Utovu wa nidhamu katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama, unaohusisha usiginaji wa Katiba, unahalalisha wito wa “Samia Must Go”

Doctor Mama Amon

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
2,057
2,621
1726126700628.png

Kama ukiwa msituni kuchanja kuni kwa ajili ya kuwapikia watoto wako chakula, mara akajitokeza nyati anayetaka kukurarua na kukuteketeza, kuna mambo manne yanaweza kufanyika. Nayo ni:
  1. Kukimbia, kama una uhakika unayo kasi kubwa kuliko kasi ya nyati huyo; au
  2. Kupanda mti mrefu au kuingia kwenye mtaro mrefu na kujificha kama unajua kwamba hauna kasi kubwa kuliko kasi ya nyati huyo; au
  3. Kupiga magoti ukiomba na kupiga kelele za kijinga ukiomba msaada kutoka kwa majirani wakati ukweli ni kwamba msituni huwa hakuna majirani, au
  4. Kukabiliana na nyati huyo, kama unao uhakika kwamba unazo nguvu na nyenzo za kumkabili
Kutokana na sakati la utekaji, utesaji na mauaji holela ya raia wanaosema "siitaki madudu ya CCM na serikali yake," tena kutokana na sababu halali, sasa Chadema wameamua kuchukua njia ya nne hapo juu, kama mkakati wa kujihami na kulitakasa Taifa. Nawaunga mkono.

Na tafakari yangu kuhusu uamuzi wao ni kama ifuatavyo:
  1. Kulingana na kanuni ya mnyororo wa sababu na matokeo, katika kipindi kinachoanzia tarehe mojawapo (T1) mpaka tarehe ya pili (T2), endapo kuna matukio mawili, tukio A na tukio C, ambayo yanayounganishwa na mchakato B, kiasi kwamba, tukio A ni chimbuko la tukio C kupitia mchakato B, na kiasi kwamba, kama tukio A lisingetokea basi na tukio C lisingefuata, basi, inakuwa ni sahihi kimantiki kuhitimisha kwamba, tukio A na mchakato B ni sababu tosha za ujio wa tukio C.
  2. Katika kipindi kinachoanzia tarehe 15 Novemba 2016, siku vyombo vya dola vilipomteka Ben Saanane, na tarehe 10 Septemba 2024, siku Wito wa “Samia Must Go (out of office) ” ulipotolewa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ni wazi kwamba matukio hayo mawili yanayounganishwa na mchakato mrefu wa utekaji, utesaji na mauaji holela ya raia, kiasi kwamba, kama matukio haya ya utekaji, utesaji na mauaji holela yasingetekelezwa na vyombo vya dola, basi hata Wito wa “Samia Must Go (out of the state house) ” usingetolewa na Chadema.
  3. Kwa hiyo ni sahihi kuhitimisha kwamba, ama kwa kujua au kutojua, vyombo vya dola vinavyotekeleza utekaji, utesaji na mauaji holela ya raia ndio vimesababisha Wito wa “Samia Must Go (out of office) .”

Na kwa kuangalia historia hii ya utekaji, utesaji na mauaji holela wito huu wa “Samia Must Go (out of office) ” ni halali, japo tunaweza kubishana kuhusu suala la “namna” gani wito huu utekelezwe.

Kwa hiyo natoa rai kwa wajasiriadola makini kwamba, tusijadili kwa nini wito wa “Samia Must Go (out of office) ” umetolewa sasa. Jawabu liko wazi: Wasifu wake hausikilizani na yaliyomo kwenye hati ya majukumu ya Urais.

Badala yake nashauri kwamba wajasiriadola makini waelekeze nguvu katika kujadili ni kwa vipi “Samia Must Go (out of office) ”

Mjadala huu hauepukiki hata kidogo.

Ni shida. Kwa sasa, chini ya uongozi wa Rais Samia, Tanzania imegeuka na kuwa mji wa samaki aina ya KAMBALE.

Katika ukoo wa Kambale Baba, Mama na Watoto wana ndevu, hakuna mdogo wala mkubwa.

Kwa sababu hii sasa "kila mtu na lwake" ndio sera ya serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia.

1726135345116.png

Na baadhi wanamlima ngara Rais Samia naye hachukui hatua yoyote.

Hata Masoud Kipanya ameeleza vizuri jambo hili kwa njia ya katuni ifuatayo:

1726170416137.png

Yaani, tumekwama kwa sababu Rais Samia ameshindwa gwaride la wajasiriadola.

