Kinana Acharuka na kuwasha moto, asema wanarufiji wanahitaji misaada na siyo maneno

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,356
9,788
Ndugu zangu Watanzania,

CCM Ina viongozi majasiri, imara, hodari, shupavu na madhubuti sana.ina viongozi wasema kweli na wasioona haya kuusema ukweli, ina viongozi ambao wakati wote wanazungumza lugha za wananchi, ina viongozi ambao hawapepesi macho wala kutafuna ulimi katika kuzungumza ukweli. Viongozi wa CCM Ni watetezi wa kweli wa watanzania wanyonge wanaohitaji misaada na kusaidiwa.

Baada ya kanali wa jeshi mstaafu Mheshimiwa na ndugu Abrahaman Kinana kufika na kuitembelea Rufiji kujionea hali halisi ya kule amewasha moto ,amegeuka mbogo,amecharuka na kuwa mkali sana kama Simba na kutoa maneno mazito sana yaliyoamsha shangwe ,nderemo ,vifijo na furaha katikati ya majonzi,sintofahamu na maumivu kwa wanarufiji waliokumbwa na mafuriko yaliyosababisha athari kubwa ikiwepo kupoteza mali zao pamoja na makazi yao.

Amesema amejionea hali halisi na anapenda kusema kwa sasa kinachohitajika siyo maneno bali ni matendo ya kuwasaidia wana Rufiji, ambao kwa sasa wana mahitaji makubwa ya vyakula pamoja na mahali pa kusihi. Amesema safari za misaada kwenda Rufiji ziwe nyingi kuliko safari za watu kwenda huko .amesema ni bora misaada itangulie mbele ndio watu wafuate nyuma .amesema mahitaji yanafahamika na hivyo haina sababu mtu kufunga safari mikono mitupu pasipo misaada kwa wakati huu.

Amesema kasi ya misaada na ile iliyofika ni ndogo sana ukilinganisha na mahitaji yanayohitajika kwa waathirika,hivyo ametoa wito kwa serikali kuongeza kasi kubwa ya kupeleka mahitaji kwa watu. Amesema ni wajibu wa CCM na Serikali yake kusimama na wananchi na kuwasaidia wakati huu wanaohitaji misaada.

Rai yangu kwa watanzania ni kuwa watanzania tuunganishe nguvu zetu kuwashika mikono na kuwafariji ndugu zetu na kuwapa faraja na kuwaonyesha upendo wetu wa kitanzania na ukarimu wetu. Tubebe misaada yetu katika mabega yetu kwenda kuwapa faraja na upendo.twende tukasimame nao na kuonyesha tupo pamoja nao.twende tukawashike mikono na kuwafuta machozi,twendeni tukawaonyesha kuwa Taifa lipo pamoja nao na linaumia pamoja nao na limeguswa na yaliyowakuta na lipo bega kwa bega nao.

Siyo wakati wa kulaumiana wala kunyoosheana mikono na vidole huu,siyo wakati wakutafuta nani mwenye makosa na nani amesababisha ,siyo wakati wakutafuta nani abebe msalaba .huu ni wakati wa kubeba upendo katika mioyo yetu na vinywa vyetu kuwapatia wana Rufiji. Kila mmoja kwa nafasi yake awaguse wanarufiji kwa kuwasaidia kwa kadri Mungu alivyo mjalia.katika sikukuu hii ya Eid tusherehekea Pamoja na wanarufiji kwa kuwapatia tabasamu na furaha mioyoni mwao na kuwaondolea upweke kwa kuwapatia misaada ya hali na mali ,ili nao wajisikie vyema na kufurahia sikukuu hii ya leo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
 
Watu wanaokujua washawahi kukuambia unafaa kuchekesha?
Kila kazi nilishapewa katika mioyo ya watu.wengine wanasema ningefaa kuwa mbunge,wengine wanasema ningefaa kuwa msemaji wa club kubwa za mpira maana ingekuwa burudani tosha kunisikiliza,wengine wanasema ningekuwa mshauri wa wa watu,wengine wanasema mimi ni kiraka kwa kuwa ninafiti eneo lolote lile. Nilipokuwa shuleni huko o level nimefanya sana kazi za uchekeshaji kuwapa watu burudani mpaka wanajikuta wanacheka mpaka wanatokwa machozi utafikiri mtu aliyepaliwa wakati anakula muwa.
 
