwa na Kafulila kupitia PPPC ni muhimu sana kwani ni nafasi kubwa kwa vijana wetu...
3 Reactions
11 Replies
201 Views
Ni hotuba ambazo ni za kipekee sana, za kizalendo na kijasiri mno, ambazo kwa kiwango cha juu sana zinahamasisha uzalendo na kufanya waTanzania wote kua tayari kulilinda taifa kwa wivu mkubwa, kwa...
1 Reactions
1 Replies
80 Views
Wakuu, Madeleka siyo mwenzetu. Ni hayo tu. Cc: britanicca JokaKuu Erythrocyte et al
11 Reactions
40 Replies
928 Views
Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema: “Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu...
0 Reactions
4 Replies
154 Views
Anachoongea Mwandambo kwa maandishi akimtuhumu Heche kwa Ufisadi, akisema kuwa Mnyika hawezi kumsafisha Heche kwani hasafishiki. Anasema "Mnyika! Mnyika nakwambia, Heche ni mchafu. Yaani Heche...
2 Reactions
31 Replies
674 Views
Yaliyotokea katika uchaguzi wa TOC ni Salam LOUD AND CLEAR kuwa ndani ya CCM lile kundi kubwa la wezi, wabadhilifu, watekaji, waongo na kila ubaya hawakutaki kabisa na sisi watu wa kawaida tunajua...
11 Reactions
29 Replies
783 Views
Hamjambo! Walianza na harakati za ufisadi miaka hiyo. Enzi hizo. Kukemea mafisadi, kuyataja mafisadi. Waliopo na ambao hawapo. Enzi hizo kina Slaa na wenzake. Walipaza sauti. Kipindi hicho...
20 Reactions
77 Replies
2K Views
Nayaomba mashirika haya yafungue page zao rasmi humu JamiiForums ili iwe rahisi sisi wananchi tuliotelekezwa na vipeperushi vya CCM tuteme nyongo. Naamini ujumbe huu utaenda viral kwenye...
2 Reactions
4 Replies
101 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Ndg. John Heche amezungumza na watanzania jioni ya Tarehe 11 July 2026 nyumbani kwake Tarime mjini ambapo amewashukuru kwa...
12 Reactions
36 Replies
926 Views
Nimeona chawa wawili hapa Lucas Mwashambwa na jamaa yake wamefungua nyuzi za kumtuhumu makamu mwenyekitinwa Chadema John Heche kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha Soma pia John Heche hasafishiki...
5 Reactions
20 Replies
315 Views
Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na ile ya Zanzibar zinamapungufu upande wa sifa za wagombea Urais na Ubunge hata Udiwani. Tatizo wao Chadema wanataka Katiba ya KUINGIA IKULU na CCM...
0 Reactions
10 Replies
248 Views
Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakutata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi...
3 Reactions
116 Replies
2K Views
Tangu kuanzishwa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mwaka 1992, nafasi ya Katibu Mkuu imekuwa na mchango mkubwa katika kusimamia shughuli za kila siku za chama, kuratibu utekelezaji...
1 Reactions
11 Replies
357 Views
Katika siasa za kisasa, nguvu ya mwanasiasa haipimwi tu kwa nafasi aliyonayo, idadi ya mikutano anayofanya, au ukubwa wa chama anachowakilisha. Mara nyingi hupimwa kwa kiwango cha human capital...
1 Reactions
3 Replies
118 Views
Watawala wanakiwa kusikilizia sana hii ngoma
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Back
Top Bottom