Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanini CHADEMA muda wote huwa hawakusema kuhusu kupokea hela, wameamua kujitokeza sasa hivi. Je kwanini CHADEMA wameificha taasisi inayowapa hela, je kuna ajenda gani.? Chadema kila siku...
2 Reactions
6 Replies
159 Views
Trump amewambia viongozi wa G7 kuwa MoU ambayo Marekani inatarajia kusaini na Iran siku ya Ijumaa, siyo mwisho wa mambo, na kwamva asiporidhika nayo, Marekani itarejea kwenye vita, na kuipiga...
1 Reactions
1 Replies
105 Views
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara aliyasema hayo Juni 16, 2026 alipokuwa akichangia hoja Bungeni.
2 Reactions
21 Replies
580 Views
Wanabodi, Kitendo cha taarifa nyeti za mambo binafsi ya ndani kabisa yanayotokea ndani ya nyumba yetu na kupelekwa nje ya nchi na hatimaye kuvujishwa kwenye mitandao ya kijamii zikitokea nje ya...
55 Reactions
345 Replies
37K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema anamtaka Mwenyekiti wa CCM ajitokeze kwenye mdahalo wa ana kwa ana kujadili mustakabali wa taifa. Akizungumza katika mahojiano na Kituo cha...
7 Reactions
13 Replies
344 Views
Na je, Mkapuchini Jude Thaddeus Ruawa'ichi O.F.M.Cap, Archbishop of Diocese of Dar Es Salaam Tanzania, yu hali gani kisiasa kwa sasa? Au amerudishwa madhabahuni kwa lazima na katekista J...
8 Reactions
75 Replies
1K Views
Alichemka kule Geita, alionesha kuwa hakuna analojua na cha kushangaza akaletwa Dodoma Mji Mkuu, huku nako naona yaleyale! Je, alipita wapi huyu hadi kupewa cheo kama hiki kilichozidi kimo na...
5 Reactions
34 Replies
9K Views
DEATH ANNOUNCEMENT Somaiya Family regrets to announce the sad and sudden demise of Mr Tanil Chandulal Somaiya on Wednesday 11 August in Dar es Salaam. Funeral details to be announced later. We...
13 Reactions
114 Replies
19K Views
Mheshimiwa Waziri Mkuu, Katika uongozi kuna siku za pongezi na kuna siku za lawama. Kuna siku watu watakushangilia na kuna siku watu watakosoa kila hatua unayopiga. Hayo yote ni sehemu ya safari...
1 Reactions
3 Replies
90 Views
Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, amepongeza hatua za Serikali za kubana matumizi kupitia mapendekezo ya bajeti mpya, akieleza kuridhishwa na uamuzi wa kuondoa baadhi ya tozo kwa magari...
2 Reactions
23 Replies
645 Views
  • Redirect
Wanaukumbi kuna hoja hii bungeni kumbe wenzetu wanazalisha sana mashoga. anadai huko mtaani kuna mashoga wengi sana, https://www.facebook.com/reel/849500724676882...
0 Reactions
Replies
Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amelitupia lawama kali Jeshi la Polisi nchini akidai kuwa limepoteza weledi na kugeuka kuwa chombo kinachotumika kisiasa dhidi ya wapinzani...
3 Reactions
6 Replies
220 Views
Ni vema mtu huyu akajulikana na kufahamika Hii ni kwa SABABU Mtu huyu ni Mtekaji na Muuaji, Amenukuliwa ndani ya vikao vya Serikali akitoa kauli hiyo ya Kishenzi kwamba kila atakayebainika kutoa...
4 Reactions
14 Replies
399 Views
Ukweli ni kwamba kisiasa pamoja na taaluma yake ya uwakili Lissu alifuatwa na Mbowe akitokea NCCR-Mageuzi, Msigwa alitokea TLP 2005 alipata kura 8000 mgombea wa Chadema alipata kura 2000 ndipo...
18 Reactions
36 Replies
2K Views
Mambo yetu ili yanyooke mtoeni jamaa nje alafu moja kwa moja aje nyumba mithili ya meli ! Pale wanapoingia kwa code maalumu na hawaitani majina wanaitana chifu pili ukienda ijumaa aga kabisa...
18 Reactions
114 Replies
10K Views
Inasikitisha kuona kwamba maswali mengi yanayoulizwa bungeni yamekuwa ya kawaida sana, mara nyingine yakikosa uzito unaostahili kwenye chombo kikuu cha uwakilishi wa wananchi. Bunge linapaswa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Super breakfast cha EATV radio leo Juni 17, 2026. "Lissu ni mtu ambaye...
5 Reactions
7 Replies
170 Views
Kwa Nini Waziri Mkuu Lazima Awe Karibu na Wananchi? Mtazamo wa Kikatiba Anaandika Thomas Joel Kibwana, Mchambuzi wa Siasa Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya wabunge na wanasiasa wa upinzani...
0 Reactions
1 Replies
79 Views
Ndiyo, kama ulipata D 2 au hata 3 huwezi kuelewa. Hili genge liliundwa na hawa tunaoona wakisifia kazi zake (kazi za genge). Kwani si mmeona watu wanasena fulani katekwa sababu ya ugomvi wa...
1 Reactions
11 Replies
156 Views
Back
Top Bottom