Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Genge la CCM na machawa wao kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF wamekuwa wakijinadi kwamba Elimu wameboresha jambo linalopelekea ufaulu kuongezeka, sasa hebu yaulizeni machawa yao ni waziri gani...
11 Reactions
17 Replies
266 Views
BARAZA la Habari la Kiislamu Tanzania (BAHAKITA), limesema hoja ya watu wa Mtwara kutaka gesi iwanufaishe wao kwanza ni upuuzi, kwa kuwa hoja hiyo itajenga ukanda katika Tanzania isiyoamini...
1 Reactions
81 Replies
9K Views
UTANGAZAJI WA UTALII KUPITIA MATAMASHA, MWENGE WA UHURU , NA FAIDA ZA MOJA KWA MOJA INAVYOWEZA KUWA FURSA YA KUKUZA UTALII NCHINI Rais wa JMT Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Waziri wa UTALII...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Utamaduni huo wa mara kwa mara wa CCM, hukipa chama hicho nguvu, ari na pumzi mpya ya kupanga na kutekeleza mambo yake kwa usahihi na kasi ambayo hupelekea, mathalani ushindi wa kishindo katika...
4 Reactions
96 Replies
560 Views
Taarifa za Wafanyabiashara walioshiriki kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara ya 77 zinasikitisha Hasara waliyoipata haisemeki kirahisi, hata hivyo wafanyabiashara wa ndani wamepewa onyo Kali...
16 Reactions
50 Replies
975 Views
‎"Leo tunaona watu wanaandamana wanasema Heche apishe uchunguzi.. Heche ni nani kwenye CHAMA, Heche ndiyo anayepokea michango kwenye Chama? Ofisi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama inazuia vipi...
3 Reactions
1 Replies
102 Views
Rais Samia ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026 "Kwa upande mwingine...
8 Reactions
131 Replies
2K Views
Juzi waziri wa Muungano na Mazingira Hamad Masauni(Mzanzibari) alimkemea na, kumdogosha na kumdunisha naibu wake Reuben Kwagilwa kuwa "ziara za naibu waziri zisiwe za kufunga viwanda". Aliamua...
4 Reactions
7 Replies
212 Views
YAH: UTEUZI NA UHAMISHO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi...
1 Reactions
10 Replies
528 Views
Watawala wa Tanganyika yafikirié haya yanayowapata waliopoteza ndugu zao wanaotegemewa kwa yaliyotokea 29.10.2025! Hao vifaranga ni watoto wa Lisu, Mdude, Soka, Kibao and many many others of...
2 Reactions
2 Replies
180 Views
  • Redirect
YAH: UTEUZI NA UHAMISHO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi...
0 Reactions
– Replies
– Views
My Take Waliokuwa wanawatumia wenzao kupata pesa Sasa ni wakati wa kwenda kujitetea. Kwa mujibu wa andiko linalosambaa mitandaoni, viongozi wa CHADEMA, wanaharakati na wahamasishaji katika...
9 Reactions
67 Replies
1K Views
Wanabodi Tumepiga kelele sana humu kuhusu adhabu ya kifo kwa kunyongwa mpaka kufa kuwa barbaric!. Hatimaye leo Tanzania tumeamriwa kuifuta adhabu hiyo ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka kufa!. Ni...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakifanikiwa wanakanusha,Wakishindwa wanadai ulikuwa na kosa watalitafuta mda wanaojisikia. Kwa dunia hii mshaingia kwenye rekodi mbaya na uchafu wenu. Mnavutiwa mda ili mkishawekwa kitimoto...
7 Reactions
4 Replies
144 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema waandishi wa habari wamezuiwa kuingia katika ukumbi wa Mahakama Kuu kuripoti mwenendo wa kesi inayohusu vikwazo vya kumwona Mwenyekiti wa chama...
3 Reactions
9 Replies
321 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amesema utamaduni wa 'uchawa' na kuteteana bila kuzingatia ukweli ni miongoni mwa mambo...
9 Reactions
27 Replies
496 Views
SI mara nyingi viongozi walioshika nyadhifa za juu katika Tanzania huamua kuandika vitabu vinavyoelezea maisha yao binafsi na ya utumishi wa umma wakati wanapostaafu. Kwa sababu ya kasoro hiyo...
0 Reactions
343 Replies
41K Views
Akizungumza katika mahojiano na shirika la habari la DW yaliyochapishwa leo Julai 22, 2026, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kwa sasa Tanzania kuna mporomoko...
0 Reactions
15 Replies
311 Views
Wanabodi, Kiongozi mzuri ni yule anayeyaishi maneno yake, yaani ku "practice what you preach". Ile preaching ya jana ya Rais Magufuli kuomba Watanzania wanaohukumiwa kifo Wanyongwe tuu, imenigusa...
9 Reactions
121 Replies
17K Views
  • Redirect
Nimefatilia cross-examination ya Lissu kwa bwana jela nimekuja na hitimisho kuwa ndio maana yale machawa ya humu jf yakianzisha uzi au kukoment utagundua kuwa kwenye vichwa vyao ni low bettery...
1 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom