Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakili Boniface Mwabukusi amefungua kesi kupinga maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya Chama cha Tanganyika Law Society (TLS) kumuengua kugombea Urais wa TLS. Pia soma: Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Riba ya mikopo ya mabenki imepanda kwa sababu ya ukosefu wa shilingi,wateja wa mikopo wamelalamika kukubaliana riba ya 17% lakini wamepewa riba ya 20% wakipewa sababu ya ukosefu wa shilingi.
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Kwenye Sekta ya Kilimo Serikali ya Rais Samia imeongeza bajeti ya Kilimo kutoka Tsh. 751 mwaka 2022 hadi Tsh. bilioni 970. Kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula Tani 17,148,290 hadi kufikia Tani...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Inasikitisha sana kuona Mama zetu wanadhalilika hospitali za Umma. Yaan huduma mbovu na hakuna anayejali kwa sasa. Wakati ni sasa kuwapa utu na huduma stahiki Mama zetu hawa. NB: Ama hamna pesa...
3 Reactions
18 Replies
736 Views
Mheshimiwa Mwenyekiti Freeman Aikael Mbowe na Makamu mwenyekiti Tundu Antipas Lissu nianze kwa kusema ninawaheshimu sana. Mmepigwa mawe mengi sana ya maneno ya kisiasa, mmevumilia mengi sana...
4 Reactions
9 Replies
841 Views
Hii nchi iko hapa ilipo kwa sababu ya Wakusanya kodi wa hii nchi, chini ya CCM. hawa ndio wanafanya maisha yawe magumu sana. Hawa wakusanya kodi ndio wanao dalalia nchi kwa Waarabu na Wazungu na...
0 Reactions
1 Replies
497 Views
Rate ya BoT kwenye kampuni za kukopesha ni 3.5% as a guidance issued by BoT. A simple study imefanyika kwenye mikopo ya Vodacom kupitia Mpesa and there is huge deviation which is believed to be...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni angalizo tu sisi tunaoangalia kwa jicho la rohoni tunaiona mbali sana Uchaguzi ujao kila tutakapojikwaa tutategemea Ushauri na Uzoefu wa mstaafu mmoja tu aliyebaki Mzee wetu mpendwa JK...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Tanzania ndiyo nchi pekee duniani inayotawaliwa na marais wawili kwa wakati mmoja, mabunge mawili, nyimbo za taifa mbili, majaji wakuu wawili, katiba mbili, bendera mbili, maspika wawili, makamu...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Mzee Mbowe amekuwa akizunguka na Chopa huku akifurumusha matusi hadi kwa marehemu. Juzi alipokuwa Arusha aliwahadaa wale vijana wa huko kuwa Rais wa awamu ya tano aliwatesa wachagga wakati wa...
2 Reactions
11 Replies
702 Views
Aliyekuwa Mwanachama, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge kwa kipindi cha miaka 10 kupitia chama hicho ambaye hivi...
0 Reactions
4 Replies
817 Views
Dar es Salaam. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu aliyekuwa akishughulikia Walemavu, Dkt. Abdallah Possi amemuandikia Spika wa Bunge barua ya kujiuzulu. Uamuzi huo wa Dkt. Possi umekuja siku tatu...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Salaam, Shalom! Ziku chache zilizopita, palitokea taarifa njema za uwajibikaji Kwa waziri wa Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kuadimika Kwa Pombe visiwani humo...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Tukiacha mapungufu mengine Rais Samia amefanya kazi kubwa kwenye Kilimo cha Tanzania. Kwa taarifa tu, Hakuna Rais aliwahi kutoa ruzuku ya mbole kwa wakulima mill3.67 kwa mwaka mmoja tangu nchi...
4 Reactions
15 Replies
572 Views
Asalaam ndugu zangu!!! Ifahamike;Mimi ni Mwana CHADEMA tena sio Mwana CHADEMA wa kuhamia lahasha!!! Bali ni Mwana CHADEMA wa kuzaliwa…….nimezaliwa nikamkuta mzazi wangu mmoja ni Mwana...
3 Reactions
41 Replies
1K Views
miradi ya maji, barabara, vituo vya afya, zahanati na hospitali; vyumba vya madarasa, maabara, ofisi na nyumba za watumishi wa umma, masoko ya kisasa na vituo vya polisi, miradi ya umeme, kilimo...
1 Reactions
0 Replies
357 Views
Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani TAzara na Tazama ni muhimu zaidi kuliko wao, Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ...
0 Reactions
4 Replies
698 Views
Taarifa yake hii hapa Nimefika Ubalozi wa Tanzania Jijini Pretoria Afrika Kusini kuaga kabla ya kuondoka katika nchi hii na kupokelewa kwa heshima kubwa na Balozi wa Tanzani Mh James Bwana na...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
My Take Naunga mkono hoja.Hawa matapeli waliojificha kwenye mgongo wa dini washughulikiwe. Kwanza wao wanataka kwenda Mbinguni Kwa nini wawe wanahangaika na Mali za Duniani? 😂😂😂 --- MKuu wa...
2 Reactions
9 Replies
897 Views
Akizungumza katika uzinduzi wa Kongamano la Kikanda la Maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Mwaka 2050 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema zaidi ya 81% ya waliotoa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom