Hawa ndio wabunge wetu na maswali yao!

Pundit

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
3,733
123
Ukiniambia huyu mbunge hajui kusoma siwezi kushangaa.

Mandatory HIV tests unsuitable, says Govt

2008-08-07 09:33:50
By Patrick Kisembo, Dodoma


The government has rejected advice by legislators that HIV/AIDS testing be made compulsory for public servants and job seekers.

Health and Social Welfare deputy minister Aisha Kigoda told the National Assembly here yesterday that the idea was untenable because such an exercise would lead to the stigmatisation and discrimination of people living with HIV/AIDS.

She was responding to a question by Masolwa Cosmas Masolwa (Bububu - CCM), who had asked why the government was reluctant to make HIV/AIDS testing mandatory.

``The government is not in support of the MP?s idea of making the exercise a precondition for people seeking employment or a political career in Tanzania,`` noted Dr Kigoda.

She said compulsory testing would create isolation and divisions and would promote stigmatisation among people living with HIV/AIDS.

Translating the idea into action would make those people fail to participate fully in routine community activities as free citizens in their own country, she added.

``That would effectively mean denying them their basic constitutional rights and human rights,`` she elaborated.

The deputy minister explained that the level of one`s performance in relation to one?s health depended much on one`s competence in particular jobs or activities.

She stated that there were people living with HIV/AIDS who were performing better than those who had not contracted the disease.

``The best way to fight the pandemic is to work collaboratively with people living with HIV/AIDS by viewing them as human resources as important and useful as all other members of society,`` she said.

Asking a supplementary question, Mzee Ngwali Zubeir (Mkwajuni - CCM) wondered why it was not compulsory for people joining the National Service to be tested for HIV/AIDS.

Responding, Dr Kigoda explained that testing was voluntary and called on the legislators to help by passing on to the people correct information on the disease and underlining the importance of going for voluntary testing and counselling.

``We need to encourage people to test. There are a lot of services that people going for testing get, among them counselling and health education generally.

But in line with human rights demands and our own national policy on HIV/AIDS, the government is not ready to force people to test,`` she told the House.
 
Ukiniambia huyu mbunge hajui kusoma siwezi kushangaa.

..........
She was responding to a question by Masolwa Cosmas Masolwa (Bububu - CCM), who had asked why the government was reluctant to make HIV/AIDS testing mandatory.
Huyo Mh. Ni msomi na mtaalamu mkubwa hapo visiwani. Kwa ufupi alikuwa ni mwandisi katika mojawapo ya Idara za SMZ.. something like UUB
 
Last edited:
Huyo Mh. Ni msomi na mtaalamu mkubwa hapo visiwani. Kwa ufupi alikuwa ni mwandisi katika mojawapo ya Idara za SMZ.. something like UUB


Duuuh,

Yaaani ndiyo unaniumiza kichwa kabisaaaaa, bora hata ungeniambia jamaa darasa la nne kapanda panda katika party politics tu ningeweza kuelewa.

Sasa huyu ndiye mhandisi? Sooo medieval. Asiyesoma nitegemee nini sijui? Bora usomi wa kweli hautegemei shule.
 
mbona kuna yule Mbunge aliyependekeza wenye kutambuliwa kuwa na HIV watiwe alama ili jamii iwajue.
 
Mwingine alisema neno "kutia" lipigwe marufuku! Yaani msamiati wa kiswahili upunguzwe!

Tuna hatari kweli kweli
 
Mwingine alisema neno "kutia" lipigwe marufuku! Yaani msamiati wa kiswahili upunguzwe! Tuna hatari kweli kweli

Si afadhali huyo. Spika Sitta sasa si ndo zimwi likujualo kabisa. Ulishasikia vibwanga vyake!? Sitaki hata kurudia hapa.
 
Kama sijakosea aliyesema wenye HIV watiwe alama ili jamii iwajue ni Mbunge kutoka ktk majimbo ya wilaya ya Njombe. Lakini sio Makinda ni mmoja kati ya wabunge wawili wanaume wa wilaya hiyo.
 
Nadhani ni yule aliyejitosa kwenda kufundisha maths shule moja ya kwao akaishia kuwaambia watoto wasomee ubunge na uwaziri
 
mwakilishi ana reflect jamii anayotoka..........tumewapigia kura wenyewe, wache waseme utumbo.
 
Hivi hizi research institution au academic institution zinaweza kutufanyia research... ya maswali ambao ni relevant versus irrelevant.
Uzoefu wangu wa kuangalia bunge... kuna maswali mengi sana yanaulizwa bunge kumbe yangeenda Halmashauri ambapo mbunge pia ni Mjumbe wa baraza la madiwani...

Au mengine ambayo yanahitaji tu kuwa mtu mwerevu...

Ni uhakikia statistics zitaonyesha maajabu...

Kuna mbunge kazi yake kulalamikia petty issues... kama mfano... mwanachi wangu mmoja pale kijiji ameonewa na mtendaji... wa kijiji kwa jina m. m. mwanakijiji na barua ninao mkokono je serikali inasema je?
 
Nadhani ni yule aliyejitosa kwenda kufundisha maths shule moja ya kwao akaishia kuwaambia watoto wasomee ubunge na uwaziri


Ni yule mmliki wa Yono Auction Mart. Ana cheti cha Materials Mngt. Worked with TANESCO as a Purchasing Officer.
 
mwakilishi ana reflect jamii anayotoka..........tumewapigia kura wenyewe, wache waseme utumbo.

Kwani vigezo mtu kuwa navyo kugombea ubunge mwananchi alishiriki kuviweka?

Tusipolibadili BUNGE kwa kura zetu, hakitabadilika kitu NCHI hii.

I doubt whether that alone will change much.

Tusiwashangae jamani kwani tunawachagua wenyewe na hawa si wawakilishi wetu jamani? manake na sisi ndivyo tulivyo au?

Kama mbunge uliyempigia kura ni kilaza, kwa nini udhani kila mmoja wetu alishiriki kumchagua?


.
 
Hawa waheshimiwa hulalamika likitajwa neno "tembo" kuwa ni tusi kubwa huko visiwani, hulazimisha tembo aitwe ndovu, kuna mtu atakuwa anafaham maana ya neno tembo huko visiwani?
 
Nina amini tembo kwa wenzetu maana yake pombe,ref; mgema akisifiwa tembo hulitia maji. Au huwa ni pembe za tembo au ni pembe za ndovu? nimechangia tu hapa,ajuaye atusaidie.
 
Back
Top Bottom