Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Serikali ya awamu ya 5 na Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema kupanda kwa Bei za Uchukuzi kutaathiri uchumi wa Wafanyabiashara wenye mitaji midogo Kigwangalla amesema Haya...
1 Reactions
3 Replies
419 Views
UTANGULIZI Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam almaarufu kama DIT ni moja ya vyuo vikongwe sana hapa nchini, chuo hiki kimetoa wataalamu mbalimbali kuanzia mafundi mchundo mpaka wahandisi katika...
12 Reactions
90 Replies
19K Views
Tanzania ni lango kuu la kupokea,kisafirisha mizigo inayoingia na kutoka ktk nchi takribani 7.Uwekezaji mkubwa ktk bandari zetu na miundombinu ya Reli,barabara,Mabomba na anga ni ushahidi tosha wa...
1 Reactions
5 Replies
710 Views
Wasalaam Jf, Vijana Wakizalendo bila kujali itikadi za vyama vyao wametoa tamko kwa kile kinachosemwa na Upinzani kuwa ni maridhiano baina yao na CCM Tanzania. Akizungumza na Waandishi wa...
8 Reactions
10 Replies
733 Views
Habari zenu, Giving back to the community ni program moja nzuri sana ya kuirudishia jamii au kuwafanyia jambo jamii kwa kujitolea, tumekua tukiona baadhi ya makampuni wakifanya donation au charity...
1 Reactions
2 Replies
463 Views
JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%. Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
Hiki kisiwa kikiboreshwa vema kinaweza kuwa mbadala wa Zanzibar japo hakiwezi kuwa kama Zanzibar. Kina fukwe kubwa na nzuri, Kina utalii wa majini Utalii wa mashambani ni muhimu tujivunie na...
20 Reactions
50 Replies
3K Views
Habari Tanzania, Kama barua iliyoandikwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Mafunzo & Uenezi Cde Amos Gabriel Makalla inavyojieleza. Tuendelee kuiombea CCM kwani ni hakika bila CCM...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Hii kumchangia changia ili anunue gari ni danganya toto tu lkn ukweli ni kuwa Maria na wanaharakati wenzake ndani ha Chadema wanamshawishi Lissu agombee uenyekiti wa Chama wakidhani kwa akili zao...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani. Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi...
6 Reactions
115 Replies
5K Views
Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja Bunge limepoteza mvuto kabisa Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge Nakumbuka kabla ya bunge Kuwa la chama kimoja Wakati huu wa bunge la bajeti...
9 Reactions
65 Replies
3K Views
Uwanja wa CCM KIRUMBA unabeba Watu zaidi ya 35,000 lakini cha kushangaza kuna matundu manne 4 tu ya vyoo ambapo vyooni hamna maji. Sehemu ya kukojoa kwa Wanaume mifereji imejaa mikojo na harufu...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe...
12 Reactions
119 Replies
6K Views
Duniani kokote kule haijawahi tokea kiongozi wa nchi awe msafi kama Pamba then akubali kufanya kazi na Panya. Hiawezekani kamwe. Watendaji wapigaji wanawakilisha kisawasawa tabia ya alie wateua...
1 Reactions
0 Replies
428 Views
Waziri Nape ameyasema hayo leo Bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari tarehe 16/5/2024. "Napenda kuvishukuru vyombo vya habari...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Ikiwi Zitto ataamua kuacha kugombea Ubunge Kigomo Mjini Kuna vita kubwa ya nani atakuwa mrithi wake, huku ikionekanwa kuwa tayari Zitto ameshamuanda kipenzi chake.
1 Reactions
2 Replies
605 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mtu Kazi) kesho Jumatatu Mei 20, 2024 ataanza ziara mkoani Morogoro kwa ajili ya kukagua shughuli...
1 Reactions
2 Replies
577 Views
Mnyukano wa kimjadala uko ukurasani X ambapo Mjumbe wa CC ya ACT Wazalendo mh Zitto Kabwe amesema wao hawana Wivu na Tundu Lisu kununuliwa Gari mpya na Wananchi Ni hilo tu Ahsanteni 😂😂😂😂
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam Mhe. Tundu lissu, Natumaini unaendelea vema. Mhe. Tundu lissu nikiri kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania ninayekupenda na kukufatilia sana. Naamin kabisa katika siasa za Tanzania wewe...
19 Reactions
61 Replies
4K Views
Hii ndio Taarifa ya hivi karibuni kwamba Wananchi wa Manyoni wameomba hiyo Gari izungushwe nchi nzima kisha iwekwe Makumbusho ya Taifa Viongozi wa Chadema walio Kwenye msafara wamelipokea...
3 Reactions
7 Replies
479 Views
Back
Top Bottom