Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Jimbo la Vunjo Dkt. Charles Stephen Kimei amekuwa miongoni mwa wabunge waliochangia katika mjadala wa bajeti ya wizara ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ambapo ameeleza mambo kadhaa ikiwemo:-...
0 Reactions
2 Replies
495 Views
Sikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea.. Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti. Inashangaza sana. Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo...
17 Reactions
109 Replies
4K Views
Wanabodi heshima kwenu wakuu! Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi toleo la leo 16/04/2024 ukurasa wa 17, kuwa RAIS DR SAMIA atafanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mda wa siku 5 kuanzia...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
DKT SAMIA, RAIS PENDWA WA DUNIA; MUASISI WA HAKI NA UHURU WA PILI TANZANIA. Mimi ni mwanasiasa, ninaifanya Siasa kwa vitendo na sio kuisoma mtandaoni wala kuhadithiwa. Chama changu cha kwanza...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amemtahadharisha Mkuu wa KKKT askofu Dr Alex Malasusa kwamba Waumini wa KKKT - DMZV wamepanga kufanya Maandamano ya amani wakati wa kikao...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Report za CAG zinatoka tunashuhudia hasara kwenye mashirika na pesa zinaibiwa. Kuna haja gani ya kuendelea kuhitaji watu wenye uzoefu mkubwa kusimamia hayo mashirika? Ndugu wanajamii forum hao...
0 Reactions
5 Replies
708 Views
Mwaka jana nilibahatika kuangalia mfumo wanaotumia kufanya mahesabu ya wastaafu. Kikubwa nilichokiona ni kwamba, wafanyakazi hawawezi kulipwa mafao yote baada ya kustaafu. Mfumo/Kanuni yenyewe...
11 Reactions
53 Replies
4K Views
Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato. Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe...
24 Reactions
364 Replies
29K Views
Leo alfajiri Tarehe 13/4/2024 limepita gari la matangazo katika jiji la Mbeya na vitongoji vyake kwamba waziri wa ardhi atakuwa ukumbi wa mkapa kusikiliza na kutatua KERO. Slaa unajua uamuzi wako...
2 Reactions
7 Replies
790 Views
Pamoja na ukweli kwamba Ibara ya 107A(2)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaitaka Mahakama kutoa haki bila kujifunga na mambo ya kiufundi kiasi cha kushindwa kutoa haki,mambo kwa...
1 Reactions
9 Replies
956 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Komredi Kinana amewataka Wanaccm halisi kuwatambua Ndumilakuwili Wote ambao mchana wako CCM na Usiku wako Chadema na wawaweke pembeni Aidha Kinana amesema katika Dunia ya...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Kupitia Uongozi wa Viongozi Wetu, Tunajifunza Ushupavu na Hekima Kubwa Katika Kukabiliana na Mambo Ya Kijamii, Kitaifa, Kimataifa, na Mmoja mmoja. Tunajifunza Kuwa Uongozi Ni Kuwa Mfano Pale...
0 Reactions
5 Replies
697 Views
Mbona kimya ghafla? Nini tatizo wandungu? Kila Kona ya nchi watu wamejawa na kiua ya kuona usajili wa chama pendwa Duniani. Watu wanataka kuvunja rekodi za chama kuvuna wanachama mamilioni Kwa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CCM (W) Rorya, Ongujo Wakibara na DC wa Rorya, Juma Chikoka jana usiku wamefanya Kikao na Viongozi wa Tarafa ya Suba nyumbani kwa Mwenyekiti wa CCM (W) Ongujo, Wakibara Shirati...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imeliomba Bunge likubali kuidhinisha Sh10.1 trilioni ambazo ni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini, Nabii wa Mungu Godbless Lema amewataka wakuu wa vyombo vya Usalama vya Tanzania kujiuzulu mara moja kutokana na Uzembe wa kutokujua kwamba Rais anatukanwa...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na...
0 Reactions
0 Replies
465 Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu uweke mwongozo unaohitaji uwasilishaji wa NIDA kuwa ni...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani. Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu...
49 Reactions
198 Replies
14K Views
WAZIRI KAIRUKI KUMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MIOMBO, WASHINGTON DC Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
1 Replies
519 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…