Walio karibu na Heche mlindeni sana

Walio karibu na Heche mlindeni sana

Lakini CCM si ilishinda kwa 98%
Obviously inaungwa mkono kwa asilimia over 90%
CCM hiyohiyo ina majeshi,
CCM hiyohiyo ina Green Guard
CCM hiyohiyo ina vikundi vya Shehe akina Mwaipopo.
Sasa hofu inatoka wapi?
Mara sijui kulala guest mpaka Nida
Mara mikutano imepigwa marufuku.
Mara nasikia tarehe 7, hakutakuwa na huduma za mabasi, daladala wala pkpk
YOTE HAYA YANAKUJAJE KWA 2%
 
Lakini CCM si ilishinda kwa 98%
Obviously inaungwa mkono kwa asilimia over 90%
CCM hiyohiyo ina majeshi,
CCM hiyohiyo ina Green Guard
CCM hiyohiyo ina vikundi vya Shehe akina Mwaipopo.
Sasa hofu inatoka wapi?
Mara sijui kulala guest mpaka Nida
Mara mikutano imepigwa marufuku.
Mara nasikia tarehe 7, hakutakuwa na huduma za mabasi, daladala wala pkpk
YOTE HAYA YANAKUJAJE KWA 2%
Ile 97.6 ya kura milioni 32 ilitokana na AI. Tukija kwenye uhalisia, hata 10% ya kura zote wasingepata.
 
Sio alindwe, hakuna mwenye jeuri ya kumlinda dhidi ya dola..
Akae kimachale machale, aishi kijasusi jasusi..
Unadhani watu dhalimu wanashindwa kumpiga bomu yeye na hiko kikundi chake cha ulinzi, watu ni waroho wa madaraka kupitiliza.
Nani alikudanganya kuwa dola ndiyo yenye nguvu? Hakuna wa kuzuia wananchi kama wataamua kwa umoja wao. Duniani kote hakuna sehemu ambayo dola ilishinda wananchi. Ni suala la muda tu. Yes, wanaweza kuua wachache lakini mwisho ni kushindwa. Hii Tanzania unayoiona sasa hivi hata kama utaogopa kusimamia haki lakini kuna siku litakufika la kukufika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom