Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
Ijumaa, Aprili 12, 2024
3:30 Asubuhi
Ukumbi wa TTCL, Jengo la TTCL, Ghorofa ya 12, Barabara ya Samora, Dar es Salaam...
Nipo TAYARI kukosolewa kivyovyote
Mimi sifi Leo niliwahi kuwa kiranja wa nidhamu, nikawa Waziri wa Habari na Nahusiano pale Aza boy, nikawa mkurugenzi wa GAZETI pale pale, nikawa Makamu wa...
Haya si Maneno yangu, ni Maneno ya Dkt Slaa
MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanayofanywa na Rais Samia Suluhu...
Kwenye masuala ya uongozi kuna kanuni moja muhimu sana isemayo ' usitake kumfunika boss wako'.
Kwa kingereza wanasema 'never outshine your master', anayekuapisha daima ni mkubwa wako wa kazi hata...
Halina ubishi teuzi zote za akina Nape Nnauye, Makongoro Nyerere, Januari Makamba, Ridhiwani Kikwette, Halima Bulembo, Maharage Chande, Vita Kawawa na wengineo wengi zilikuwa ni kulipa fadhila kwa...
Ndugu zangu Watanzania penye ukweli lazima tuseme hii Nchi ni yetu sote si ya watu fulani tu na siyo kwamba wengine wamekuwa Watanzania by default!
Nimeona nitoe mtazamo wangu ambao ninao kuhusu...
Alianza kuondoa wataalamu bobezi, kwenye uongozi Tanesco!
Akaweka Maharage kwenye uongozi Tanesco!
Akaondoa wataalamu wa fani kwenye Bodi Tanesco!
Akawaweka kina Bakhressa Jr, kwenye Bodi mpya ya...
Watanzania sijui ni lini mtajifunza na kuelewa hizi sanaa za CCM. Acheni kushangilia Nape na wenzake kutemwa uwaziri kwani baada ya muda wanaweza tena kurudishwa kwenye Baraza la Mawaziri.
Mimi...
Tunauliza haya kwa uzuri tu, wala hatuna wivu wowote ule na kiongozi Mjasiriamali, na kwa vile Maharage ni Mtumishi wa Umma hatuamini kama ni makosa kujua taarifa zake.
Mimi mwenyewe ni...
Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu?
Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata...
Mbunge wa Mtama,Nape Nnauye amezungumzia kwa mara ya kwanza tukio lake la kutishiwa bastola miaka miwili iliyopita.
Katika maelezo yake, Nape amesema wakati anatishiwa kwa bastola miaka miwili...
Kijana inaonekana kamshika bi mkubwa haswa, kila anachoambiwa na huyu kijana anakubaliana nacho, hana muda wa kutafakari.
Katoka TANESCO kachemka akiacha safu isiyo na matumaini mpaka kupelekea...
Kauli yako, ya waziri mkuu na ya waziri January Makamba inaonyesha kuna udanganyifu mkubwa sana kwa mamlaka unaoendelea nchini.
Kauli zenu ndio zinafanya Watanzania watilie shaka weledi wenu kama...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza amefanya Ziara ya Kata kwa Kata huku akipokelewa kwa shangwe na wananchi wa Kata ya Harungu iliyopo Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe...
Alipotangazwa kuwa ni Waziri, nilipatwa na kizunguzungu. Nikameza hata tembe kadhaa za vidonge kwakuwa sikuwa vizuri. Nilipatwa na hali hiyo kwakuwa Nape namjua. Namjua kuwa hana uwezo wowote wa...
Mbio za sakafuni huishia ukingoni. Kiko wapi sasa?
Magufuli alikunyofoa si kwa bahati mbaya Bali alikuona wewe hufai. Ukaishia kumtukana na kumkejeli. Leo Kiko wapi? Mwenyezi mungu kaamua ugomvi...
Imetimia Miaka mitano tangu kiongozi wa Bavicha Njombe, George Sanga na Wenzake kukamatwa kwa tuhuma za uongo za mauaji, walikamatwa 2020.
Hata hivyo Kesi hiyo imeanza kusikilizwa 2024! tena...
Hii ni kwa sababu, ametangaza Wizi wa kura 2025,ili kumnufaisha Byabato, Waziri ni kiongozi wa serikali, na kwamba kauli yake inawakilisha serikali .
Mara kadhaa tumemsikia Rais na viongozi wa...
Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?
Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? Amefanya hitilafu gani...
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo amefanya Mkutano wa hadhara katika Vijiji vya Endakiso na Arri na kusikiliza kero mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.