Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekanusha madai yaliyotolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kwamba changamoto ya upatikanaji wa maji katika baadhi ya maeneo...
Hii mbinu imeshapitwa na wakati, wahusika katika Dawati husika wajaribu kuumiza vichwa Kuja na mbinu zingine lakini siyo hizi mbanga.
Pale panapokuwa na mambo Makubwa ya kitaifa yanayohitaji...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa wa Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Nondo, ameitaka serikali kuifuta mara moja kesi inayowakabili wanafunzi 17 wa vyuo vikuu wanaotuhumiwa kughushi nyaraka ili...
Mgeni njoo mwenyeji aponeeeee!
Tetesi za maandamano tarehe 07/07/2026, wasio vaa uniform wamejaa hapa ninapo gonga nyagi wanasikilizia nyuzi,kidume nipo jamii forum nabonga na Wana uku nachati...
Sasa hivi upepo wa kisiasa unavyovuma ni dhahiri kiwango Cha kukubalika kwa viongozi wengi wa CCM kimeshuka miongon mwa watanzania na sijuhi kwanini hawajashutukia hili suala
Tangu Chadema irudi...
Niko na masikitiko na huzuni kubwa sana kuona vile ambayo uislam umefanywa dodoki la kusafisha maghambi ya mwanasiasa
Uislam dini ya haki
Hii ndiyo falsafa ya dini yetu uislam hsuruhusu...
Mpasuko na mivutano ya kisiasa ndani ya kambi ya upinzani nchini Tanzania umezidi kushika kasi kufuatia mfululizo wa shutuma na majibu makali hadharani kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo kwa upande wa Zanzibar, Ismail Jussa, amemkosoa vikali Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, kufuatia kauli zake...
Ikiwa Maseneta wa Marekani watakaowahoji ujumbe wa Tanzania wataamua mahojiano hayo yawe mubashara kupitia CNN kuhusu Tanzania, kwa lugha pendwa ya Kiingereza, Wakielekeza hoja zao katika maeneo...
Wazanzibari hawana tofauti yo yote na Waafrika Kusini wanao wafukuza waafrika wenzao kutoka nchi zingine. Wazanzibari ni makaburu tu. Wazanzibari ni wanafiki wakubwa wanakuchekea usoni mioyoni...
Nilitegemea Ziara yake huko Russia na kujadili pia masuala ya mafuta!! Sote tunafahamu hali ya mafuta ni mbaya sana, na Urusi wana mafuta mengi tu mamilioni ya mapipa kiasi kwamba hawajui hata...
Wanabodi
Nilikuwa nasikiliza kitu kumhusu Nicolo Machivaeli kwenye kitabu cha The Prince, audio books imefanya reading books made easy, usingizi ukikata unakamata simu yako na kujikeep busy...
Habari wakuu,
Jana nimeona watoto wa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba wakivutia mjadala mkubwa mtandaoni baada ya baba yao kuwapa nafasi ya kuzungumza jukwaani. Miongoni mwao, Isack tayari...
Hapa nazungumzia wafanyabiashara wadogo na wa kati ambao walipoteza mitaji yao.
Mtu alikuwa na mtaji kama wa mil nane au kumi na sababu ya ufisadi wa CCM vurugu zikatokea.
Inakuwaje mnajitengea...
Akiongea hivi punde kupitia Podcast ya 'Royal" mwandishi nguli wa habari nchini Tanzania Pascal Mayalla, kasema watu waliouliwa Oktoba 29 kama walikuwa wanaandamana, waliuliwa kwa sababu vyombo...
Sikatai na wala sipingi kuwa CCM ipo madarakani sababu ya kuwa vyombo vya dola vimeikumbatia.
Lakini nguvu ya umma ni zaidi ya bunduki na vifaru.
Heche na Lissu wamekiheshumisha chama chao...
Vyanzo vya kuminika vya kimataifa vinasema kulikuwa na makundi yasiyo rasmi yalionekana yakiua raia ovyo kwenye makazi ya watu, na yalionekana yana mfungamano na serikali je makundi hayo ni akina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.