Kuelekea 2025 Hii "Watake Wasitake" Inayosambaa kwa kasi Mitandaoni ni maandamano mengine ya kupinga utekaji na mauaji nchini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
664
2,474
Wakuu,

Hii poster inatembea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo kurasa za CHADEMA, je ni maandalizi ya maandamano mengine baada ya yale ya mwanzo kuingia doa baada ya viongozi wao kukamatwa siku ya maandamano?

1727784959565.png

Pia soma: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
 
CHADEMA wanafeli sana... Kinachotakiwa ni warudi kwenye mikakati ya kimtandao. Yaani kimya kimya!
Bi Chura na serikali yake ya samaki washtukie tu wananchi wapo barabarani!
 
Back
Top Bottom