Usijibizane na anayetaka kukutapeli kwenye Simu

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,419
Reaction score
5,020

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, leo Agosti 10, 2026, amewasilisha Ripoti ya Utendaji ya Robo ya Nne ya Mwaka wa Fedha 2025/26 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), ikionesha mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya uhalifu wa mitandaoni.

Katika ripoti hiyo iliyochakata kipindi cha kuanzia Aprili hadi Juni 2026, takwimu zinaonesha kuwa matukio ya ulaghai yaliyoripotiwa yamepungua kwa asilimia 25.29 ikilinganishwa na robo iliyopita.

Waziri Kairuki amebainisha kuwa kupungua kwa matukio hayo kumetokana na upekuzi na ukaguzi wa kina uliofanywa na TCRA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, na MaraPamoja na mafanikio hayo, Waziri amewasihi wananchi kuendelea kuwa waangalifu na kutotoa namba zao za siri (PIN), OTP, au kubofya kiungo (link) kisichojulikana.

Aidha, amesema TCRA inaendelea na uhakiki wa usajili wa laini za simu (SIM card verification) ili kuhakikisha usalama wa watumiaji wote katika mazingira ya kidijitali yanayokua kwa kasi nchini Tanzania
 
Aseme tu ukweli matapeli wa kwenye mitandao wana mafungamano na baadhi ya wafanyakazi wa makampuni ya simu ambao siyo waaminifu.
 
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, leo Agosti 10, 2026, amewasilisha Ripoti ya Utendaji ya Robo ya Nne ya Mwaka wa Fedha 2025/26 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), ikionesha mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya uhalifu wa mitandaoni.

Katika ripoti hiyo iliyochakata kipindi cha kuanzia Aprili hadi Juni 2026, takwimu zinaonesha kuwa matukio ya ulaghai yaliyoripotiwa yamepungua kwa asilimia 25.29 ikilinganishwa na robo iliyopita.

Waziri Kairuki amebainisha kuwa kupungua kwa matukio hayo kumetokana na upekuzi na ukaguzi wa kina uliofanywa na TCRA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, na MaraPamoja na mafanikio hayo, Waziri amewasihi wananchi kuendelea kuwa waangalifu na kutotoa namba zao za siri (PIN), OTP, au kubofya kiungo (link) kisichojulikana.

Aidha, amesema TCRA inaendelea na uhakiki wa usajili wa laini za simu (SIM card verification) ili kuhakikisha usalama wa watumiaji wote katika mazingira ya kidijitali yanayokua kwa kasi nchini Tanzania
Kilimanjaro haipo, Mchaga hatapeliki kifedha
 
Wachagga wanapigwa sana sema hawalalamiki. Je unamkumbuka Kiboko alikuwa mmiliki wa Livingstone hotel pale Kinondoni Studio? Alitapeliwa hotel yake maima na Alex Massawe
 
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, leo Agosti 10, 2026, amewasilisha Ripoti ya Utendaji ya Robo ya Nne ya Mwaka wa Fedha 2025/26 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), ikionesha mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya uhalifu wa mitandaoni.

Katika ripoti hiyo iliyochakata kipindi cha kuanzia Aprili hadi Juni 2026, takwimu zinaonesha kuwa matukio ya ulaghai yaliyoripotiwa yamepungua kwa asilimia 25.29 ikilinganishwa na robo iliyopita.

Waziri Kairuki amebainisha kuwa kupungua kwa matukio hayo kumetokana na upekuzi na ukaguzi wa kina uliofanywa na TCRA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, na MaraPamoja na mafanikio hayo, Waziri amewasihi wananchi kuendelea kuwa waangalifu na kutotoa namba zao za siri (PIN), OTP, au kubofya kiungo (link) kisichojulikana.

Aidha, amesema TCRA inaendelea na uhakiki wa usajili wa laini za simu (SIM card verification) ili kuhakikisha usalama wa watumiaji wote katika mazingira ya kidijitali yanayokua kwa kasi nchini Tanzania
Upekuzi gani ni upuuzi mtupu.
 
N bc tuu kuna muda unatamani kummalizia hasira zako za kimaisha kwa ndugu tapeli, mbaya zaidi mara nyingi wanapiga simu wakati ambao uko free 🔥
 
Back
Top Bottom