Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mheshimiwa Tundu Lissu ameongea na waTanzania akiwa mahakamani, kwa kweli nimefurahi sana na nimekuwa na strong feeling kuwa huyo ndiye Raisi wangu mpendwa ajaye atakayetutawala na kutupa uhuru...
25 Reactions
56 Replies
664 Views
Ripoti ya Tume ya Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman iliyowasilishwa kwa Rais tarehe 23 Aprili 2026 imependekeza Katiba Mpya ipatikane ifikapo 2028, itumike katika uchaguzi wa Serikali za...
2 Reactions
16 Replies
217 Views
KITUKO KILICHOTOKEA MAHAKAMANI. Wakati Mkuu wa Gereza yaani BWANA JELA ambae ni Andrew Shabani Ntamamilo alipohojiwa na Mhe. Tundu Lissu kuhusu Kuwazuia kabisa Mawakili kama Vile Deogratias...
18 Reactions
73 Replies
2K Views
RAIS SAMIA ATUA ACCRA GHANA KUSHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UMOJA WA AFRIKA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Julay 21, 2026...
2 Reactions
25 Replies
418 Views
Kwanza kabisa umeongea Pumba. Kwamba CHADEMA inawarubuni wafanyabiashara ili waichangie badala ya kutunisha mitaji yao. Kumbuka kuwa watu wanatambua kuwa wewe na wanaCCM wachache mnakula keki ya...
6 Reactions
7 Replies
211 Views
Huu ni ukweli kabisa...ukitaka uamini ona issue ya Maridhiano inavyozungumziwa, ni CCM na CHADEMA. Issue ya Siasa Bongo ni Kama Issue ya Soka ilivyo..Kila Msimu kila agenda hua ni Simba na Yanga...
1 Reactions
4 Replies
124 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeunda kamati maalum ya Katiba mpya, itakayohakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya 2027. Akizungumza na waandishi habari leo tarehe 17 Juni...
15 Reactions
13 Replies
371 Views
  • Redirect
Mhe. Lissu: Kuanzia niingie Gerezani Wakili Dickson Matata na Deogratias Mahinyila hujawahi kuwaruhusu waingie gerezani. Huyu Matata ni Mwenyekiti Kanda ya Magharibi na Mahinyila ni Mwneyekiti wa...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
"Ninasikitishwa na tabia ya watu kuchangia mtu ili aweke hiyo hela atumie badala ya kuwaambia vijana wafanye biashara wapate hela waweke kwenye mifuko yao lakini wao wanachukua wanazitumia sasa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Kama ambavyo ilitokea kabla na katika uchaguzi mkuu wa oct.2025, wenye misimamo ya vyama vyao ikiwa ni pamoja na kususia uchaguzi mkuu walipuuzwa. Nadahni ni muhimu sana kama taifa kusonga mbele...
1 Reactions
28 Replies
305 Views
My Take Sasa Dar inaenda kuwa kama Mombasa na Dom kuwa kama Nairobi. Siku zote anakolala Baba ndiko taulo linatunzwa.Pia soma Jiji la Dodoma Laipiku Dar na Kuwa Kimbilio la Biashara ya Kupangisha...
3 Reactions
148 Replies
2K Views
Napenda siasa ila sioni mwendelezo wa kuwa mwanasiasa kutokana na mazingira ya siasa Tanzania kuwa ya uadui,ukiwa katika siasa za upinzani Tanzania nivigumu kutimiza ndoto! Kwani uonekena wewe ni...
7 Reactions
8 Replies
132 Views
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). "amegoma kutumika kama kete ya maridhiano, MwanaHALISI limedokezwa. Taarifa zinasema, kumekuwapo na juhudi kubwa...
13 Reactions
18 Replies
576 Views
Nimekusikia ukisema kuwa Mandela na Nyerere huwezi kuwalingamisha na wanaharakati wa Tanganyika. Kumbuka Tanganyika ilikuwa inatawwliwa na waingereza, Cartel ya wazungu. Hivyo hivyo Africa Kusiní...
4 Reactions
2 Replies
80 Views
Facebook Mhe. Brenda: Mwenyekiti Tonetone imefika Milioni 174.5 mpaka jana usiku Mhe. Lissu : Waambie waongeze bidii, Baraza Kuu lifanyike CHANGIA BARAZA KUU LA UMMA M-Pesa Namba: 0744446969...
3 Reactions
3 Replies
134 Views
Mipango ilipangwa kwa umakini wa hali ya juu kwanza kabisa ndani ya chama tuliweza kuwadhibiti makada wakorofi ambao wangeweza kuvuruga tukachapisha fomu moja kelele zilivuma lkn hazikuwa na...
10 Reactions
12 Replies
462 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewataka vijana nchini kufuata sera ya ustahimilivu ya Rais Samia badala ya kutumia vurugu na uharibifu kudai haki zao...
1 Reactions
3 Replies
140 Views
Mimi kuna mda akili hua ina niambia Lissu atuache kutupambania sisi watanzania tulio wengi ni wajinga sana. Tulia nikupe mfano mzuri tu hapa utakumbuka vizur na nahisi utakubaliana na Mimi. Mama...
1 Reactions
3 Replies
186 Views
Huyu Askari Magereza kwenye Senti za Tone Tone Tumfikirie Makamanda. Hili Tabasamu lake sio lakificho kaona cha kufia Nini. Kesho awepo japo najua hatokua kwenye ratiba ila mpeni hio chance...
33 Reactions
40 Replies
1K Views
Back
Top Bottom