Hajui mbinu sahihi za uendeshaji wa dola ambayo ni Jamhuri ya kidemokrasia na ya Kikatiba aliyoapa kuilinda.

Hawezi hata kulinda uhai wa raia wake, kwa mujibu wa kiapo chake cha urais.

Hii maana yake ni kuwa kiti cha urais alichokikalia kwa sasa hakimtoshi na hafai kuendelea kuikalia hata kwa mwezi mmoja kuanzia sasa.

Wakati Taifa lina kiu ya kusikia mikakati ya Mkuu wa Nchi Kuhusu Ulinzi wa Uhai, Uhuru na Usalama wa Mali za Raia alioapa kuwalinda, wasaidizi wake walioko Ikulu wako busy na kumwandalia matamasha na matamko ya kumwondoa kwenye ajenda kuu kwa sasa.

Watanzania hawataki swaga za elimu, kilimo, maadili, and mazingira, wala matamasha kwa sasa. Bila uhai haya yote hayana maana hata kidogo.

Yaani ni kama vile wanachotwambia watu wa Ikulu ni kwamba anachokiweza Rais Samia ni kushiriki "matamasha" wakati watu wako misibani.

Samia ametoka tamasha la Kizimkazi juzi, jana tumesikia anakwenda Tamasha la Songea. What is this?

Tumerudi enzi za Hayati Rais Mstaafu Mwinyi. Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema kwamba, kati ya mwaka 1985 na 1995, Tanzania ilijiendesha yenyewe kwa miaka kumi bila kuwa na Rais!

Hapana! Rais Samia Suluhu Hassam amepoteza uhalali wa kuongoza Tanzania. Nukuu ifuatayo inathibitisha mtazamo huu:

“By definition legitimacy is determined by whether the contractual relationship between the state and citizens is working effectively or not. Individual citizens or tribal members recognise political actors, institutions and relationships in return for services, which guarantee their individual and collective welfare. When such welfare is not forthcoming, legitimacy diminishes and rulers often find themselves forced to move from persuasive to coercive governance.”
—By Kevin P. Clements (2014), “What is legitimacy and why does it matter for peace?,” Accord, Issue No. 25:13-17, at p. 13

Ni katika mazingira haya sasa Rais Samia anaidhalilisha Idara ya Usalama wa Taifa.

Anadai kuwa hana taarifa sahihi juu ya madudu yanayoendelea nchi.

Eti Amemwagiz Waziri Mkuu kuunda Kamati ya kuchunguza. Na kwamba jeshi la polisi imeunda kamati kuchunguza.

Kwa maneno mengine anachosema ni kuww kwa miaka 8, tangu kutekwa kwa Beni Saanane, maofisa usalama hawafanyi kazi yao ya kumpa Rais taarifa sahihi na kwa wakati.

Lakini katika muundo wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tunao watendaji kama vile DGIS, ZSO, RSO, DSO na field officers. Yaani
  • Director General of Intelligence Service (DGIS) anayeripoti moja kwa moja kwa rais kila asubuhi baada ya kukusanya taarifa kutoka kwa ZSOs
  • Zonal security OFFICER (ZSO) anayefanya kazi kwa ukaribu na Zonal Crimes Officer (ZCO)
  • Regional security OFFICER (RSO) anayefanya kazi kwa ukaribu na Regional Crimes Officer (RCO)
  • District security OFFICER (DSO) anayefanya kazi kwa ukaribu na District Crimes Officer (DCO)

Kwa nafasi yake ZSO anakusanya taarifa za ma-RSO, kisha ma-RSO wanakusanya taarifa za ma-DSO na ma-DSO anakusanya taarifa za field officers.

Chini ya muundo huu kazi moja wapo ya MA-TISS ni kulifanyia ukachero jeshi la polisi kila siku iendayo kwa Mungu.

Wakati mwingine RSO anaweza kwenda front katika masuala ya kimkakati kama ilivyokuwa katika lile suala la EPA.

ZSO wa wakati ule alizama ndani akawa mmoja wa wanufaika wa EPA, akapata first hand information.

Sasa ni wazi kwamba hali ni tofauti na leo ambapo ZCO anaratibu utekaji, utesaji na mauaji holela ya raia wenye sababu halali za kukosoa serikali ya chama tawala,
halafu hawa kina ZSO, RSO na DSO tunaambiwa hawana habari na kinachoendelea!

Hapana! Makataa kukubali nadharia hii.

