Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Viongozi waandamizi wa CCM wanazunguka nchi nzima pamoja na mambo mengine wanatoa shutuma kwamba kuna watu walihamasisha vijana wa kitanzania kuandamana Oktoba 29 mwaka 2025. Viongozi hao wa CCM...
15 Reactions
95 Replies
880 Views
Chanzo cha picha,MWANANCHI Kenya imetimiza viwango vya Marekani kuhusu uwazi katika matumizi na usimamizi wa fedha za umma, huku Tanzania ikishindwa kufikia viwango hivyo. Hayo yamebainishwa...
0 Reactions
2 Replies
71 Views
Leo Agosti 11, 2026 katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anayeshitakiwa kwa kesi ya uhaini, ameendelea kumhoji shahidi wa 16, Kamishna msaidizi wa...
31 Reactions
116 Replies
4K Views
Wanabodi, Summary: Hili ni bandiko la swali kuwauliza Watanzania, je tuendelee kukubali kunyanyaswa, na kudharauliwa na matajiri kwa jeuri ya pesa zao kwa kusukasukwa na kukandwa kandwa kama...
1 Reactions
14 Replies
253 Views
Hii haina comeback wala reverse! Mkiweza simamisheni sass hizi project za kupoteza, kuua kutesa na kudhalilisha watu.. Huku wengine mkiwabambikia kesi zisizo na dhamana Vijana na watu wema na...
20 Reactions
46 Replies
892 Views
  • Featured
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 07, 2026, amezindua rasmi Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia...
25 Reactions
176 Replies
4K Views
Tokea awekewe vikwazo na Marekani, huyu takataka aitwaye Mafwele sijamsikia wala kumwona tena. Hivi yuko wapi huyu kiumbe? Nashangaa mpaka sasa kwa nini raia wema hawajamuua! Sisi Watanzania...
8 Reactions
10 Replies
364 Views
Habari ya wakati huu tuna ndugu yetu ameuwawa huko Mpanda na jeshi la Tanapa Anaitwa Naftali Maziwa Jinsi stori ilivyo Huyu ndugu yetu anajishughulisha na upasuaji wa mbao Kwa kuwa na vibari...
10 Reactions
25 Replies
649 Views
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 241 Mhe. Lissu anaendelea kumdodosa Shahidi wa kificho wa Jamhuri. Mhe Lissu: Ulisema mlikuwa na Camera ya Sony NX, Kweli si kweli ? Shahidi wa kificho P: Kweli...
2 Reactions
8 Replies
336 Views
Ikulu ijibu SWALI langu, Mnasubilia hizi aibu zinazoendelea mahakamani zifike ikulu? Afisa mkubwa kabisa wa jeshi la polisi anagalagazwa mahakamani mpaka anaulizwa kama ana akili timamu anajibu...
8 Reactions
18 Replies
457 Views
Wakuu, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, ameeleza kuwepo kwa vikundi vilivyopangwa mtandaoni vinavyoshambulia watu na kuvuruga utamaduni wa...
10 Reactions
26 Replies
642 Views
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeweka wazi kuwa lengo kuu la kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na kusema wao Maaskofu ndio waliomba...
1 Reactions
24 Replies
685 Views
Kwa ukubwa wa ardhi yenye rutuba, na rasilimali watu tulio nao,inawezekanaje jamuhuri kuagiza ngano,mafuta ya kula ,sukari na bidhaa nyingine nje ya nchi!!?badala ya sisi wenyewe kuzalisha na...
1 Reactions
10 Replies
125 Views
Kwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi. CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake...
14 Reactions
58 Replies
862 Views
12 January 2026 Tanzania: Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong Januari 12, 2026 Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
MHE. BALOZI OMAR: AIMWAGIA SIFA TRA UKUSANYAJI WA MAPATO YA NDANI Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameimwagia sifa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA kwa utendaji uliotukuka...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Friends and our enemies Hakika muda ni kitu pekee ambacho kinaweza kutoa majibu ya uhakika. Chadema siku zote imekuwa inakimbilia kwa kanisa kwenda kupeleka taarifa za uongo na chuki ili...
2 Reactions
37 Replies
371 Views
Sikiliza
1 Reactions
23 Replies
398 Views
Wanabodi, Angalizo. Simple minds discuss people, great minds discuss ideas, hili sio bandiko la kudiscuss people, ndio maana hakuna jina la mtu yeyote limetajwa humu, hivyo nakuomba hata kama...
5 Reactions
38 Replies
767 Views
Back
Top Bottom