Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa rasmi, yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili...
5 Reactions
64 Replies
3K Views
Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri. Anatakiwa achague moja, 1. kumwachia Lissu au 2. kuendelea kumshikilia. Samia...
42 Reactions
106 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa...
1 Reactions
19 Replies
562 Views
Leo ni zamu ya mkuu wa gereza kufanyiwa dodoso, na Mh Tundu Lissu Sasa huyu si atajajijambia jmn? Kwa Nini serikali inaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI WA UMMA?
11 Reactions
17 Replies
476 Views
Kila siku katika maisha yetu ya kisiasa tunahesabu ni siku ya mapambano dhidi ya dola katili la CCM. Tunashinda katika korido za Mahakama kwa kuwa MaCCM hawataki tena kufanya siasa za hoja...
4 Reactions
2 Replies
85 Views
  • Redirect
Sote tunakumbuka enzi za hayati magufuli huyu mwamba alikuwa na mbinu moja mujarabu yaani ili ajue matatizo ya wananchi wake alikuwa anapita kitaa Lakini huyu mwenzetu mbinu anazotumia anajua...
2 Reactions
– Replies
– Views
Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi...
6 Reactions
65 Replies
1K Views
Akiwa Shinyanga juzi Katambi alisikika akisema, wanaotishia kumpeleka Mahakamani ni wapinga maendeleo watashughulikiwa. Awali alisema hatishiki na watu wanaopanga kumpeleka mahakamani kwa vile...
11 Reactions
28 Replies
755 Views
Mkuu wa Gereza la Ukonga, Bwana Andrew Shabani Tamanjiro, amedai kuwa alipofika Ukonga Prison hakukuta utaratibu wa ndugu wa Mwenyekiti kumtembelea gerezani siku ya Jumamosi na wanachama...
12 Reactions
8 Replies
441 Views
Genge la CCM na machawa wao kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF wamekuwa wakijinadi kwamba Elimu wameboresha jambo linalopelekea ufaulu kuongezeka, sasa hebu yaulizeni machawa yao ni waziri gani...
11 Reactions
17 Replies
266 Views
BARAZA la Habari la Kiislamu Tanzania (BAHAKITA), limesema hoja ya watu wa Mtwara kutaka gesi iwanufaishe wao kwanza ni upuuzi, kwa kuwa hoja hiyo itajenga ukanda katika Tanzania isiyoamini...
1 Reactions
81 Replies
9K Views
UTANGAZAJI WA UTALII KUPITIA MATAMASHA, MWENGE WA UHURU , NA FAIDA ZA MOJA KWA MOJA INAVYOWEZA KUWA FURSA YA KUKUZA UTALII NCHINI Rais wa JMT Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Waziri wa UTALII...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Utamaduni huo wa mara kwa mara wa CCM, hukipa chama hicho nguvu, ari na pumzi mpya ya kupanga na kutekeleza mambo yake kwa usahihi na kasi ambayo hupelekea, mathalani ushindi wa kishindo katika...
4 Reactions
96 Replies
561 Views
Taarifa za Wafanyabiashara walioshiriki kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara ya 77 zinasikitisha Hasara waliyoipata haisemeki kirahisi, hata hivyo wafanyabiashara wa ndani wamepewa onyo Kali...
16 Reactions
50 Replies
975 Views
‎"Leo tunaona watu wanaandamana wanasema Heche apishe uchunguzi.. Heche ni nani kwenye CHAMA, Heche ndiyo anayepokea michango kwenye Chama? Ofisi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama inazuia vipi...
3 Reactions
1 Replies
104 Views
Rais Samia ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026 "Kwa upande mwingine...
8 Reactions
131 Replies
2K Views
Juzi waziri wa Muungano na Mazingira Hamad Masauni(Mzanzibari) alimkemea na, kumdogosha na kumdunisha naibu wake Reuben Kwagilwa kuwa "ziara za naibu waziri zisiwe za kufunga viwanda". Aliamua...
4 Reactions
7 Replies
213 Views
YAH: UTEUZI NA UHAMISHO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi...
1 Reactions
10 Replies
537 Views
Watawala wa Tanganyika yafikirié haya yanayowapata waliopoteza ndugu zao wanaotegemewa kwa yaliyotokea 29.10.2025! Hao vifaranga ni watoto wa Lisu, Mdude, Soka, Kibao and many many others of...
2 Reactions
2 Replies
180 Views
Back
Top Bottom