Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam, hongera Kwa Uchapakazi murua. Twende haraka kwenye mada. Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, bado Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale. Naamini wewe ni mmoja...
9 Reactions
69 Replies
4K Views
Malalamiko mengi yamepelekwa kwa Waziri wa Mambo ya ndani na viongozi wake. Maeneo yanayolalamikiwa zaidi ni 1. Utekaji 2. Wananchi kunyimwa dhamana na kushikiliwa kinyume cha sheria 3. Viongozi...
0 Reactions
4 Replies
536 Views
Chunga sana ulimi wako. Mdomo huumba Maneno yakishatamkwa hayarudi tena mdomoni. Ulimi hauna mfupa Mdomo uliponza kichwa. Mdomo kiwanda cha maneno Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape...
9 Reactions
14 Replies
2K Views
Inasemekana CHAUMMA, CHADEMA, CUF, Sauti ya waTanzania na ADA-TADEA wameanza tayari mazungumzo ya awali yasiyo rasmi. Mazungumzo rasmi ya kimkakati yanaeledea kuwekwa utaratibu mzuri na waleta...
4 Reactions
113 Replies
4K Views
Hili halina ubishi, Wizara ya nishati chini ya Waziri Makamba na Byabato wameliingiza taifa kwenye hasara kubwa sana. Hawakuridhika, walipokuwa Mambo ya Nje wamefanya madudu mengi, ni muda sasa...
5 Reactions
5 Replies
456 Views
WAZIRI AWESO AANZA ZIARA YA MOROGORO Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewasili Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuanza ziara yake ya Siku moja ya kukagua na kufuatilia hali ya huduma ya upatikanaji...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Maandamano ya CHADEMA yaliyoitwa UKUTA kama yangefanikiwa yangekuwa zaidi ya haya ya Gen Z. Nakumbuka Shujaa Magufuli alitoa Kauli Moja tu " atakayeandamana asije akanilaumu" kauli hii ilitosha...
5 Reactions
57 Replies
2K Views
Jumapili wakati Nappe akigawa Tuzo Mlimani City na mkewe akiwa kitandani anamsubiri arudi nyumbani, alitenguliwa na hakuna sababu zilizotolewa na Rais kwa utenguzi huo. Mashirika aliyofanya Nape...
17 Reactions
129 Replies
12K Views
Katibu mwenezi wa CCM Taifa bwana Paul Makonda akiwa analia kwenye kaburi la Hayati Magufuli wilayani Chato ameapa hatakuja kumkana wala kumsaliti Hayati Magufuli hata kama atawekewa bastola...
36 Reactions
216 Replies
22K Views
Hii kwa kweli inashangaza, tangu mwezi February mwaka 2024, jamaa wanasambaza maji kwa wananchi yakiwa hayajatibiwa (treated). Kwa hiyo kwa muda wote wananchi wamekuwa wakinywa maji yenye vimelea...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Baada ya Steven Byabato kuupata uwaziri, aliacha kabisa kupokea simu kutoka jimboni kwake. Akaanza kufurumusha maghorofa Mwanza na kwingine, akasahau palipompatia kura. Sasa uwaziri umekwenda, na...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Ushauri wa Bure kwa Waajiriwa wote wa Serikali hasa wale wa Vimemo vya Uteuzi kutoka Kurugenzi ya IKULU kuweni makini zaidi pengine kuliko awamu yoyote ya Uteuzi wenu. Huenda Rais...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Katika kitabu chake cha THE 48 LAWS OF POWER, muandishi Robert Greene ameeleza kinagaubaga tahadhari muhimu sana, mila, desturi, utamaduni na maisha ya viongozi dhidi ya mamlaka za juu yao...
3 Reactions
1 Replies
456 Views
KWa sasa Mada kuu ni Tengua hamisha, Tengua badilisha, tengua, teua, tengua baada ya mwezi tengua. Nchi za Ulaya Mashariki baada ya kuanguka kwa Ujamaa zilijikuta katika hali mbaya ya kiuchumi na...
4 Reactions
11 Replies
804 Views
Mwanzo walikuchukulia poa, kwa sababu ya huruma ya mama wakadhani wanaweza kufanya mambo with impunity. Sasa unavyowanyoosha namna hii unatuma meseji kwa umma kuwa rais sasa hacheki na "kima"...
9 Reactions
24 Replies
1K Views
Baada ya seke seke lililomtoa madarakadi bwana David Jairo pale wizara ya nishati na madini, ndugu Eliakim Maswi aliteuliwa kuchukua mikoba yake. lakini pamoja na mambo mengine mengi, ningependa...
1 Reactions
62 Replies
20K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewaomba radhi wananchi na wapenda demokrasia nchini kutokana na kauli aliyoitoa kuwa si lazima CCM ishinde kura kwenye boksi...
7 Reactions
62 Replies
5K Views
Tuache unafiki Mbowe hapedwi na watu wa CCM kwasababu moja tu anajua kuongoza, street smart, haongeki, ana heshimika na anajua kuongoza. Kuna wanasiasa wengi sana ni wazuri wa kuongea tu lakini...
5 Reactions
21 Replies
808 Views
Ujumbe huu kutoka Kwa Waziri wa mambo ya nje mstaafu mh January Makamba nimeukuta huko X Kwa Ayub Madenge "Uongozi ni koti la kuazima kuna siku utalirudisha tu, kama ulikuwa Unawakoga Watu...
5 Reactions
12 Replies
937 Views
Nauliza tu kama Chawa wako katika ngazi mbalimbali ukiachilia mbali Wasanii wa Bongo fleva na maigizo Mlale Unono 😀 Kwako Lucas
1 Reactions
4 Replies
383 Views
Back
Top Bottom