Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Naona Bi. Mkubwa kaona anakosa wa kupiga nae umbea na kushangilia mambo MAZURI ya uongozi wake, akaona amvute Oddo ake karibu, sasa amebaki Makamba kumsaidia kuua hizo team ndani ya...
6 Reactions
81 Replies
2K Views
Serikali hii fake sasa imekuwa kama dalali wa madini tu. Hizi nchi zinataka madini tu. Yaani kwa ujinga Watanzania tunachukuliwa ardhi yetu wanapewa Urusi eti walime! Kwani Watanzania hawawezi...
5 Reactions
12 Replies
173 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche akizungumza katika Mahojiano na Bongo FM leo Juni 10, 2026, akijibu kuhusiana na kauli iliyotolewa na Mwenezi CCM Taifa...
2 Reactions
0 Replies
136 Views
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Wilbrod Mutafungwa amesema Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limeanza uchunguzi wa kuwasaka wote wanaosambaza vipeperushi...
1 Reactions
7 Replies
338 Views
Juni 8, 2026, Ukurasa wa Instagram 'switch Tv ke' ilichapisha taarifa orodha ya watengeneza maudhui wa Kenya kama vile Mjaka Mfine, Mokaya, na Malcolm kupigwa marufuku kuingia Tanzania na Zanzibar...
0 Reactions
2 Replies
99 Views
Dkt. Bashiru anapinga mtazamo wa kuwa vyama vingine vya upinzani (ukiondoa CHADEMA) ni "project" au miradi CCM, akisisitiza kuwa madai hayo si ya kweli na ni njia ya kuvidharau vyama...
2 Reactions
6 Replies
152 Views
Ndo maana hafanyi reshuffle anawaacha wale kwanza Waijenge Zanzibar kupitia bara. Asilimia 69 ya wakurugenzi waliopo wilayani Tanzania bara ni kutoka Zanzibar Asilimia 59 ya wakuu wa wilaya...
17 Reactions
62 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi, amesema CCM imejipanga kujibu hoja na madai yanayotolewa na viongozi wa CHADEMA kwa kutumia takwimu na taarifa sahihi, badala ya kuacha kile...
1 Reactions
9 Replies
163 Views
Leo nataka kuzungumza na Jumuiya ya Wanausalama (Intelligence Community), Hivyo mada ya leo ni ngumu ina matumuzi makubwa ya akili kuliko mambo ya siasa za vyama ambako huko matumizi ya akili huwa...
8 Reactions
71 Replies
1K Views
Mheshimiwa Rais, Kwa heshima kubwa tunakuandikia barua hii kuomba msaada wako katika kutatua mgogoro unaotukabili sisi wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika leseni za NICO RAYMOND NYEMELE...
3 Reactions
27 Replies
591 Views
Mbunge wa Jimbo la Siha (CCM), Dkt. Godwin Mollel, ametabiri anguko na kifo cha kisiasa cha chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA, akidai kuwa safu yake mpya ya uongozi wakuu haina uwezo wa...
3 Reactions
37 Replies
485 Views
Tusalimiane wote wapenda Haki, Amani Katiba MPYA and lastly FREE TUNDU LISU
1 Reactions
1 Replies
41 Views
Hili halipingiki hata kidogo nalipo dhahiri na wazi kabisa. Cha kwanza kabisa alihakikisha anakusanya fedha na fedha zitumzwe kwenye mfuko wa taifa ili mafisadi wasikwapue kama huko nyuma. Fedha...
2 Reactions
6 Replies
113 Views
Hatimaye picha kamili ya utendaji wa waziri wa fedha na uchumi bi Saada Salum Mkuya imeanza kudhihirika baada ya kupatwa na jazba na kisha kulia mbele ya kamati ya bunge ya bajeti pale alipokuwa...
2 Reactions
132 Replies
20K Views
Nikiwa sina hili wala lile nimekutana na habari kuwa Zanzibar haina hela ya kuwatibia Watanzania wanaokaa Zanzibar kwa sababu sio Wazawa. Gen-Z msipitwe na hii fursa kama mnavoandika vipeperushi...
3 Reactions
7 Replies
155 Views
Wana JF, Ni jambo la kusikitisha kuwepo upotevu wa kiasi kikubwa cha pesa kwa ukwepaji kodi wa makontainer 349 yenye thamani billion 80 wakati wenye dhamana ya kulinda mali hizi zisipotee wakina...
3 Reactions
231 Replies
35K Views
Mpango, Saada Mkuya wavutana umeme Z’bar Viongozi hao pia waliingia katika mvutano kuhusu kutoletwa bungeni kwa Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya VAT ambayo ingesitisha hatua ya Tanesco...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Hivi kuna uwezekano huyu dada akaachishwa kazi katika BARAZA la mapinduzi na kuletwa kwenye BARAZA la mawaziri la JMT? Namwona kama ana uwezo mkubwa sana wa kumsaidia Rais wa Jamuhuri ya Muungano...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwanza kabisa kama kuna WanaCCM ambao hawana ushawishi ila wapo madarakani kwa upendeleo au labda kwa kutumia matunguri ni Ally Hapi. Uwezo wake wa kushawishi watu ni mdogo na hoja za msingi...
0 Reactions
2 Replies
98 Views
Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye. Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni...
9 Reactions
40 Replies
543 Views
Back
Top Bottom