Kinana: CCM iwatambue Ndumilakuwili Wote ambao Mchana wako CCM na Usiku wako Chadema, pia kemeeni Ukabila na Udini!

Undumi la kuwili ndio ugonjwa mbaya Sana, yafaa wakibainika waondoshwe kimya kimya! endapo kama wapo kwenye nyadhifa za kiutumishi.
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Komredi Kinana amewataka Wanaccm halisi kuwatambua Ndumilakuwili Wote ambao mchana wako CCM na Usiku wako Chadema na wawaweke pembeni

Aidha Kinana amesema katika Dunia ya Leo Ukabila na Udini havina Nafasi na baba wa taifa mwalimu Nyerere alivipiga Vita Sana

Source: Channel ten

Mlale Unono 😄😄🔥
Mbona hakemi mikataba mibovu kama ya DP weldi au Baba wa Taifa aliunga mkono hicho kitu.
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Komredi Kinana amewataka Wanaccm halisi kuwatambua Ndumilakuwili Wote ambao mchana wako CCM na Usiku wako Chadema na wawaweke pembeni

Aidha Kinana amesema katika Dunia ya Leo Ukabila na Udini havina Nafasi na baba wa taifa mwalimu Nyerere alivipiga Vita Sana

Source: Channel ten

Mlale Unono 😄😄🔥
Wakisha maliza kuongea hayo, wanaingia gizani kumtukana mwenyekiti wao uhuni wa kizamani Sana siraha Yao chadema Sasa dogo jinga wao bashite kawavua nguo rasmi, wanatapatapa
 
Yupo wapi chacha wangwe!, na Zitto mlimkosa kosa akashtuka atasepa fasta.
Chacha Wangwe aliuliwa na CCM. Walimchochea alete ugomvi ndani ya chama na ulipofika kwenye peak wakamuua ili ionekane Chadema ndiyo wamemuua. Walimpa kazi Mtikila kueneza uongo huo wakati wa wa uchaguzi mdogo kuziba nafasi ya Chacha,nakumbuka wananchi wa Tarime waliujua mchezo huo ndiyo maana walimpiga jiwe Mtikila wakati anaeneza huo uzushi. Na kuthibisha kuwa wananchi wa Tarime hawakukubali mchezo mchafu wa CCM wakachagua mbunge toka Chadema tena. Hii propaganda ya kuhusu Chacha Wangwe ilibuma kitambo ndiyo maana hadi leo mwanawe Chacha Wangwe yuko Chadema. Na yule dereva aliyehusika ni kada wa CCM. Wewe hujui kitu.
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Komredi Kinana amewataka Wanaccm halisi kuwatambua Ndumilakuwili Wote ambao mchana wako CCM na Usiku wako Chadema na wawaweke pembeni

Aidha Kinana amesema katika Dunia ya Leo Ukabila na Udini havina Nafasi na baba wa taifa mwalimu Nyerere alivipiga Vita Sana

Source: Channel ten

Mlale Unono 😄😄🔥
Hao ni wapi ambao mchna wako ccm usiku wako Chadema? mzee wenda anawajua wawili au watatu angeanza kuwataja
 
Chacha Wangwe aliuliwa na CCM. Walimchochea alete ugomvi ndani ya chama na ulipofika kwenye peak wakamuua ili ionekane Chadema ndiyo wamemuua. Walimpa kazi Mtikila kueneza uongo huo wakati wa wa uchaguzi mdogo kuziba nafasi ya Chacha,nakumbuka wananchi wa Tarime waliujua mchezo huo ndiyo maana walimpiga jiwe Mtikila wakati anaeneza huo uzushi. Na kuthibisha kuwa wananchi wa Tarime hawakukubali mchezo mchafu wa CCM wakachagua mbunge toka Chadema tena. Hii propaganda ya kuhusu Chacha Wangwe ilibuma kitambo ndiyo maana hadi leo mwanawe Chacha Wangwe yuko Chadema. Na yule dereva aliyehusika ni kada wa CCM. Wewe hujui kitu.

Chacha Wangwe aliuliwa na CCM. Walimchochea alete ugomvi ndani ya chama na ulipofika kwenye peak wakamuua ili ionekane Chadema ndiyo wamemuua. Walimpa kazi Mtikila kueneza uongo huo wakati wa wa uchaguzi mdogo kuziba nafasi ya Chacha,nakumbuka wananchi wa Tarime waliujua mchezo huo ndiyo maana walimpiga jiwe Mtikila wakati anaeneza huo uzushi. Na kuthibisha kuwa wananchi wa Tarime hawakukubali mchezo mchafu wa CCM wakachagua mbunge toka Chadema tena. Hii propaganda ya kuhusu Chacha Wangwe ilibuma kitambo ndiyo maana hadi leo mwanawe Chacha Wangwe yuko Chadema. Na yule dereva aliyehusika ni kada wa CCM. Wewe hujui kitu.
Kama siyo akili pevu ya Zitto, mngesha mng'oa!
 
Back
Top Bottom