Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amezindua huduma za usafiri wa umma ya mabasi ya umeme; Kituo cha Mabasi Malindi; pamoja na kadi maalumu za usafiri kwa...
6 Reactions
19 Replies
387 Views
Kuna watu wanasema wako tayari kufungwa jela kama Mandela< Nyerere, Kaunda na Jomo Kenyatta walivyofungwa wakati wanadai Uhuru wa nchi zao. Ni kweli Tanzania inahitaji nguvu kama zilezile...
1 Reactions
9 Replies
208 Views
  • Redirect
NCHIMBI
2 Reactions
– Replies
– Views
Nchimbi ametangaza vita ya Urais kwa aliyopo au Wanaotaka, kama ilivyo ada ya CCM Samia akiwa hayupo watamsema sana na matusi juu, baadaye wanarudi walipokuwa. Tusikubali ulaghai unaopikwa
0 Reactions
2 Replies
80 Views
Katika kipindi kisichozidi wiki mbili, Tanzania imeshuhudia ongezeko la watu wanaofikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Miongoni mwao ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)...
1 Reactions
5 Replies
154 Views
Mbaya zaidi, hakuna senior politician katika uongozi wa kitaifa, wa kutuliza joto na mihemko hiyo ya vijana hao katika uongozi wa kitaifa ndani ya chama hicho. Makundi ya kijamii kama vile BAZECHA...
0 Reactions
28 Replies
177 Views
Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe...
1 Reactions
13 Replies
378 Views
Mkuu wa Wilaya ya Temeke ameendelea kusisitiza kuwa hiyo ni lugha ya picha ila lengo ni kutoa hizia za wasiwasi kuwa kuna wananchi wanalalamika na wanadai kuna tatizo hivyo mamlaka ikiwemo vyombo...
2 Reactions
4 Replies
210 Views
Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesisitiza dhamira ya Serikali ya kulinda na kusimamia usalama wa wananch, akieleza kuwa jukumu la kulinda maisha na mali za raia wote ni wajibu wa...
1 Reactions
4 Replies
191 Views
Nyie wana CHADEMA na wapinzani mlioko jf, mnataka LISSU aachiwe?
2 Reactions
29 Replies
414 Views
Julai 16, 2026, Msemaji wa Serikali ya Tanzania kupitia ukurasa wake wa Instagram alichapisha: "Diaspora anayejua kupigania bendera ya Tanzania na manufaa ya Watanzania kwa vitendo namzungumzia...
2 Reactions
8 Replies
390 Views
Akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa na Nijuze Julai 22, 2026, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema mchakato wa maridhiano ya kitaifa hauhusu CHADEMA pekee...
4 Reactions
35 Replies
692 Views
The sharpest threat to emotion is a logical mind.
10 Reactions
24 Replies
543 Views
Akizungumza katika mahojiano maalum yaliyorushwa na DW leo Julai 24, 2026, Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dkt. Bashiru Ally, amesema kuwa nafasi ya Ukatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni kazi...
0 Reactions
4 Replies
160 Views
Akizungumza katika mkutano wa vyombo vya habari jijini London, Omar alisema kuwa Eurobond ilikuwa “chaguo lililopo mezani” iwapo hali ya soko itakuwa nzuri. Utoaji huo unaowezekana ungefanyika...
0 Reactions
5 Replies
199 Views
Kwanza kabisa huyu Hakimu amekuchafua wewe na mhimiri mzima wa Mahakama. Inaonyesha wazi mahakama sio chombo huru. Japokuwa ni wazi kuwa hakipo huru. Lakini kitendo cha hakimu huyu kumsomea...
4 Reactions
9 Replies
298 Views
Yeah ni member gani Ambaye unafikiri akipewa ikulu sasahivi anaweza kuiongoza nchi kwa kuzingatia msingi ya haki na katiba bila kukengeuka?
10 Reactions
145 Replies
2K Views
Hakuna chama kinachoungwa mkono zaidi ya Chadema kwa sasa.👇
3 Reactions
3 Replies
211 Views
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amesema badala ya baadhi ya watu kuwahamasisha vijana kujihusisha na shughuli za uzalishaji na ujasiriamali, wamekuwa wakiwahamasisha kutoa fedha walizonazo kwa...
6 Reactions
46 Replies
962 Views
Mkongwe wa tasnia ya habari nchini, Bi. Rose Haji Mwalimu, amesema mfumo wa ithibati ya waandishi wa habari umeleta mabadiliko makubwa kwa kurejesha heshima ya taaluma hiyo na kutofautisha...
1 Reactions
3 Replies
66 Views
Back
Top Bottom