Laiti kama serikali ingekuwa inamfuatilia Tundu Lissu na kuisoma akili yake ingegundua siyo mtu wa kumtishia na kesi. Siyo mtu wa kumtishia na jela, mahabusu wala hukumu ya kunyongwa. Upo msemo...
Asasi za Kiraia (CSOs) zipatazo Hamsini (50) zimesaini tamko la kuomba SADC Pannel of Elders kuja nchini Tanzania kukutana na kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali waKIwemo Serikali ,Vyama vya...
Ningeomba MWA jf utabiri kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari vya Tanzania?
Siku 365 za Samia ndani ya ikulu au
Siku 365 za mauaji makubwa ya vijana, Wamama, wababa na wazee...
Kuhusiana na swali hapo juu mimi nimeelewa kuwa CCM ndio maana imekufa na hii imefanya nione kuwa ruling hii ni Determinant factor/test on the knowledge of the ccm sycophants.
Kwanin nasema...
Haya ndio matokeo na huu ni muendelezo tu wa kikundi fulani cha watu kupanga na kuamua kila kitu.
Hata hivyo, mjue tu hawa watu hawana amani ya moyo japo wanapata kila wanachokitaka.
Msifikiri...
Hivi tarehe 29/10 itafika na kupita mkiwa kimnya kimnya? Zi wapi BUSARA ZENU?kweli mnataka hiyo tarehe na siku ifike iishe hivyo hivyo ? Hakuna hata yoyote aliyeua akaomba radhi?achana na kuomba...
Niombe mpokee radhi yangu.
Katika harakati zake kumbe kuna watu waliujua mchezo wa Mbowe kuwauza wanachama.
Siwezi kubisha tena kwamba Mbowe alimuuzia ugombea urais Lowasa. Siwezi kubisha tena...
Kama CHADEMA na watu wanaomuunga mkono wangetengeneza slogan moja rahisi, kwa mfano #FreeTunduLissu, halafu kila siku ikaonekana kwenye mitandao kwenye post za viongozi, taasisi, mastaa...
Ni maajabu mradi ulioanzishwa na marehemu JPM kwa utashi wake Leo miaka mitano baada ya yeye kufariki unafunguliwa bila kumtambua kama kinara wa mabadiliko haya tunayoyaona. R.I.P watanzania bado...
Friends and Enemies,
Lilikua ni suala la muda tuh kwa Tundu lisu kuweza kutiwa hatiani na kukutwa na kesi ya kujibu.
Ni wazi kabisa alihusika kwenye uhaini,kuchochea fujo na vurugu kiasi cha...
Sifa, Kiburi, Jeuri.
Umekumbatia Boksi la Mbao kiboya sana
Unakumbatia Jokufu la baridi kiboya sana.
Unadhani watakukumbuka? Haha .
Mandela alikua ana akili akua na ubishi wa kingese mbele ya...
Bado kuna mawazo ya Nyerere na ya Kambona kuhusu Muungano miongoni mwa viongozi wengi na watu wengine pamoja na securocrats.
Nyerere mpaka mwisho wa maisha yake hakutaka kabisa kuvunja Muungano...
Rais ni amiri jeshi mkuu anae WAJIBIKA raia wake wanaidhi vyema na hawafai kijinga jinga.
Leo hii Lissu anakesi ya kujibu, Rais wake anatakiwa aje adhibitidhe km ni kweli au la, mawakili wa UMMA...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, akihutubia wanachama katika mkutano wa chama hicho, amezungumzia Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, ambaye amemwambia kuwa aendelee kupeleka moto...
Toka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani.
1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP, PhD.
2. Dr Salmin Amour,
3. Fredrik Sumaye,
4. January Makamba,
5. Jumaa Awesso, MP
6. Nehemiah Mchechu,
7. Dr...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Stephen Wasira, amewataka wanachama wa CCM kukutana mara kwa mara katika vikao rasmi vya chama ili kujadili masuala muhimu na kuepuka...
Huo ndio Msimamo wangu na nitampigia simu kumueleza kuhusu jambo hill
Ni kweli kwamba upo Msemo wa kiswahili usemao mchawi mpe mwanao akulelee lakini kwenye hali ya sasa hapana.
Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Magharibi mwa Tanzania ni sehemu muhimu ya uchumi wa nchi. Tunazalisha chakula, madini, mifugo, samaki na bidhaa mbalimbali, lakini wananchi wa maeneo haya wanaendelea...
WE WANT A CLEAN BREAK WITH THE PAST
Haya sasa, tumekwama naye maisha. Kwa aliyofanya jana huwezi kusema ignore the traitor. Huwezi kumu ignore. Ni kiongozi wa kudumu ndani ya chama kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.