Je, Makamba ameishiwa visingizio?

Je, Makamba ameishiwa visingizio?

voicer

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
5,545
Reaction score
11,944
Alianza kuondoa wataalamu bobezi, kwenye uongozi Tanesco!
Akaweka Maharage kwenye uongozi Tanesco!
Akaondoa wataalamu wa fani kwenye Bodi Tanesco!
Akawaweka kina Bakhressa Jr, kwenye Bodi mpya ya Tanesco.
Akaongeza kina Gachuma Jr kwenye bodi mpya ya Tanesco.

Akaja na mkataba "tata" na Mahindra kutoka India.

Akaja na taarifa kwamba Magufuli alitoa amri mitambo ifanye kazi bila service na hivyo kuichakaza!

Akasema baada ya ukarabati, mgao au katika katika ya umeme itakuwa historia.

Baadae akawa anakagua vina vya Maji, kwa kutumia helikopta.

Lakini msimamizi wa Bwawa la Mtera, akajitoa kafara.
Akaanika hadharani kwamba hakuna upungufu wa maji kwenye bwawa lile.
Na Makamba hakubisha na ikaachwa hewani kimyakimya.

Akaja na mkataba mwingine na kampuni nyingine kwa alichokisema kuifanyia ukarabati mifumo ya uendeshaji Tanesco.

All at all....Umeme umezidi kuwa tatizo kadri siku zinavyosonga mbele.

Sasa tumeingia mgao wa umeme nchi nzima huku Makamba akiwa kimya kabisaa....

Hatumsikii akiongea chochote kama waziri mwenye dhamana ya Uongozi pale wizarani.

Yuko Bize na kuipigia Promo gesi ya Taifa gas ya Taikuni Rostam.

Je!
Huu ni mwisho wa Uongo wa Makamba?

Alamsikhi!

47410160_303.jpg

View attachment 2402380
 
Alianza kuondoa wataalamu bobezi,kwenye uongozi Tanesco!

Akasema baada ya ukarabati,mgao au katika katika ya umeme itakuwa historia.

Baadae akawa anakagua vina vya Maji,kwa kutumia helikopta.

Lakini msimamizi wa Bwawa la Mtera,akajitoa kafara.

View attachment 2402373
View attachment 2402380
Mawaziri wa Serikali ya Awamu ya 6 haina inachoweza zaidi ya KUOA OA MITALA.
 
Ndugu Mteja,

Tafadhali pokea taarifa tuliyotoa jana na maelezo zaidi
Screenshot_20221031_070727.jpg
 
Chanzo kikuu Cha umeme Tanzania ni kipi, jibu ni maji. Si umesikia Kuna shida ya maji nchi nzima, je huo umeme utoke wapi
Wapumbavu kama nyinyi ndio tulikuwa tunawakuta ktk viroba uko ufukweni mwa bahari
 
Chanzo kikuu Cha umeme Tanzania ni kipi, jibu ni maji. Si umesikia Kuna shida ya maji nchi nzima, je huo umeme utoke wapi
Umesikia wanasema Mtera, kidatu au kihansi maji ya kuzalisha umeme hakuna?... hata haya ya matumizi ya nyumbani serikali imekuwa inashauriwa ijenge mabwawa-reservoir (kama ilivyo kwa uzalishaji wa umeme) hata mawilii mto Ruvu isiache maji yaingie baharini lakini imekuwa inapuuzia tu tangu enzi za Mkapa.

Pesa ambazo CCM waliidhinisha zitumike kuharibu vyama vya upinzani wangezielekeza hata kujenga mabwawa ya kutunzia maji mto ruvu (hata bwana moja tu) shida isingekuwa ya kutisha kama ilivyo sasa. Wakati mwingine priority zetu za ajabu ajabu zisizoangalia maisha ya kila siku ya watu ndizo hutuingiza kwenye taabu
 
Alianza kuondoa wataalamu bobezi, kwenye uongozi Tanesco!
Akaweka Maharage kwenye uongozi Tanesco!
Akaondoa wataalamu wa fani kwenye Bodi Tanesco!
Akawaweka kina Bakhressa Jr, kwenye Bodi mpya ya Tanesco.
Akaongeza kina Gachuma Jr kwenye bodi mpya ya Tanesco.

