Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu. Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi...
8 Reactions
87 Replies
4K Views
Kama ukiwa msituni kuchanja kuni kwa ajili ya kuwapikia watoto wako chakula, mara akajitokeza nyati anayetaka kukurarua na kukuteketeza, kuna mambo manne yanaweza kufanyika. Nayo ni: Kukimbia...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Ama kweli hakuna Marefu yasiyo na Ncha, yaani CCM leo ni ya kutegemea Wasela ili kukusanya watu! Hebu angalieni Bango hili halafu tuone maoni yenu. Baada ya hayo maoni yenu mtueleze sasa hao...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Baada ya wapinzani, kundi jingine linaloonekana kuteswa na kutaabishwa na ccm, ni hili la waandishi wa habari. 1. Daudi Mwangosi aliuawa na polisi alipokuwa akiripoti maandamano ya chadema. 2...
3 Reactions
5 Replies
573 Views
Nimeona andiko moja linalohusu Senate Meeting Held on 6th May 2024. Hili linazungumzia Ada kwa wanafunzi wanaochelewa kumaliza masomo yao kwa wakati. Ada imepanda badala ya 50,000/month za mwanzo...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Anatia huruma sana for sure. Ni ngumu kwake, lakini anajaribu kua jasiri kuonyesha ni rahisi kwa namna ambayo haimpi ahuweni wala faida ya kisiasa, nadhani anajiumiza zaidi na kujiongezea udhaifu...
2 Reactions
98 Replies
3K Views
Hili suala na wao wanalijadili kumbe: Kumuhusu Chacha Wangwe pia nimeyasoma na kuyasikia katika vimijadala Mbalimbali. Lakini pia nimekumbuka taarifa ya awali ya Jeshi la polisi baada ya...
14 Reactions
112 Replies
10K Views
Ukiniambia huyu mbunge hajui kusoma siwezi kushangaa. Mandatory HIV tests unsuitable, says Govt 2008-08-07 09:33:50 By Patrick Kisembo, Dodoma The government has rejected advice by...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Sakata la EPA: Mambo mazito! 2008-07-17 19:11:17 Na Mwandishi Wetu, Jijini ...Leo asubuhi, Alasiri lilipojaribu kuwasiliana na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu ili kujua kama timu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima Mbele, Mhe. Dr. Slaa anahitajika kukamatwa na Vyombo vya sheria hasa baada ya kuwa na Nyaraka ambazo ni siri za Serikali alizozipata kutoka wizara ya Mambo ya Ndani.Tunatambua ni kosa...
1 Reactions
235 Replies
25K Views
Heshima Mbele, Baada ya muda mrefu wa kupaza sauti,takribani miaka mitatu ya kueneza mapinduzi ya kidemkrosia kupitia mijadala ya moto moto,imani yetu ya kujenga uwezo wa watu kuzungumzia mambo...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mbunge wa Zamani Wa Nkasi kaskazini Ally Keissy aliyekuwa na kila aina ya vituko na Mbwembwe ndani ya Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,amesema ya kuwa anajipanga...
1 Reactions
74 Replies
3K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Nakumbuka zamani kulikuwa na watu wachonganishi - najua bado wapo. Watu hawa kwa asili yao wanapenda ugomvi na wakati mwingine wanachochea ugomvi unoge ili wao wafaidike kwa...
9 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu, == Wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Msalala, Katibu Mkuu wa Umoja wa wazazi jumuiya ya CCM Taifa Ally Hapi alieleza kuwa kuna kipindi Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta lakini...
3 Reactions
63 Replies
3K Views
Hostel ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam tawi la Ubungo kuna matatizo mengi yanawakumba wanafunzi. Moja kati ya matatizo hayo ni upatikanaji wa maji. Hostel ya Ubungo licha ya kukaa zaidi wanafunzi...
8 Reactions
85 Replies
3K Views
Wakuu, Hii poster inatembea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo kurasa za CHADEMA, je ni maandalizi ya maandamano mengine baada ya yale ya mwanzo kuingia doa baada ya viongozi wao kukamatwa siku...
5 Reactions
96 Replies
5K Views
Sisi wakazi wa mbezi Louis hatuna maji wiki ya pili sasa kwa taarifa za uhakika ni mkoa mzima unatatizo la ukosefu wa maji na huenda waziri Aweso akawa waziri wa tatu kutoka tanga kutimuliwa baada...
0 Reactions
13 Replies
983 Views
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo Mhe. Dkt. Florence Samizi amesema filamu maarufu ya Tanzania The Royal Tour iliyochezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia...
0 Reactions
5 Replies
516 Views
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Yakubu amekutana na kufanya mazunguzo na Mhe. Youssoufa Mohamed Ali, Katibu wa Rais Mwenye Dhamana ya Wizara ya Ulinzi nchini...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi na Utawala Bora, Mh. George Simbachawene, amesema upinzani Tanzania umewekwa na CCM, hivyo sio watu wabaya, wanapokosoa wanatimiza matakwa yao...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom