Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,904
- 6,452
Hawa SS walikuwa ni kitengo cha Chama.
SS maana yake "protectors". Hawa ndio walifanya mauaji sana.
Wao ndio walikuwa wakiziongoza Concentration camps.
Walikuwa wanaongozwa na Himmler.
High Command. Juttner
Railways,Post and Telecommunication. Berger
Personnel. Fischer
Chief Medical Officer. Grawtz
Concentration Camps. Glucks
Corps Commanders. Hauser - Steiner
Divisional Commanders and other higher leaders Simon- Phlebs-Bittric-Kruger-Kleinheisterkemp-Demelhuber-Priess-Puckler.
Serikali ilikuwa inaongozwa na Hitler.
"Crown Prince" alikuwa ni Goring.
Hazina-Meissner na Doehle
Ilikuwepo
Secret Cabinet Council
President. Neurath
Secretary - Lammer
Members -Ribbentrop- Goring -Goebbels-Raeder-Keltle
Baada ya hapo ilikuwepo
War Cabinet
Chairman - Goring
Secretary - Lammer
Plenipotentiary for Administration
Plenipotentiary for Economics
Representative of the Armed Forces- Keitel
Representative of the Party - Borman
Baada ya hapo ndio ilikuwepi serikali ya Ujerumani ikiongozwa na Chancellor Hitler pamoja na Cabinet.