Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB.
Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa...
Miradi mingi ya ujenzi wa miundombinu inajegwa na wakandarasi wa kigeni hasa Wachina, miradi hiyo mingi imesimama pesa ya kuwalipa hakuna. serikali inajaribu kuwashawishi waendelee kujenga kwa...
Huyu Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais!
Huyu jamaa ukimtazama haraka haraka unaweza kumchukulia poa Ila spiritual na...
Kutoka Ufaransa , Mwenyekiti Samia amefanikiwa kuitambulisha ajenda yake ya kuwasidia Wakinamama wa Afrika kuondokana na matumizi ya Kuni na mkaa(Nishati chafu) Kwa kufanikiwa kupata ahadi za...
Nimekuwa najiuliza KAZI za Waziri ni zipi?Je ni kusimamia Sera ktk Wizara yake au Kuzunguka Nchi nzima kutatua MIGOGORO?
Wizara ya Ardhi ni moja ya Wizara zinazoongoza kwa Migogoro Nchi kwa Miaka...
Kuna Hali Fulani nchi inalazimishwa kuwadekeza wanawake. Au kuwafanya wajihisi kama ni kundi la kuonewa huruma yaani walemavu. Kila mahali wanataka huruma. Hata uchaguzi ujao wanatumia misemo ya...
Kimsingi Wabunge wa Viti maalum kazi yao kubwa ni kupiga makofi na kutoa sauti kubwa ya " NDIO" wakati wa kupitisha vifungu na kazi hii inaweza kufanywa kwa Ufanisi na Robot kwa sababu atakuwepo...
Ni ushauri tu kwa sababu kwa Sera za Chadema na hata sera za madhehebu fulani ya Wagalatia Zanzibar ni Jimbo
Muungano wa Kweli ni Ule wa Serikali 1 tukishindwa tuitafakari sera ya Chadema...
Kumekuwa na ongezeko la ufaulu wa wanafunzi wanaohitimu kidato cha nne na cha sita mwaka hadi mwaka na serikali imekuwa ikipongezwa kwa kuongeza ufaulu mwaka hadi mwaka
Hata hivyo hali imeguaka...
MHE. NOAH LEMBRIS, Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Akizungumza Kuhusu Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Bungeni Jijini Dodoma
"Niliposoma taarifa ya...
Kwanamna mambo yalivyo ni dhahiri shahiri kwamba kuipata Katiba Mpya bila ccm KULAZIMISHA nakama ndoto ya mchana kweupe, hawa jamaa wanajua kabisa kwamba Katiba Mpya itawaweka pembeni. Sasa...
Mwenyekiti wa DP, Mchungaji Christopher Mtikila amesema Chadema ilikurupuka na kudandia hoja ya Katiba mpya ya nchi bila kuzingatia maslahi ya Watanzania na kuonya kuwa mchakato wa kuunda Katiba...
Wakuu Heshima mbele!
Jana nilipokuwa natazama vikao vya bunge vinavyoendelea Dodoma.
Mbunge msambantavangu alikuwa akizungumza kuhusu ukatili wa kijinsia, anasema imekuwa ni kawaida kuripoti...
Kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka unaofuata kumekuwa na tabia ya viongozi wa serikali kuwaalika viongozi wa Dini kwenye matukio mbalimbali...
Akitangaza kuhamia CCM jana January 22, Upendo Peneza amesema kuwa...
"Sasa tuna hoja nzuri sana mezani, Bungeni kuna Miswada mitatu ya Sheria ambayo inabidi ipitishwe na Bunge lakini mmesikia...
Kwa vielelezo na ushahidi mkubwa, bila shaka Tanzania ina baadhi ya viongozi ambao akili yao yumkini ni chini ya wastani wa akili ya mwanadamu.
Fikiria kuwa serikali kwa takwimu inaeleza jinsi...
Dada anafunguka vibaya huko kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
===
Video: Mwananchi
Mwanasiasa Upendo Peneza anasema wakati anaingia CHADEMA kilikuwa chama cha kawaida kabla ya...
Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo.
Nyuma ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.