Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MBUNGE STANSLAUS NYONGO ASEMA MSD IWEZESHWE KIMTAJI ILI IFIKIE MALENGO NA KUTOA HUDUMA NZURI KWA WANANCHI Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo tarehe 12 Mei, 2023...
0 Reactions
1 Replies
702 Views
Hafla ya Pili Kitaifa ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujielezea iliyoandaliwa na MISA - Tanzania Mobhare Matinyi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. 🗓️...
0 Reactions
1 Replies
496 Views
Najuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa
26 Reactions
124 Replies
10K Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amemtaka kiongozi wa ardhi kumpatia haki babu wa miaka 81 ndani ya dakika tano kwani hati hiyo ameifuatilia kwa muda mrefu sana.
8 Reactions
35 Replies
2K Views
TAFSIRI BINAFSI JUU YA KIFO CHA HAYATI JPM KATI YA MSITU MNENE WA TAFSIRI MBALIMBALI NCHINI. Na Eng. Bishanga G.C. (Edc.facilitator & MP aspirant ) :Kyerwa, Kagera, Tanzania 🇹🇿...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Ifike muda haya mambo yazungumzwe tena. Hivi hawa wazungu wakijua kuwa beberu ni mbuzi dume, tena lile dume haswa wanatuelewa vipi? Pata picha beberu anapoomba mechi. Kwa lugha nyingine sisi...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti Maalum Santiel Eric Kirumba ameishauri Serikali kuweka makato ya Tsh. 50 kwa kila laini ya simu kwa ajili ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ili kuuwezesha kuwa na makusanyo...
3 Reactions
137 Replies
9K Views
Kama mdau wa maendeleo wa nchi hii yetu pendwa..nimekua toka enzi za utoto nikiona matumizi makubwa ya RELI ya TAZARA. Katika utawala wa Mwinyi na Mkapa RELI hii ilikuwa ni kitovu cha uhudumiaji...
3 Reactions
6 Replies
645 Views
Tumsifu Yesu Kristo. Wakuu leo nipo kuwakumbusha ya kuwa utendaji anaofanya makonda kwenye ziara zake ndio unaotakiwa kwenye nchi kama hii, kuna watu watabishia hili kwasababu hawajawah kukutana...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Mbunge anasema na au anakana kwamba yeye si Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Mtanzania”. Sasa Humo Bungeni anafanya nini? Hatuna Nchi inayoitwa Zanzibar wala nchi ya Tanganyika. Tuna...
25 Reactions
154 Replies
11K Views
Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo hii kinafanya Mkutano Mkuu Maalum Jimbo la Mjini Morogoro. Kuna Chaguzi kadhaa za Viongozi wa Jimbo pamoja na...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
Salaam, shalom!! Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu uchaguzi unaendelea wa Kanda, mchuano ni mkali na leo tumeshuhudia Mh Sugu akiibuka mshindi Kwa tofauti ya kura mbili pekee. Jambo jingine...
15 Reactions
51 Replies
3K Views
Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara na Wananchi wanaoishi katika Kijiji cha Nyamongo wameiomba Serikali kuwachukulia hatua waliohusika na vifo vya wananchi baada ya kutokea mgogoro katika eneo...
0 Reactions
1 Replies
418 Views
Wapiga kura wapya 224,355 wanatarajiwa kuandikishwa mkoani Kigoma wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika mkoani humo kwa siku saba kuanzia tarehe 01 hadi...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imeandaa mikakati kwa kila mwalimu wa shule ya sekondari kuvaa sare ya suti kwa ajili ya matukio mbalimbali. Mkuu wa mkoa huo, Albert Chalamila amesema wameandaa...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Kichwa cha Uzi kinajieleza chenyewe Niwapongeze Wana Nyasa kwa ukomavu wenu wa kisiasa na hasa nikielewa katika Kanda zote za Chadema DP World aliviogopa sana Nyasa hasa hapo Mbeya kwa akina mkuu...
0 Reactions
2 Replies
458 Views
1. Mlichokivuna kwenye maandamano yaliyoitishwa mikoa yote kwa kukosa watu, ni dalili kuwa hakuna Mtanzania anawaelewa nini mnataka. Watanzania wanaunga mkono Serikali ya awamu ya sita...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Nawazungumzia Balozi Ammy Mpungwe, Balozi Dr Asharose Migiro na Balozi Ombeni Sefue Hawa ni wazee kwa umri lakini wanaijua Dunia kulingana na majukumu waliyopitia na akili inachoka haizeeki...
2 Reactions
10 Replies
605 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600 Source Mwananchi Vijana Msilale...
18 Reactions
86 Replies
6K Views
Habari wakuu, RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake Afisa kala shavu ofisi ya...
25 Reactions
77 Replies
7K Views
Back
Top Bottom