Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,023
142,069
Screenshot-2020-07-15-at-13.23.16.png
Kuna tetesi kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kesho atatangazwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.

Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja pengine kuliko Wabunge na Mawaziri wote wa CCM.

Ngoja tuone!

====

Soma: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mwenezi CCM
 
Kwani Katibu wa sasa ameshindwa ilhali hajakaa hata miezi minne tu jamani; mawimbi yamekuwa makubwa sana? Lakini Katibu mwenezi wa sasa ndiye ninayempenda. Sijui anafanya nini madarakani lakini nampenda sana.
 
Back
Top Bottom