KERO Uwanja wa CCM KIRUMBA una matundu manne 4 tu ya vyoo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
2,459
5,420
Uwanja wa CCM KIRUMBA unabeba Watu zaidi ya 35,000 lakini cha kushangaza kuna matundu manne 4 tu ya vyoo ambapo vyooni hamna maji.

Sehemu ya kukojoa kwa Wanaume mifereji imejaa mikojo na harufu kali.

Mikojo na vinyesi vimetapakaa sehemu nyingi na uwezekano wa kuambukiza magonjwa ya mlipuko kama Kipindupindu.

Natoa wito kwa uongozi wa uwanja huu kuzingatia afya zetu wapenzi wa soka kwa kuongeza vyoo na kuweka maji pia kuzingatia kanuni nyingine za afya.

DktT9_JWwAAbTjK.jpeg

Uwanja-wa-CCM-Kirumba-1536x864.jpg

Picha: Mtandao
 
Watanzaniabtubabtattizonlanuj8nga.

Ushaona kuna Shimo, unakwenda kutumbukia kwa makusudi halafu unalalamika.
 
Uwanja wa CCM KIRUMBA unabeba watu zaidi ya 40,000 lakini cha kushangaza kuna matundu manne 4 tu ya vyoo ambapo vyooni hamna maji

Sehemu ya kukojoa kwa wanaume mifereji imejaa mikojo na harufu kali

Mikojo na vinyesi vimetapakaa sehemu nyingi na uwezekano wa kuambukiza magonjwa ya mlipuko kama Kipundupindu

Natoa wito wa uongozi wa uwanja huu kuzingatia afya zetu wapenzi wa soka kwa kuongeza vyoo na kuweka maji pia kuzingatia kanuni nyingine za afya
Ccm ni janga nchi hii...
Kama uwanja wameshindwa usimamia wataweza nchi?
 
CCM ni majanga viwanja walipora na kujimilikisha wanakusanya mapato ila hawaviendelezi.
 
Hata uwanja wa Kaitaba Bukoba sehemu ya jukwaa kuu kuna vyumba 2, chumba kimoja kimefungwa kwa kufuli wakati mechi zikiendelea. Chumba cha pili wametoa mlango ili kisitumike. Sehemu ya kukojoa ndo usiseme, pachafu kama nini. Swali, uwanja wa Kaitaba unamilikiwa na nani?
 
Uwanja wa CCM KIRUMBA unabeba watu zaidi ya 40,000 lakini cha kushangaza kuna matundu manne 4 tu ya vyoo ambapo vyooni hamna maji

Sehemu ya kukojoa kwa wanaume mifereji imejaa mikojo na harufu kali

Mikojo na vinyesi vimetapakaa sehemu nyingi na uwezekano wa kuambukiza magonjwa ya mlipuko kama Kipundupindu

Natoa wito wa uongozi wa uwanja huu kuzingatia afya zetu wapenzi wa soka kwa kuongeza vyoo na kuweka maji pia kuzingatia kanuni nyingine za afya
CCM imetoa CCM imetwaa...jina la chama hicho lishukuriwe...ni jambo gani watawala wetu wamefanya kukidhi na kupita?
 
Uwanja wa CCM KIRUMBA unabeba watu zaidi ya 40,000 lakini cha kushangaza kuna matundu manne 4 tu ya vyoo ambapo vyooni hamna maji

Sehemu ya kukojoa kwa wanaume mifereji imejaa mikojo na harufu kali

Mikojo na vinyesi vimetapakaa sehemu nyingi na uwezekano wa kuambukiza magonjwa ya mlipuko kama Kipundupindu

Natoa wito wa uongozi wa uwanja huu kuzingatia afya zetu wapenzi wa soka kwa kuongeza vyoo na kuweka maji pia kuzingatia kanuni nyingine za afya
.... upigwe marufuku kutumika kwenye michezo ya ligi. Ama eneo litaifishwe na serikali ili ujengwa uwanja mpya wa kisasa kuendana na hadhi ya jiji, ama jiji lijenge uwanja wake wa kisasa eneo la Kitangiri ili ligi iachane na Kirumba ya CCM.
 
Hap watu elfu 40 wanakaa au wengi wanasimama?
 
Watanzaniabtubabtattizonlanuj8nga.

Ushaona kuna Shimo, unakwenda kutumbukia kwa makusudi halafu unalalamika.
Mama hii sms,muda uliotuma nashawishika kuamini uko maeneo unapiga kilaji baada ya mfungo🤣🤣.
 
.... upigwe marufuku kutumika kwenye michezo ya ligi. Ama eneo litaifishwe na serikali ili ujengwa uwanja mpya wa kisasa kuendana na hadhi ya jiji, ama jiji lijenge uwanja wake wa kisasa eneo la Kitangiri ili ligi iachane na Kirumba ya CCM.
Jiji lilo chini ya chama cha ccm lihujumu mapato ya ccm 😀😀
 
.... upigwe marufuku kutumika kwenye michezo ya ligi. Ama eneo litaifishwe na serikali ili ujengwa uwanja mpya wa kisasa kuendana na hadhi ya jiji, ama jiji lijenge uwanja wake wa kisasa eneo la Kitangiri ili ligi iachane na Kirumba ya CCM.
Kitangiri ninayoifahamu kumejaa ni wapi wanaweza kujenga uwanja?
 
Ni wasukuma hao hawana kazi na toilet Ccm waweke vichaka kuzunguka uwanja
 
Back
Top Bottom