Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Maskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni...
49 Reactions
126 Replies
7K Views
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi Je, ni Maombi ya Mtume Mwamposa au Mchungaji Msigwa yamesikika Ngoja tuone 😂😂🔥
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Hivi karibuni Watanzania kupitia mitandao mbalimbali walionesha ghadhabu juu ya ongezeko la kodi kwenye LUKU kutoka Tsh 1500 mpaka 2000 pasipo kutoa notice kwa umma. Baadae TANESCO walitoa maelezo...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa. Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99% Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo...
14 Reactions
115 Replies
6K Views
"Suala la ukusanyaji wa kodi za jengo kwa kutumia mita za LUKU ulishahamishwa kutoka TRA kwenda kwenye halmashauri na manispaa na majiji, imerudishwa serikali za mitaa. TRA haihusiki tena na...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
1. Aliyezinunua na kuzisambaza atalaaniwa kuanzia miguuni mpaka kichwani. 2. Kila atakayepokea na kuzitumia Pikipiki hizo laana ya Watanzania itakuwa juu yake, kwa hiyo mishe mishe zote...
2 Reactions
5 Replies
751 Views
Nape Nnauye , mwanaccm na Waziri wa Habari , umesikika Bungeni ukipiga porojo kuhusu Mbowe na Maridhiano badala ya kujadili kuuzwa kwa aibu kwa bandari za Tanzania . Umefika Mbali sana kwa kusema...
21 Reactions
131 Replies
10K Views
Sisi tunatoa tu maoni yetu hatujui yataisaidiaje nchi yetu leo na kesho, lakini ni heri kusema kuliko kunyamaza. Nchi yenye watu zaidi ya 60m hawakosekani watu safi wenye sifa ya kuongoza wenzao...
3 Reactions
5 Replies
618 Views
Sijajua imekaaje kumuondoa MTU Kama Makamba ambaye ndo MTU pekee mwenye utulivu, akili, ufahamu ndani ya CCM. Naomba CCM mjitafakari Sana.
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Kutoka kona za ikulu asubuhi ya leo ni kuwa Mheshimiwa January Makamba atangaza kugombea uwenyekiti wa tume ya umoja wa Afrika (AU) kutoka nje ya Umoja wa Afrika Mashariki na SADC baada ya mgombea...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kitakachofuatia punde ni kamata kamata ya Wezi wa Fedha za Umma waliojisahau baada ya Kifo Cha Shujaa Magufuli kwani ushahidi ulishakusanywa Huu mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi mkuu utakuwa mgumu...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Amani iwe nawe. PDF la kushtukiza limetoka usiku mkali, lakini limekuja kwa mshtuko wa kutosha hasa. Leo nakurudisha nyuma wakati wa uongozi wa presida John Joseph Pombe Magufuri, wakati anataka...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Huu uzi niwakuwachana wana JamiiForums haswa wale ndakindaki wa jukwaa la siasa. Niseme tu ukweli kushadadia kuteuliwa ama kutenguliwa kwa baadhi ya watu, humu ndani imekuwa ndio mada zinazo...
1 Reactions
10 Replies
681 Views
Achana na CCM, wateuane, watenguane. Chadema endelea na mikutano yenu. Fichua maovu ya CCM kama mlivyokazia kwa Nape. Nadhani kama siyo Chadema, Nape asingelitenguliwa. Erythrocyte
0 Reactions
3 Replies
374 Views
Kwenye nchi masikini watu smart huwa hawapewei nafasi ya Ku-shine hata siku moja. That is way umeondolewa kisa una wa-out smart viongozi. You deserve to be PRESIDENT At ur Age 49 bado naamini...
2 Reactions
14 Replies
860 Views
Uzi huu unamhusu Nape Nnauye kwa kuzuia vyombo vyote vya habari kurusha au kutoa machapisho ya waraka wa maaskofu wa "TEC" kutoka madhehebu ya "Roman Catholic" nchini Tannzania. Ninachotaka Nape...
17 Reactions
58 Replies
5K Views
Hao vijana waliolelewa na chama ni wazuri katika ushabiki wa chama na ni watoto wa vigogo wa chama ila uwezo wao wa kuwa Mawaziri katika wizara nyeti ni mdogo, watafutieni vitengo vingine ambavyo...
2 Reactions
0 Replies
344 Views
Imepita miaka 3 sasa tangu waliokataliwa na shujaa hayati Magufuli kurudishwa tena serikalini kwa kubebwa na Rais Samia lakini wameshindwa kabisa kuwashawishi wananchi na sasa wako hoi kisiasa...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo. Rais Samia amefanya semina...
34 Reactions
224 Replies
15K Views
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote...
37 Reactions
177 Replies
11K Views
Back
Top Bottom