Kwa mtazamo wangu kuna tatizo Ikulu ambako taarifa zinapelekwa! Rafiki yangu mmoja kanambia hivi:

"The supply side of intelligence information is timely, competent and passionately aggressive, but the demand side is slow, selective and dangerously reluctant to take timely and bold decisions"

Yaani, tatizo ni yule mtu ambaye anapokea taarifa za kiintelijensia na kuzikalia mpaka kutufikisha kwenye hatua ambako Tanzania sasa inanuka damu, inanuka rushwa, inanuka utapiahaki.

Kwa sababu hizi zote, ni sahihi kusema kuwa, wito wa "Samia must go (out of office) umekuja kwa kuchelewa.

1726126890834.png

1726126911933.png

1726126953081.png

1726127455181.png

Mimi nasema atupishe, kama anashindwa kuwawajibishwa watu aliowateua yeye mwenyewe hadi wanatumaliza namna hii hakuna jinsi nyingine atupishe tu. Inawezekana wanateka na kuua wapinzani ili kumkomoa yeye kwa mgongo wa kukisaidia chama chake,ila yote kwa yote ni watu wake kama amewashindwa basi yeye ndiye ameshindwa aondoke tu.
 
Katika muktadha wa utovu wa nidhamu katika vyombo vya ulinzi na usalama, suala la ushirikiano wa katiba linakuwa muhimu sana. Wito wa "Samia (Government) Must Go" unajitokeza kutokana na hisia za umma kuhusu matumizi mabaya ya madaraka, ukosefu wa uwajibikaji, na ukiukwaji wa haki za raia.

Sababu za Hali Hii

1. Ukosefu wa Uwajibikaji:
Wakati vyombo vya ulinzi na usalama havifanyi kazi kwa mujibu wa sheria, wananchi wanajihisi hawana ulinzi wa kutosha.

2. Kukosekana kwa Haki za Kiraia: Mifano ya ukiukwaji wa haki, kama vile ukamataji wa watu bila sababu za msingi, inachangia hasira za umma.

3. Ushirikiano wa Katiba:
Vyombo vya ulinzi vinapaswa kuzingatia katiba katika utekelezaji wa majukumu yao. Kukosekana kwa hilo kunasababisha watu kuhoji uhalali wa serikali.

Athari za Wito Huu

- Mawasiliano ya Kijamii:
Wito huu unaleta majadiliano katika jamii kuhusu haki, demokrasia, na ushirikiano wa kisiasa.
- Mabadiliko ya Siasa:
Unaweza kuhamasisha mabadiliko katika uongozi wa kisiasa na kuleta mwamko wa kisiasa miongoni mwa wananchi.
- Kuharibu Uhusiano:
Wito huu unaweza kuathiri uhusiano kati ya serikali na raia, na wakati mwingine kupelekea machafuko.

Hitimisho

Wito wa "Samia Must Go" unawakilisha hisia za wananchi kuhusu utawala na ulinzi wa haki zao. Ni muhimu kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuzingatia katiba na kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa uwazi na uwajibikaji ili kujenga imani ya umma.
 
View attachment 3093879

Kama ukiwa msituni kuchanja kuni kwa ajili ya kuwapikia watoto wako chakula, mara akajitokeza nyati anayetaka kukurarua na kukuteketeza, kuna mambo matatu yanaweza kufanyika. Nayo ni:
  1. Kukimbia, kama una uhakika unayo kasi kubwa kuliko kasi ya nyati huyo; au
  2. Kupanda mti mrefu kama unajua kwamba hauna kasi kubwa kuliko kasi ya nyati huyo; au
  3. Kukabiliana na nyati huyo, kama unao uhakika kwamba unazo nguvu na nyenzo za kumkabili
Kutokana na sakati la utekaji, utesaji na mauaji holela ya raia wanaosema "siitaki CCM na serikali yake," sasa Chadema wameamua kuchukua njia ya tatu hapo juu. Tafakari yangu kuhusu uamuzi wao ni kama ifuatavyo:
  1. Kulingana na kanuni ya mnyororo wa sababu na matokeo, katika kipindi kinachoanzia tarehe ya kwanza (T1) mpaka tarehe ya pili (T2), endapo kuna matukio mawili, tukio A na tukio C, ambayo yanayounganishwa na mchakato B, kiasi kwamba, tukio A ni chimbuko la tukio C kupitia mchakato B, na kiasi kwamba, kama tukio A lisingetokea basi na tukio C lisingefuata, basi, inakuwa ni sahihi kimantiki kuhitimisha kwamba, tukio A ni sababu tosha ya tukio C.
  2. Katika kipindi kinachoanzia tarehe 15 Novemba 2016, siku vyombo vya dola vilipomteka Ben Saanane, na tarehe 10 Septemba 2024, siku Wito wa “Samia (Government) Must Go” ulipotolewa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ni wazi kwamba matukio hayo mawili yanayounganishwa na mchakato mrefu wa utekaji, utesaji na mauaji holela ya raia, kiasi kwamba, kama matukio haya ya utekaji, utesaji na mauaji holela yasingetekelezwa na vyombo vya dola, basi hata Wito wa “Samia (Government) Must Go” usingetolewa na Chadema.
  3. Kwa hiyo ni sahihi kuhitimisha kwamba, ama kwa kujua au kutojua, vyombo vya dola vinavyotekeleza utekaji, utesaji na mauaji holela ya raia ndio vimesababisha Wito wa “Samia (Government) Must Go.”

