Kesi nyingine kwa CHADEMA

Kesi nyingine kwa CHADEMA

Miss Halima

Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
45
Reaction score
73
Makada watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamekishtaki tena chama hicho katika mahakama kuu ya Dodoma.

Walalamikaji katika shauri hilo Miscellaneous Cause No. 205810F of 2026, Barnabas Okola, Joseph Mwakidasi, Mathias Cosmas, Abubakari Mashambo na Lembruce Mchome.

Washtakiwa katika shauri hilo ni Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Msajili wa Vyama vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Kupitia akaunti yake katika mtandao wa X, Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Gaston Garubindi, amesema amepokea wito kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, unaomtaka yeye pamoja na wahusika wengine kufika mahakamani kwa ajili ya kusikiliza shauri hilo.

Garubindi, amesema shauri hilo limepangwa kusikilizwa mbele ya Jaji A. Mruma kesho Jumatano Agosti 12, 2026, kuanzia saa 3:00 asubuhi.

“Tumepokea wito kutoka mahakama kuu, Masijala kuu Dodoma kwamba tumeshitakiwa na Katibu wa CHADEMA mkoa wa Morogoro na wenzake, shauri litakuwa mbele ya Jaji Mruma. Tumeitwa kufika mahakamani hapo tarehe 12 August 2026.

“Huu ni mwendelezo wa mbinu chafu, wanapambana na sisi lakini mwisho wa siku hawatashinda

Soma Pia: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi

“Hati hiyo imeelekeza wahusika kufika mahakamani kwa njia ya mtandao bila kukosa, pamoja na kuwasilisha nyaraka zote wanazokusudia kuzitumia katika kuunga mkono hoja zao mbele ya mahakama,” amesema Garubindi.
chadema.jpg
 
Makada watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamekishtaki tena chama hicho katika mahakama kuu ya Dodoma.

Walalamikaji katika shauri hilo Miscellaneous Cause No. 205810F of 2026, Barnabas Okola, Joseph Mwakidasi, Mathias Cosmas, Abubakari Mashambo na Lembruce Mchome.

Washtakiwa katika shauri hilo ni Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Msajili wa Vyama vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Kupitia akaunti yake katika mtandao wa X, Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Gaston Garubindi, amesema amepokea wito kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, unaomtaka yeye pamoja na wahusika wengine kufika mahakamani kwa ajili ya kusikiliza shauri hilo.

Garubindi, amesema shauri hilo limepangwa kusikilizwa mbele ya Jaji A. Mruma kesho Jumatano Agosti 12, 2026, kuanzia saa 3:00 asubuhi.

“Tumepokea wito kutoka mahakama kuu, Masijala kuu Dodoma kwamba tumeshitakiwa na Katibu wa CHADEMA mkoa wa Morogoro na wenzake, shauri litakuwa mbele ya Jaji Mruma. Tumeitwa kufika mahakamani hapo tarehe 12 August 2026.

“Huu ni mwendelezo wa mbinu chafu, wanapambana na sisi lakini mwisho wa siku hawatashinda

“Hati hiyo imeelekeza wahusika kufika mahakamani kwa njia ya mtandao bila kukosa, pamoja na kuwasilisha nyaraka zote wanazokusudia kuzitumia katika kuunga mkono hoja zao mbele ya mahakama,” amesema Garubindi.View attachment 3648436
Takataka
 
Chadema waache kucheka na hawa wajinga. Inabidi ile kurugenzi ya Mabere Marando ifufuliwe, ilikua inawadaka wajinga kama hawa wanaminywa waeleze aliyewatuma na ndio maana maujinga kama haya yalikuwa yanavurugwa kabla hayajafika mbali.

Unakumbuka jinsi Mwigamba alivyodakwa? Bodyguard wa Dr Slaa? Wale waandamanaji feki waliokua waliofanya maandamano ubungo kupinga Dr Slaa kujiuzulu!! Walikua wanadhibitiwa mapema mnoo.

Tukiwachekea hawa kina Mchome utasikia kesho chama kimepokonywa kimatani tu kama CUF.
 
Huyu Mchome alishafukuzwa uanachama na ni mwanachama wa chauma nashangaa kusikia anaishitaki Chadema
 
Chadema waache kucheka na hawa wajinga. Inabidi ile kurugenzi ya Mabere Marando ifufuliwe, ilikua inawadaka wajinga kama hawa wanaminywa waeleze aliyewatuma na ndio maana maujinga kama haya yalikuwa yanavurugwa kabla hayajafika mbali.

Unakumbuka jinsi Mwigamba alivyodakwa? Bodyguard wa Dr Slaa? Wale waandamanaji feki waliokua waliofanya maandamano ubungo kupinga Dr Slaa kujiuzulu!! Walikua wanadhibitiwa mapema mnoo.

Tukiwachekea hawa kina Mchome utasikia kesho chama kimepokonywa kimatani tu kama CUF.
Hizi kesi ni zipo kimkakati ili kuihujumu tu Chadema
 
Chadema waache kucheka na hawa wajinga. Inabidi ile kurugenzi ya Mabere Marando ifufuliwe, ilikua inawadaka wajinga kama hawa wanaminywa waeleze aliyewatuma na ndio maana maujinga kama haya yalikuwa yanavurugwa kabla hayajafika mbali.

Unakumbuka jinsi Mwigamba alivyodakwa? Bodyguard wa Dr Slaa? Wale waandamanaji feki waliokua waliofanya maandamano ubungo kupinga Dr Slaa kujiuzulu!! Walikua wanadhibitiwa mapema mnoo.

Tukiwachekea hawa kina Mchome utasikia kesho chama kimepokonywa kimatani tu kama CUF.
CHADEMA kilishavuka huko.
Ccm tutafute njia nyingine.
 
Makada watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamekishtaki tena chama hicho katika mahakama kuu ya Dodoma.

Walalamikaji katika shauri hilo Miscellaneous Cause No. 205810F of 2026, Barnabas Okola, Joseph Mwakidasi, Mathias Cosmas, Abubakari Mashambo na Lembruce Mchome.

Washtakiwa katika shauri hilo ni Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Msajili wa Vyama vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Kupitia akaunti yake katika mtandao wa X, Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Gaston Garubindi, amesema amepokea wito kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, unaomtaka yeye pamoja na wahusika wengine kufika mahakamani kwa ajili ya kusikiliza shauri hilo.

Garubindi, amesema shauri hilo limepangwa kusikilizwa mbele ya Jaji A. Mruma kesho Jumatano Agosti 12, 2026, kuanzia saa 3:00 asubuhi.

“Tumepokea wito kutoka mahakama kuu, Masijala kuu Dodoma kwamba tumeshitakiwa na Katibu wa CHADEMA mkoa wa Morogoro na wenzake, shauri litakuwa mbele ya Jaji Mruma. Tumeitwa kufika mahakamani hapo tarehe 12 August 2026.

“Huu ni mwendelezo wa mbinu chafu, wanapambana na sisi lakini mwisho wa siku hawatashinda

Soma Pia: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa na kubambikiziwa Kesi za Ugaidi

“Hati hiyo imeelekeza wahusika kufika mahakamani kwa njia ya mtandao bila kukosa, pamoja na kuwasilisha nyaraka zote wanazokusudia kuzitumia katika kuunga mkono hoja zao mbele ya mahakama,” amesema Garubindi.View attachment 3648436
 
Attachments

  • E2J15v45XLSQdTMG.jpeg
    E2J15v45XLSQdTMG.jpeg
    58 KB · Views: 2
  • IMG_0830.jpeg
    IMG_0830.jpeg
    184.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom