Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumsifu Yesu Kristo Ma - Baba Askofu wetu wa TEC! Nawaandikia haya kama mshirika na muumuni mwaminifu wa kanisa Katoliki ambaye ni muathirika wa utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali...
7 Reactions
41 Replies
586 Views
Kuna daftari linapita katika baadhi ya vijiji likiwataka watu kuandikisha taarifa zao mie kuna kijiji nipo nimealazimishwa kuandikishwa vip huu utaratibu ukoje hebu nijuzeni hii ni sheria au kitu gan
1 Reactions
21 Replies
328 Views
nina dhani ni bora kujipendekeza kwa katiba kuliko kwa watu, kuna katetesi ndani ndani kwamba hata si bunge tu hata wakuu wa wilaya nao ni majanga kila siku kujipendekeza, kama Mkuu wa wilaya ya...
11 Reactions
35 Replies
1K Views
Hili ni swali baada ya wadau kunusa udanganyifu kwenye Utambulisho wake, sasa tunaomba wadukuzi watueleze ukweli wa mtu huyu Kilaza kabisa anayepigwa spana Mahakamani bila huruma yoyote Kwa...
19 Reactions
47 Replies
1K Views
Mkakati au "project" mbalimbali za kisiasa zenye lengo la kuibomoa, kuidhoofisha au kuigawa CHADEMA zimefeli kwa kiasi kikubwa, kwani chama hicho bado kimesimama imara kama nguzo kuu ya upinzani...
16 Reactions
37 Replies
377 Views
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Tanzania na Marekani zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo madini adimu, nishati, afya, uwekezaji...
1 Reactions
6 Replies
246 Views
Nukuu za Waziri Mkuu katika Sekta ya Afya
0 Reactions
0 Replies
36 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka waandishi wa habari na vyombo vya habari nchini kuwa mabalozi wema katika kueneza na kuunga mkono jitihada za maridhiano ya kitaifa...
2 Reactions
30 Replies
624 Views
Leo Kwenye mkutano mkuu wa Bavicha Taifa mjini Dodoma Lema alipewa fursa ya kuongea. Hata hivyo kuna vitu viwili sikuviona. 1. Aliongea na kwa muda mfupi sana na hakukuwa na presha ya...
0 Reactions
9 Replies
178 Views
Mke wa Yeriko Nyerere, (kada wa Chadema) Neema Alex amesema mumewe ameshindwa kufikishwa mahakamani jana kutokana na kutokamilika kwa baadhi ya mambo. Hata hivyo, Neema hakuwa tayari kutaja...
3 Reactions
91 Replies
10K Views
Enzi za jiwe tuliogopa kuchunguza vyeti FEKI kwenye majeshi hasa jeshi la polisi, ILA Nina wasi wasi huyu shahidi Amini Mihamba kwenye kesi inayomkabili Tundu Lissu Kuna mmoja alikuwa anesoma na...
10 Reactions
13 Replies
321 Views
  • Redirect
Tanzania na Marekani zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo madini adimu, nishati, afya, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi, pamoja...
0 Reactions
– Replies
– Views
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Mkoa wa Mbeya na maeneo ya Nyanda za Juu Kusini yana fursa kubwa ya kuongeza mchango wake katika uchumi wa Tanzania kwa kuimarisha...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Chadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku...
2 Reactions
35 Replies
568 Views
Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA Wameumia sana kuona Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameonana na kufanya Mazungumzo na...
4 Reactions
42 Replies
466 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeona tangazo la Mwenyekiti Wa BAVICHA Taifa Deogratias Mahinyila Akisema watakuwa na mkusanyiko wa vijana utakaofanyika pale Dodoma wakitaka ama wakiwa na ajenda za...
4 Reactions
177 Replies
1K Views
Hili ni swali la kutafakari very objectively. 1. Serikali yetu ya Tanzania inatambuliwa na umoja gani hasa? Umoja wa Ulaya, Marekani, Umoja wa Afrika, SADC, Jumuiya ya Madola na taasisi nyingine...
0 Reactions
8 Replies
128 Views
Mzee wangu upo humu na ninajua unapenda sana kutembelea hili Jukwaa nitakachokiandika hapa sio kipya maana nishakuambia mara kadhaa. Nilimwambia Mzee Kila nikipima Upepo naona kabisa SAMIA...
13 Reactions
35 Replies
632 Views
Ndugu zangu mimi nauliza tu ni kwanini UVCCM tarehe ya Leo hawajaonekana kufanya kongamano la vijana maana leo ni siku ya vijana bali naona online tvs nyingi Kuna Bavicha na kwa mbali ile ngome ya...
2 Reactions
16 Replies
145 Views
Mpasuko was chinichini na wa ndani kwa ndani huko CCM kwa sasa unaashiria mwanzo wa dhoruba kubwa ya kisiasa. Kutumia mfano wa kibiblia wa "Mene, Mene, Tekeli na Peresi," ni wazi kuwa "maandishi...
21 Reactions
85 Replies
1K Views
Back
Top Bottom