Tuboreshe kisiwa cha Mafia kama mbadala wa Zanzibar

Naona safari hii watanganyika mmedhamiria kweli kweli kutemana na muungano!!
Wanazingua sana wazenji. Mimi naumia sana.
Halafu hawa wanasiasa hasa CCM sijui hofu yao iko wapi. Kila kitu kipo wazi lkn wanasua. Yaani maamuzi ya zmaregemu wetu tunayaendeleza tu hata kama yanatusumbua? Sasa inatusaidia mini kuwa na akili
Kule kwenye mijadsla inafika mahali akisimama Mccm hata kama slihedhimika sana wajumbe wanainama kuonyesha state tea uozo. Jana but genius wabunge wamewasha kiaina. Sms tosha sana ya kutuvusha hapa. Tanganyika iwepo, Zanzibar iwepo.
 
Kile kisiwa kimekaa kimkakati Sana lakini serikali imekisusa kabisa kile kisiwa ikitokea kwa mfano wamekuja wazungu waka kinunua waka kipiga "sabuni na wavu" vizuri tutakisahau kabisa, lakini bahati mbaya sana hakuna mtu ndani ya serikali ya ccm anae iwazia mema nchi yetu ya Tanganyika
 
Tuiamshe na kuikumbusha serikali
Kile kisiwa kimekaa kimkakati Sana lakini serikali imekisusa kabisa kile kisiwa ikitokea kwa mfano wamekuja wazungu waka kinunua waka kipiga "sabuni na wavu" vizuri tutakisahau kabisa, lakini bahati mbaya sana hakuna mtu ndani ya serikali ya ccm anae iwazia mema nchi yetu ya Tanganyika
i
 
Kwa kifupi wageni a.ka watalii wengi wanaokwenda Zanzibari ni wanaenda kupumzika siyo kutalii, hivyo hili wazo wako ni zuri sana.

Na endapo kama itawezekana uwanja la ndege upanuliwe ili ndege kubwa ziwezwe kutua direct na kuwepo hizo five star ✨ hotels kama ulivyosema.

Hili wazo linaweza kuonekana la masikini kwa sababu haupo kwenye mnyororo wa thamani wa system ya CCM ila kimantiki lina lipa.

Mwenye uthubutu hayupo na angekuwepo au akija mbona fasta tu, kesho unasikia kelele za watanganyika "ooh mbona pesa yote inapelekwa mafia, ooh mafia kuna nini kule, itakuwa white elephant project 😂!.
 
Back
Top Bottom