britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,649
- 30,014
Mambo yetu ili yanyooke mtoeni jamaa nje alafu moja kwa moja aje nyumba mithili ya meli ! Pale wanapoingia kwa code maalumu na hawaitani majina wanaitana chifu pili ukienda ijumaa aga kabisa nyumbani wenda ukarudi jumatatu maana simu zinaachwa reception 🤕
Itatupunguzia haya
Kitaifa tutatulia na ana ushawishi kwa kundi lake ila apewe miongozo kadha wa kadha kwamba bila hili kuna hiki bila lile kuna hili.
Stahiki apewe na asizibwe kabisa mdomo bali aongee kuwahadaa wafuasi
Hakikisha kwanza anawekewa mazingira hatarishi endapo akikiuka haya
Safari zake je?
Atalipiwa kila kitu na posho atapata kwa kifupi tunamuajiri rasmi hata kama ni mzee
Britanicca