Na kwa kuangalia historia hii ya utekaji, utesaji na mauaji holela wito huu wa “Samia (Government) Must Go” ni halali, japo tunaweza kubishana kuhusu suala la “namna” gani wito huu utekelezwe.

Kwa hiyo natoa rai kwa wajasiriadola kwamba, tusijadili kwa nini wito wa “Samia (Government) Must Go” umetolewa sasa.

Badala yake nashauri kwamba wajasiriadola waelekeze nguvu katika kujadili ni kwa vipi “Samia (Government) Must Go.”

Mjadala huu hauepukiki. Kwa sasa Tanzania imegeuka mji wa samaki aina ya nshonzi. Baba, Mama na Watoto wana ndevu. Sasa "kila mtu na lwake" ndio habari ya mjini.

Tumekwama kwa sababu Rais Samia ameshindwa gwaride la ujasiriadola. Kama hawezi kulinda uhai wa raia wake, kwa mujibu wa kiapo chake cha urais, kiti cha urais alichokikalia kwa sasa hakimtoshi na hafai kuendelea kukikalia.

Inaonekana anachokiweza ni "matamasha". Ametoka tamasha la Kizimkazi juzi, jana nimesikia anakwenda Tamasha la Songea. What is this?

Tumerudi enzi za Hayati Rais Mstaafu Mwinyi. Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema kwamba, kati ya mwaka 1985 na 1995, Tanzania ilijiendesha yenyewe kwa miaka kumi bila kuwa na Rais!

Hapana! Rais Samia Suluhu Hassam amepoteza uhalali wa kuongoza Tanzania. Nukuu ifuatayo inathibitisha mtazamo huu:

“By definition legitimacy is determined by whether the contractual relationship between the state and citizens is working effectively or not. Individual citizens or tribal members recognise political actors, institutions and relationships in return for services, which guarantee their individual and collective welfare. When such welfare is not forthcoming, legitimacy diminishes and rulers often find themselves forced to move from persuasive to coercive governance.”
—By Kevin P. Clements (2014), “What is legitimacy and why does it matter for peace?,” Accord, Issue No. 25, 13-17.

View attachment 3093883

View attachment 3093884

View attachment 3093886

Mene mene tekeri na peresi!!
 
View attachment 3093899
Kuna Wenye CCM yao wanataka kum-biden mama wa watu 2025

Haya matukio yote ni kumchonganisha na raia ili justification ya bidenilization iwepo
 
By definition legitimacy is determined by whether the contractual relationship between the state and citizens is working effectively or not. Individual citizens or tribal members recognise political actors, institutions and relationships in return for services, which guarantee their individual and collective welfare. When such welfare is not forthcoming, legitimacy diminishes and rulers often find themselves forced to move from persuasive to coercive governance.”
—By Kevin P. Clements (2014), “What is legitimacy and why does it matter for peace?,” Accord, Issue No.

