My Take
Waliokuwa wanawatumia wenzao kupata pesa Sasa ni wakati wa kwenda kujitetea.
Kwa mujibu wa andiko linalosambaa mitandaoni, viongozi wa CHADEMA, wanaharakati na wahamasishaji katika...
Wanabodi
Tumepiga kelele sana humu kuhusu adhabu ya kifo kwa kunyongwa mpaka kufa kuwa barbaric!.
Hatimaye leo Tanzania tumeamriwa kuifuta adhabu hiyo ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka kufa!. Ni...
Wakifanikiwa wanakanusha,Wakishindwa wanadai ulikuwa na kosa watalitafuta mda wanaojisikia.
Kwa dunia hii mshaingia kwenye rekodi mbaya na uchafu wenu.
Mnavutiwa mda ili mkishawekwa kitimoto...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema waandishi wa habari wamezuiwa kuingia katika ukumbi wa Mahakama Kuu kuripoti mwenendo wa kesi inayohusu vikwazo vya kumwona Mwenyekiti wa chama...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amesema utamaduni wa 'uchawa' na kuteteana bila kuzingatia ukweli ni miongoni mwa mambo...
SI mara nyingi viongozi walioshika nyadhifa za juu katika Tanzania huamua kuandika vitabu vinavyoelezea maisha yao binafsi na ya utumishi wa umma wakati wanapostaafu.
Kwa sababu ya kasoro hiyo...
Akizungumza katika mahojiano na shirika la habari la DW yaliyochapishwa leo Julai 22, 2026, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kwa sasa Tanzania kuna mporomoko...
Wanabodi,
Kiongozi mzuri ni yule anayeyaishi maneno yake, yaani ku "practice what you preach". Ile preaching ya jana ya Rais Magufuli kuomba Watanzania wanaohukumiwa kifo Wanyongwe tuu, imenigusa...
Nimefatilia cross-examination ya Lissu kwa bwana jela nimekuja na hitimisho kuwa ndio maana yale machawa ya humu jf yakianzisha uzi au kukoment utagundua kuwa kwenye vichwa vyao ni low bettery...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria imependekeza kwa Serikali kupitia upya sheria inayotoa adhabu ya kunyongwa kwa kutenga muda maalumu wa kutekelezwa na ukipita, adhabu hiyo igeuke moja...
Wanabodi,
Declaration of interest.
Huu ni msimamo wangu binafsi kuhusu adhabu ya kifo.
Siku ya Kupinga Adhabu ya Kifo
Adhabu ya Kifo: Jee kweli bado inahitajika?
Unajua anaetekeleza adhabu ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu na Wenyeviti wa Bodi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi...
Usafiri wa njia ya SGR unapaswa kusajihishwa na shughuli za kiuchumi za wananchi kwenye vituo inakopitia.
Hali ilivyo sasa abiria hawezi kubeba hata kamzigo ka kilo 20 za mchele, nyanya, mboga...
Wanabodi,
https://www.youtube.com/live/clOESBBmMmI?si=WZKqn4KF5vTxrtGR
Leo Tarehe 10 October ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Adhabu ya Kifo. Niko hapa jengo la Wakili House kuwaletea live mjadala...
Salaam,
Leo ni siku ya kimataifa ya kupinga adhabu ya kifo.
Maadhimisho ya kitaifa yameandaliwa na Mtandao wa Mashirika ya Utetezi wa Haki za Binaadamu kwa nchi za Kusini mwa Afrika tawi la...
Wanabodi
Tarehe 10 ya October kila mwaka, ni siku ya Kimataifa ya Kupinga Adhabu ya Kifo Duniani.
Kwa Tanzania kwa mwaka huu, Kituo cha Sheria na Haki za Binaadamu Tanzania, LHRC kinazungumza na...
My Take
Hivi nani Huwa anawadqnganya wanaojiita wasomi kwamba wananchi wanahitaji masoko ya gharama kubwa, ya gorofa na Mabilioni.
Ujinga huu wa kupoteza Rasilimali upo pia kwenye ujenzi wa...
Licha ya yote hayo leo tena Kambenga aendelea kunyang'anya mbegu za wakulima hadi ikatokea vurugu kubwa kijijini Katika hali isiyo ya kawaida viongozi wa wilaya ya Kilombero wamepofushwa macho na...
Yaliyopita, yaliyopo na yajajo kuhusu Tanzania.
Edwin Mtei na Bob Makani wanahukumiwa vizuri na historia kuliko mwanasiasa mwingine yoyote wa kizazi cha kwanza. Ntakueleza ni kwanini nasema hivi...
Kufuatia malumbano yanayoendelea kwenye vyombo vya habari na madhaifu mengi ambayo tumeshayashuhudia kwenye chama kwa sasa, natoa wito kwa wana CHADEMA wote nchini kwamba wakati umefika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.