Akizindua idara ya kutunza taarifa binafsi, Rais Samia Aametoa muda hadi Disemba kuhakikisha Waziri Mkuu anasimamia mifumo yote ya Serikali kusomana...
MKUU wa Mkoa Kusini Pemba, Amour Hamad Salehe, amekanusha taarifa za uzushi zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa sadaka ya Sh 5,000.
Amesema...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjasiriamali Maanayata Dutt ambaye pia ni mke wa muigizaji nguli wa filamu kutoka India Sanjay Dutt, Ikulu Jijini...
Bilioni 1.7 Kulipa Posho za Wenyeviti wa Vijiji na Mitaa
Serikali imeendelea kulipa posho za wenyeviti wa vijiji, vitongoji na mitaa ili kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao ipasavyo.
Kauli...
JUMUIYA YA WAZAZI SIHA IMEADHIMISHA WIKI YA WAZAZI KWA KUPANDA MITI ZAIDI YA 100 SHULE YA MSINGI MENDAI
Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro...
Habari wana Jamvi,
Leo nimekuja kuwasilisha kero yangu moja kubwa sana kuhusu hawa watu wanaotupangishia Nyumba au Frame za biashara. Naelewa ni zao na wana haki ila kitendo cha Mmiliki kuamua...
MBUNGE MIHAYO AKABIDHI SADAKA YA VYAKULA KWA WANANCHI ZAIDI YA 300 JIMBONI MWERA
Mwakilishi Jimbo la Mwera Mheshimiwa Mihayo Juma N’Hunga amekabidhi bidhaa za vyakula na fedha taslim kwa familia...
Msanii maarufu duniani kwenye eneo la filamu kutoka nchini ambaye ana zaidi ya wafuasi milioni mia mbili katika mitandao yake, Sanjay Dutt leo Septemba 18, 2023 ametua kuanza Royal Tour hapa...
Habari za mihangaiko wanabodi.
Wiki iliyopita mheshimiwa Rais alifanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambapo katika uteuzi huo tumeona watu mbalimbali wakitenguliwa na wengine wakipewa...
Uongozi mpya wa Chadema DSM umeahidi Ushindi wa kishindo katika Uchaguzi wa Serikali za mitaa
Ahadi hiyo imetolewa na viongozi wa Ilala, Kinondoni na Ubungo kwamba hakuna Mtaa utabaki CCM Baada...
Unapokuwa kiongozi na ukashindwa kujishusha mpaka chini kwa wale unaowaongoza, kwa kisingizio kwamba wapo viongozi husika katika kila eneo, maana yake unatengeneza picha na unatuma ujumbe kwa wale...
Ninashangazwa sana na kauli za makada waandamizi wa hiki chama cha Mbowe.. ni kauli zinazoashiria ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia inayotajwa kuwepo. Zaidi ya mara moja makada wa CHADEMA hasa...
Waziri Mkuu Kivuli Ndugu Isihaka Mchijita amesisitiza na kuitaka Serikali kufanya tathmnini ya haraka juu ya hasara ya waathirika wa mafuriko Rufiji na Kibiti na kumtaka Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
Kama kawaida yako na Leo umeharibu Uchaguzi wa Umoja wa Vijana Kawe kwa Kuwahonga baadhi ya Watendaji wa CCM Kata ( Hasa Mlevi Dokta Komba ) ili wahakikishe Mpinzani wako Mkuu Mwanamama Nasma...
Waziri wa Habari Nape Nnauye amewapongeza Upendo Media kwa Kazi Nzuri wanayoifanya kuchochea Maendeleo nchini.
Nape amesema Watanzania 78% Wanatumia Redio na waliobaki ndio wako kwenye TV na...
Taarifa ya Wakili Msomi Alphonce Lusako inadokeza kwamba zipo njama za kuhujumu Mawakili waliopeleka kesi ya Mkataba wa kitumwa wa Bandari Mahakamani.
Mbinu iliyotumika kumhujumu Wakili Fatuma...
WAZIRI WA ULINZI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA
- Asisitiza Umuhimu wa Mshikamano na Uwajibikaji.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga...
Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa...
Juzi niliona katika taarifa ya habari ya ITV wananchi wa vijiji mbalimbali bondeni mwa Bwawa la Mwalimu Nyerere wakihaha kuokoa maisha yao baada ya kuzingirwa na maji ya mto Rufiji. Hii inatokana...