Mwisho wa kunukuu
 
View attachment 3093879

Kama ukiwa msituni kuchanja kuni kwa ajili ya kuwapikia watoto wako chakula, mara akajitokeza nyati anayetaka kukurarua na kukuteketeza, kuna mambo matatu yanaweza kufanyika. Nayo ni:
  1. Kukimbia, kama una uhakika unayo kasi kubwa kuliko kasi ya nyati huyo; au
  2. Kupanda mti mrefu kama unajua kwamba hauna kasi kubwa kuliko kasi ya nyati huyo; au
  3. Kukabiliana na nyati huyo, kama unao uhakika kwamba unazo nguvu na nyenzo za kumkabili
Kutokana na sakati la utekaji, utesaji na mauaji holela ya raia wanaosema "siitaki CCM na serikali yake," sasa Chadema wameamua kuchukua njia ya tatu hapo juu. Tafakari yangu kuhusu uamuzi wao ni kama ifuatavyo:
  1. Kulingana na kanuni ya mnyororo wa sababu na matokeo, katika kipindi kinachoanzia tarehe ya kwanza (T1) mpaka tarehe ya pili (T2), endapo kuna matukio mawili, tukio A na tukio C, ambayo yanayounganishwa na mchakato B, kiasi kwamba, tukio A ni chimbuko la tukio C kupitia mchakato B, na kiasi kwamba, kama tukio A lisingetokea basi na tukio C lisingefuata, basi, inakuwa ni sahihi kimantiki kuhitimisha kwamba, tukio A ni sababu tosha ya tukio C.
  2. Katika kipindi kinachoanzia tarehe 15 Novemba 2016, siku vyombo vya dola vilipomteka Ben Saanane, na tarehe 10 Septemba 2024, siku Wito wa “Samia (Government) Must Go” ulipotolewa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ni wazi kwamba matukio hayo mawili yanayounganishwa na mchakato mrefu wa utekaji, utesaji na mauaji holela ya raia, kiasi kwamba, kama matukio haya ya utekaji, utesaji na mauaji holela yasingetekelezwa na vyombo vya dola, basi hata Wito wa “Samia (Government) Must Go” usingetolewa na Chadema.
  3. Kwa hiyo ni sahihi kuhitimisha kwamba, ama kwa kujua au kutojua, vyombo vya dola vinavyotekeleza utekaji, utesaji na mauaji holela ya raia ndio vimesababisha Wito wa “Samia (Government) Must Go.”

Na kwa kuangalia historia hii ya utekaji, utesaji na mauaji holela wito huu wa “Samia (Government) Must Go” ni halali, japo tunaweza kubishana kuhusu suala la “namna” gani wito huu utekelezwe.

Kwa hiyo natoa rai kwa wajasiriadola kwamba, tusijadili kwa nini wito wa “Samia (Government) Must Go” umetolewa sasa.

Badala yake nashauri kwamba wajasiriadola waelekeze nguvu katika kujadili ni kwa vipi “Samia (Government) Must Go.”

Mjadala huu hauepukiki. Kwa sasa Tanzania imegeuka mji wa samaki aina ya nshonzi. Baba, Mama na Watoto wana ndevu. Sasa "kila mtu na lwake" ndio habari ya mjini.

Tumekwama kwa sababu Rais Samia ameshindwa gwaride la ujasiriadola. Kama hawezi kulinda uhai wa raia wake, kwa mujibu wa kiapo chake cha urais, kiti cha urais alichokikalia kwa sasa hakimtoshi na hafai kuendelea kukikalia.

Inaonekana anachokiweza ni "matamasha". Ametoka tamasha la Kizimkazi juzi, jana nimesikia anakwenda Tamasha la Songea. What is this?

Tumerudi enzi za Hayati Rais Mstaafu Mwinyi. Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema kwamba, kati ya mwaka 1985 na 1995, Tanzania ilijiendesha yenyewe kwa miaka kumi bila kuwa na Rais!

Hapana! Rais Samia Suluhu Hassam amepoteza uhalali wa kuongoza Tanzania. Nukuu ifuatayo inathibitisha mtazamo huu:

“By definition legitimacy is determined by whether the contractual relationship between the state and citizens is working effectively or not. Individual citizens or tribal members recognise political actors, institutions and relationships in return for services, which guarantee their individual and collective welfare. When such welfare is not forthcoming, legitimacy diminishes and rulers often find themselves forced to move from persuasive to coercive governance.”
—By Kevin P. Clements (2014), “What is legitimacy and why does it matter for peace?,” Accord, Issue No. 25, 13-17.

View attachment 3093883

View attachment 3093884

View attachment 3093886

View attachment 3093899
Leo mmrekebisho kauli mbiu jana ilihusu Rais peke yake leo Rais na serikali yake, Public figures have to keep their words
 
Kafanya kosa kubwa sana kuruhusu makirikiri kuhalalishwa kisheria kufanya operations za kinyama kwa kinga ya kutoshitakiwa. Amlaumu sana waziri wake wa katiba na sheria, yule mama aliyepekwa utalii na yule wa utawala bora wametengeneza bomu litakaloifanya Tanzania ivuje damu kwa chuki kati ya vyama pinzani na chama tawala, mtu kwa mtu, familia kwa familia, nk
 
Back
Top Bottom