Usiku wa Mei 4, 2024 ACT wazalendo itazindua Nembo Mpya na kupandisha Bendera Mpya
Je, Hiyo ni Ishara ya kuingia kwenye Siasa mpya zisizo na Uchawa kwa CCM?
Anasema kipindi kilichopita kilikuwa na kikundi kinaitwa task force.
TRA walikuwa wanafunga account za wafanyabiashara kwa kisingizio cha kukusanya kodi kwa kutumia Task force hivyo kufilisi...
Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu...
Serikali ianze sasa utekelezaji wa wazo la Rais Samia alilotoa mwaka uliopita la kuvuna maji ya mvua Kwa kujenga mabwawa makubwa ili kuwe na hifadhi kubwa ya maji na pengine kusaidia kupunguza...
Wanabodi
Hii ni makala yangu ya Gazeti la Mwananchi Wiki hii
Leo naendelea na hizi makala elimishi kuhusu katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba, alidhamiria nini. Wiki iliyopita nilizungumzia...
Ndugu zangu Watanzania,
Habari ni kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mualiko...
Hashim Rungwe
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesema hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi mkuu mwakani bila kuwa na Katiba mpya.
Anasema haamini kama Tume...
Hiki kiwanda cha mbolea na petrochemical kinaonekana kipo Tanzania ukiangalia kwenye page ya wikipidia.
---
Wajerumani kujenga kiwanda kikubwa cha mbolea Mtwara
Kampuni ya HELM A.G ya nchini...
Kenya imetajwa kama nchi ambayo pesa yake inaimarika dhidi ya USD kwenye nchi za kusini mwa jangwa la Sahara.Siku za hivikaribuni shiling ya kenya imenza kuimarika sana baada ya kuyumba sana.
Hii...
Kuna hiki chama kinaitwa Mtetezi wa Mama Tanzania na kinaonyesha kina viongozi hadi wa mikoa, jee kimesajiliwa kweli?
Na kama kimesajiliwa taratibu zimefuatwa au ni uhuni tuu?
Msajili akumbuke...
Kupinga kila kitu siyo kujenga hoja wala si kushawishi umati, ila ni kufanya uchochezi ✍️
Jambo lingine, kwanini kutukana mnaita kupinga kwa hoja?
Kukejeli mnaita kupinga kwa hoja?
Kudhalilisha...
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ndugu Abdalla Shaibu Kaim na Timu yake yote wameipongeza sana Serikali na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa michango mikubwa ya kifedha kwa...
SERIKALI KUANZA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU VITAMBULISHO VYA NIDA VYENYE UKOMO NA VISIVYO NA UKOMO
Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam...
Hakika leo nimeamini kuwa Taifa hili tumefika hapa tulipo Kwa ajili ya unafiki na uchawa wa Viongozi ambao ndiyo washauri wa Rais kuwa waongo na watu wakujipendekeza tu kwenye mamlaka ya uteuzi...
Mnamo Oktoba 2023, Nilifanikiwa Kuhudhuria Mahafali Ya Kidato Cha Nne, Ya Shule Ya Upili, Zavara.
Katika Mahafali Haya, Mgeni Rasmi Alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Anayewakilisha Wafanyakazi, Mhe...
Shehe mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar amesema Ijumaa itakuwa ni siku Maalumu ya kuliombea Taifa juu ya mvua zinazoendelea kunyesha
Mungu wa Mbinguni mbariki Mufti Abubakar
MHE. ENG. AISHA ULENGE, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva Uswissi.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga, Mhandisi Mwanaisha...
Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla wake tuna Wakia Milioni 45 ya akiba ya dhahabu lakini leo tunasomeka ni kati ya nchi Masikini Duniani
"Hotuba ya Waziri Mkuu Imezungumzia Maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.