Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti? ======= Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo...
13 Reactions
143 Replies
10K Views
Kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche alipoulizwa kuhusu status ya Halima Mdee ndani ya CHADEMA. "Sio mwanachama. Na hawezi kuwa mwanachama bila...
8 Reactions
26 Replies
521 Views
Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimewasilisha bajeti za mwaka wa fedha 2026/2027 zikiwa na vipaumbele tofauti kulingana na ukubwa wa uchumi na mahitaji yao ya maendeleo. NchiBajeti ya...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Mwenye macho haambiwi tazama. Haya ndiyo mambo makuu ambayo Mzee Nyerere aliiachia Tanzania na yamedumu hata baada ya yeye kuondoka, na kuna hatihati kwamba yataendelea kuwepo kwa muda zaidi hapa...
36 Reactions
147 Replies
3K Views
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni Juni 11, 2026, ametangaza kupandishwa kwa viwango vya ushuru wa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
1.Kenya 2.Uganda 3.Tanzania 4.Ethiopia 5.Rwanda 6.Burundi. My Take Wachumi tusaidieni kudadavua.
0 Reactions
4 Replies
108 Views
Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema ..... Kuongeza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye magari...
4 Reactions
11 Replies
601 Views
  • Redirect
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 akisema kuwa takwimu za miaka ya karibuni...
1 Reactions
Replies
Views
Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema ..... "...mkakati wa kuongeza mapato. Mheshimiwa Spika, takwimu za...
1 Reactions
2 Replies
226 Views
Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akiwasilisha Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2026/27 leo Juni 11, 2026, Bungeni, Dodoma. amesema Serikali itaanza kutoza ushuru wa bidhaa wa 10%...
2 Reactions
17 Replies
408 Views
Serikali inapendekeza marekebisho ya Kodi na Ada za Pikipiki (Bodaboda) 2026/2027. Serikali imeamua kutowaingiza wafanyabiashara wa pikipiki (bodaboda) kwenye mfumo wa kodi ya makadirio...
3 Reactions
7 Replies
208 Views
kwa mwaka2026/27 Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 62.33, ikiwa ni ongezeko la asilimia 10.3 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2025/26. Mchanganuo wa Matumizi ya...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni leo, ametangaza mabadiliko makubwa katika utoaji wa huduma za...
2 Reactions
4 Replies
290 Views
Akizungumza Bungeni Waziri wa Fedha amesema kuwa ili kupunguza ada za huduma za mauzo ya mtandaoni zinazotumiwa zaidi na vijana kama ifuatavyo: A: Ada ya maombi ya leseni ya huduma ya mauzo...
1 Reactions
1 Replies
101 Views
Serikali imetangaza rasmi kuanza utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote katika awamu ya kwanza. Katika awamu hiyo, kitita cha huduma muhimu za afya kitatolewa na skimu za Bima ya Afya kwa...
2 Reactions
39 Replies
1K Views
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni leo, ameeleza kuwa hali ya deni la serikali hadi kufikia mwezi Machi 2026 imefikia...
0 Reactions
8 Replies
295 Views
  • Redirect
Katika kutekeleza mapendekezo ya kiutawala yaliyotolewa na Tume ya Rais ya Maboresho ya Mfumo wa Kodi, Serikali kupitia Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 imependekeza mfumo mpya wa urahisishaji...
0 Reactions
Replies
Views
Serikali imependekeza marekebisho kwenye Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (Maudhui Mtandaoni) ili kupunguza kwa kiasi kikubwa ada za leseni. Hatua hii inalenga kuwapunguzia mzigo wa...
2 Reactions
3 Replies
167 Views
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2026/27, serikali inapendekeza kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye vifaa vitakavyotumika katika vituo vya...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Redirect
Kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia 5 kwenye thamani ya dau la kamari (gaming) inayochezwa kwa njia ya michezo ya kubashiri ya ardhini au mtandaoni (land/internet based sports...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom