Obwere Kabwana
New Member
- Sep 20, 2023
- 3
- 5
Mwenyekiti wa CCM (W) Rorya, Ongujo Wakibara na DC wa Rorya, Juma Chikoka jana usiku wamefanya Kikao na Viongozi wa Tarafa ya Suba nyumbani kwa Mwenyekiti wa CCM (W) Ongujo, Wakibara Shirati
Lengo la kikao ni kuwapanga Wajumbe wa Halmashauri Kuu kutoka Tarafa ya Suba kuwazomea Viongozi Wastafu wa CCM Rorya na Mkoa ambao wengi wanatoka kabila la Luo
Leo Tarehe 14 April
Mida ya saa nane Mchana Kikao Kingine kinaendelea Katika Hoteli ya Owan Shirati ajenda ikiwa ni kupendekeza Majina ya madiwani na Wajumbe wa Halmashauri kuu ambao wataongea kesho kuwashambulia Wastafu na Viongozi wa Chama (W) ya Rorya wanaotoka kabila la Luo
Ongujo amewahakikishia kuwa hatakubali Viongozi wanaotokana na kabila la Luo kuzungumza katika kikao cha ndani cha Halmashauri kuu ya CCM (W)
Azimio lingine ni kutafutwa walevi ambao siyo wajumbe kesho waingie kwa Lengo la kuzomea na kikao kimeridhia waingie Walevi 50 na kila mmoja alipwe Tzs 30,000/= Pamoja na Pombe za Shimua catton 4 na Bear Cret Saba
Hadi Sasa Wajumbe kutoka Tarafa ya Suba tayari wamewasili viunga vya Shirati kila Mmoja amepewa Posho ya TZs 140,000/= Pamoja na Malazi Hotel ya Owan ,Jumla wapo Wajumbe wa Halmashauri Kuu 45@140,000=6,300,00 0.00
Pesa za operesheni zitatolewa leo Usiku Nyumbani kwa Ongujo Shirati, Mkuu wa Wilaya Juma Chikoka ameridhia Kushiriki kikao cha Usiku Nyumbani kwa Ongujo
Nitaendelea Kuwajuza Yanayojiri….!