britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Mzee Leopord Rwizandekwe mkazi wa kijiji cha Katendaguro Tarafa ya Kiziba Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera ambaye mwaka 1965 alitaka kumng'oa mwalimu Nyerere kabla ya jina lake kuenguliwa na vikao vya Chama ,
Mzee Rwizandekwe baada ya kukutana na Nyerere nchini uingereza mwaka 1964 alimwambia kwamba anataka akagombee urais wa Tanganyika, Mwalimu Nyerere alishtuka Sana akauliza kwanini unataka kugombea nafasi niliyonayo?
Rwizandekwe akaeleza mambo kadhaa wa kadha atakayofanya akipewa urais,
Ikiwemo kuanzisha vijiji vya ujamaa,
Kutafta mbinu nzuri ya demokrasia ikiwemo kuweka pembeni vyama vya upinzani ili Kwanza nchi iwe iwe imara,
Kuanzisha mashirika ya ujamaa na vijiji, na kujiunga Zaid na wakomunist kuliko mabepari wanyonyaji, alimueleza hayo walipokutana Uingereza mwaka 1961 wakati huo akisomea sheria.Mzee Rwizandekwe aliwahi kuwa hakimu wa Mahakama ya Rufani ya Buhaya ambapo mtandao huu umemnasa katika moja ya mitaa ya Mji wa Bukoba akitafuta duka zinapouzwa Katiba za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
http://white-house-logs.insidegov.com/l/81959525/Leopold-Rwizandekwe