Kiraka!
 
Ndugu zangu Watanzania,

CCM Ina viongozi majasiri ,imara,hodari, shupavu na madhubuti sana.ina viongozi wasema kweli na wasioona haya kuusema ukweli,ina viongozi ambao wakati wote wanazungumza lugha za wananchi,ina viongozi ambao hawapepesi macho wala kutafuna ulimi katika kuzungumza ukweli. Viongozi wa CCM Ni watetezi wa kweli wa watanzania wanyonge wanaohitaji misaada na kusaidiwa.

Baada ya kanali wa jeshi mstaafu Mheshimiwa na ndugu Abrahaman Kinana kufika na kuitembelea Rufiji kujionea hali halisi ya kule amewasha moto ,amegeuka mbogo,amecharuka na kuwa mkali sana kama Simba na kutoa maneno mazito sana yaliyoamsha shangwe ,nderemo ,vifijo na furaha katikati ya majonzi,sintofahamu na maumivu kwa wanarufiji waliokumbwa na mafuriko yaliyosababisha athari kubwa ikiwepo kupoteza mali zao pamoja na makazi yao.

Amesema amejionea hali halisi na anapenda kusema kwa sasa kinachohitajika siyo maneno bali ni matendo ya kuwasaidia wana Rufiji, ambao kwa sasa wana mahitaji makubwa ya vyakula pamoja na mahali pa kusihi. Amesema safari za misaada kwenda Rufiji ziwe nyingi kuliko safari za watu kwenda huko .amesema ni bora misaada itangulie mbele ndio watu wafuate nyuma .amesema mahitaji yanafahamika na hivyo haina sababu mtu kufunga safari mikono mitupu pasipo misaada kwa wakati huu.

Amesema kasi ya misaada na ile iliyofika ni ndogo sana ukilinganisha na mahitaji yanayohitajika kwa waathirika,hivyo ametoa wito kwa serikali kuongeza kasi kubwa ya kupeleka mahitaji kwa watu. Amesema ni wajibu wa CCM na Serikali yake kusimama na wananchi na kuwasaidia wakati huu wanaohitaji misaada.

Rai yangu kwa watanzania ni kuwa watanzania tuunganishe nguvu zetu kuwashika mikono na kuwafariji ndugu zetu na kuwapa faraja na kuwaonyesha upendo wetu wa kitanzania na ukarimu wetu. Tubebe misaada yetu katika mabega yetu kwenda kuwapa faraja na upendo.twende tukasimame nao na kuonyesha tupo pamoja nao.twende tukawashike mikono na kuwafuta machozi,twendeni tukawaonyesha kuwa Taifa lipo pamoja nao na linaumia pamoja nao na limeguswa na yaliyowakuta na lipo bega kwa bega nao.

Siyo wakati wa kulaumiana wala kunyoosheana mikono na vidole huu,siyo wakati wakutafuta nani mwenye makosa na nani amesababisha ,siyo wakati wakutafuta nani abebe msalaba .huu ni wakati wa kubeba upendo katika mioyo yetu na vinywa vyetu kuwapatia wana Rufiji. Kila mmoja kwa nafasi yake awaguse wanarufiji kwa kuwasaidia kwa kadri Mungu alivyo mjalia.katika sikukuu hii ya Eid tusherehekea Pamoja na wanarufiji kwa kuwapatia tabasamu na furaha mioyoni mwao na kuwaondolea upweke kwa kuwapatia misaada ya hali na mali ,ili nao wajisikie vyema na kufurahia sikukuu hii ya leo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Heri wewe umeamua kupita njia ya ukweli kuna mnafiki mmoja yeye kazi yake kulaumu waliojenga bwawa tu!
 
Kwa hiyo hukutaka bwawa lijengwe? Kwamba hufahamu umuhimu wa bwawa lile kwa uchumi wetu? Hujuwi linakwenda kumaiza tatizo na kero ya umeme hapa Nchini

Kwa hiyo hukutaka bwawa lijengwe? Kwamba hufahamu umuhimu wa bwawa lile kwa uchumi wetu? Hujuwi linakwenda kumaiza tatizo na kero ya umeme hapa Nchini?
Ndo shida jambo la wengi kuamliwa na mkemia mmoja bila kujali fomula
 
Ndugu zangu Watanzania,

CCM Ina viongozi majasiri ,imara,hodari, shupavu na madhubuti sana.ina viongozi wasema kweli na wasioona haya kuusema ukweli,ina viongozi ambao wakati wote wanazungumza lugha za wananchi,ina viongozi ambao hawapepesi macho wala kutafuna ulimi katika kuzungumza ukweli. Viongozi wa CCM Ni watetezi wa kweli wa watanzania wanyonge wanaohitaji misaada na kusaidiwa.

Baada ya kanali wa jeshi mstaafu Mheshimiwa na ndugu Abrahaman Kinana kufika na kuitembelea Rufiji kujionea hali halisi ya kule amewasha moto ,amegeuka mbogo,amecharuka na kuwa mkali sana kama Simba na kutoa maneno mazito sana yaliyoamsha shangwe ,nderemo ,vifijo na furaha katikati ya majonzi,sintofahamu na maumivu kwa wanarufiji waliokumbwa na mafuriko yaliyosababisha athari kubwa ikiwepo kupoteza mali zao pamoja na makazi yao.

Amesema amejionea hali halisi na anapenda kusema kwa sasa kinachohitajika siyo maneno bali ni matendo ya kuwasaidia wana Rufiji, ambao kwa sasa wana mahitaji makubwa ya vyakula pamoja na mahali pa kusihi. Amesema safari za misaada kwenda Rufiji ziwe nyingi kuliko safari za watu kwenda huko .amesema ni bora misaada itangulie mbele ndio watu wafuate nyuma .amesema mahitaji yanafahamika na hivyo haina sababu mtu kufunga safari mikono mitupu pasipo misaada kwa wakati huu.

Amesema kasi ya misaada na ile iliyofika ni ndogo sana ukilinganisha na mahitaji yanayohitajika kwa waathirika,hivyo ametoa wito kwa serikali kuongeza kasi kubwa ya kupeleka mahitaji kwa watu. Amesema ni wajibu wa CCM na Serikali yake kusimama na wananchi na kuwasaidia wakati huu wanaohitaji misaada.

Rai yangu kwa watanzania ni kuwa watanzania tuunganishe nguvu zetu kuwashika mikono na kuwafariji ndugu zetu na kuwapa faraja na kuwaonyesha upendo wetu wa kitanzania na ukarimu wetu. Tubebe misaada yetu katika mabega yetu kwenda kuwapa faraja na upendo.twende tukasimame nao na kuonyesha tupo pamoja nao.twende tukawashike mikono na kuwafuta machozi,twendeni tukawaonyesha kuwa Taifa lipo pamoja nao na linaumia pamoja nao na limeguswa na yaliyowakuta na lipo bega kwa bega nao.

Siyo wakati wa kulaumiana wala kunyoosheana mikono na vidole huu,siyo wakati wakutafuta nani mwenye makosa na nani amesababisha ,siyo wakati wakutafuta nani abebe msalaba .huu ni wakati wa kubeba upendo katika mioyo yetu na vinywa vyetu kuwapatia wana Rufiji. Kila mmoja kwa nafasi yake awaguse wanarufiji kwa kuwasaidia kwa kadri Mungu alivyo mjalia.katika sikukuu hii ya Eid tusherehekea Pamoja na wanarufiji kwa kuwapatia tabasamu na furaha mioyoni mwao na kuwaondolea upweke kwa kuwapatia misaada ya hali na mali ,ili nao wajisikie vyema na kufurahia sikukuu hii ya leo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
We popoma kweli kumbe ile misaada ya Viwavi wenu ni HEWA....

Bavicha wamewaamsha eehh!!!
 
Back
Top Bottom