Akaja na mkataba "tata" na Mahindra kutoka India.

Akaja na taarifa kwamba Magufuli alitoa amri mitambo ifanye kazi bila service na hivyo kuichakaza!

Akasema baada ya ukarabati, mgao au katika katika ya umeme itakuwa historia.

Baadae akawa anakagua vina vya Maji, kwa kutumia helikopta.

Lakini msimamizi wa Bwawa la Mtera, akajitoa kafara.
Akaanika hadharani kwamba hakuna upungufu wa maji kwenye bwawa lile.
Na Makamba hakubisha na ikaachwa hewani kimyakimya.

Akaja na mkataba mwingine na kampuni nyingine kwa alichokisema kuifanyia ukarabati mifumo ya uendeshaji Tanesco.

All at all....Umeme umezidi kuwa tatizo kadri siku zinavyosonga mbele.

Sasa tumeingia mgao wa umeme nchi nzima huku Makamba akiwa kimya kabisaa....

Hatumsikii akiongea chochote kama waziri mwenye dhamana ya Uongozi pale wizarani.

Yuko Bize na kuipigia Promo gesi ya Taifa gas ya Taikuni Rostam.

Je!
Huu ni mwisho wa Uongo wa Makamba?

Alamsikhi!

View attachment 2402373
View attachment 2402380
Hana kisingizio anauza majenereta na solar
 
Debe tupu haliishi kulia lia . ulitaka January afanye nini ili umsifie
umepigwa na kitu kizito unabaki kuweweseka kalagabaho
kamfufue sasa.
 
Na juz kasema itahitajika misimu miwilibya mvua kuondokana na mgao, inshort tukutane 2024
 
Makamba ni coordinator wa wapigaji, kila kinachofanyika sio kwa bahati mbaya ila ni makusudi tu na wanajua nini wanafanya
 
Alianza kuondoa wataalamu bobezi, kwenye uongozi Tanesco!
Akaweka Maharage kwenye uongozi Tanesco!
Akaondoa wataalamu wa fani kwenye Bodi Tanesco!
Akawaweka kina Bakhressa Jr, kwenye Bodi mpya ya Tanesco.
Akaongeza kina Gachuma Jr kwenye bodi mpya ya Tanesco.

Akaja na mkataba "tata" na Mahindra kutoka India.

Akaja na taarifa kwamba Magufuli alitoa amri mitambo ifanye kazi bila service na hivyo kuichakaza!

Akasema baada ya ukarabati, mgao au katika katika ya umeme itakuwa historia.

Baadae akawa anakagua vina vya Maji, kwa kutumia helikopta.

Lakini msimamizi wa Bwawa la Mtera, akajitoa kafara.
Akaanika hadharani kwamba hakuna upungufu wa maji kwenye bwawa lile.
Na Makamba hakubisha na ikaachwa hewani kimyakimya.

Akaja na mkataba mwingine na kampuni nyingine kwa alichokisema kuifanyia ukarabati mifumo ya uendeshaji Tanesco.

All at all....Umeme umezidi kuwa tatizo kadri siku zinavyosonga mbele.

Sasa tumeingia mgao wa umeme nchi nzima huku Makamba akiwa kimya kabisaa....

Hatumsikii akiongea chochote kama waziri mwenye dhamana ya Uongozi pale wizarani.

Yuko Bize na kuipigia Promo gesi ya Taifa gas ya Taikuni Rostam.

Je!
Huu ni mwisho wa Uongo wa Makamba?

Alamsikhi!

View attachment 2402373
View attachment 2402380
Shituka Rais Samia. Takriban 50% ya wakosoaji au wanaochukia Serikali yako wanasababishwa na January Makamba.

Kama ni fadhila kwa wakongwe JK na Yusuf Makamba, tayari umelipa kwa kumpa kazi nyeti. Ila Januari haiwezi kabisa kazi ya kusimamia sekta nyeti ya Nishati. Kama Samia utafika mwaka 2025 na Makamba Januari akiwa Waziri basi utakuwa na kibarua kigumu na CCM yako kushawishi wapiga kura.

Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom